RTI
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 2,423
- 7,155
Mkuu acha kutulisha matango pori leo hakukuwa na vita ,hii habari ni ya jana iliripotiwa na BBC lakini wakasema hakuna udhibitisho wowote au ushahidi wowote unao onesha hilo kutokea.BREAKING NEWS
Majeshi ya Ukraine yameukomboa mji mdogo wa Shuhuv baada ya Mapigano Makali yaliyopelekea kuuawa kwa wanajeshi 6 wa Ukraine,Wanajeshi 18 wa Urusi na Vifaru 4 vilitelekezwa na vingine 7 kuteketezwa. Wanajeshi 11 wa Urusi wamechukuliwa mateka.View attachment 2143616View attachment 2143615
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app