GreatSeal
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,785
- 3,094
Urusi naye aiwekee USA vikwazo..
Vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Urusi naye aiwekee USA vikwazo..
Ukraine ilishaanza kuwa na wahuni muda mrefu kuna battalion nilikuwa naisoma miaka iliyopita wale hawaongozwi hata na jeshi la serikali ila wanailinda mipaka ya Ukraine kule Donbass na wana spirit ya kupigana sana. Wale nao this time wamepewa silaha za EU wanazitumia, nadhani umewaona jamaa wana bendera za Nazi na skulls & bones. Wale wakiambiwa wajiunge jeshi la serikali wanakataa na hawataki kuwa chini ya mwongozo wa serikaliUkraine itakuwa Somalia ya Ulaya soon.....
1.Si silaha zote zitarudi hata baada ya vita kuisha, lazima vitazaliwa vikundi vingi vya waasi kama sio magang ya Uhalifu ( Ukizingatia uchumi utakuwa umeyumba)
2.Kuna mahala nimeona wapiganaji kutoka middle East wanakuja kujitolea ( Tunawajua hawa watu, na tabia zao za looting zinafahamika). Watalowea hapo Ukraine na kinachofuatia kinafahamika.
Unadhani waliopiga ban hawajaona hilo?
Mrusi ndo itamuumiza zaidi kwa sababu sio mrusi pekee anayezalisha mafuta,so nchi zingine zitafaidika zaidi pia kuuza.Hiyo ban hata yeye mwenyewe US
ndo maana ameenda kujipendeza venuela
Anafanya hivyo ili kumreplace mrusi katika soko,na atakuwa replaced kwa sababu hata huyo venezuela ataangalia maslahi ya uchumi wake hatajali na hatowanunia wamarekani,atakubali na mrrusi atakuwa replaced kidogokidogo.ndo maana ameenda kujipendeza venuela
,Saudi Arabia, Canada, China na venezuela naye akikubali kusupply mafuta hawa wote wanamreplace mrusi kwa kiasi kikubwa sana ukiongeza na wairan pia ambao nao wakikubali kuuza mafuta yao katika soko basi mrusi ataumiana supplyer mkubwa wa hizo nishaati ni Russia
Weka data tuone kama hao hawawezi kureplace nafasi ya urusi.waliliona lkn ,imewabidi wakajipendekeza kwa maadui zao Iran,Syria ,Saudi Arabia ,maana hao hao malekani waliwawekeaga vikwazo vya kiuchumi,Sasa huu ndo muda wa hawa jamaa nao kupiga double standard [emoji1],hata hivyo haitatosha ,kum supless Russia kwenye volume ya mafuta aliyokuwa aki supply duniani.tushudie mafuta kupanda Bei zaidi !!
Daah so sadClip ya 1992-94?
Sina Mkuu ila unaweza kuipata
Mimi niliona watoto wakikimbia na mikono
Na ilikuwa fundisho kubwa kwao hawatalisahau
Chimbua google unaweza kupata
Hii picha mojawapo mjeda wa USA baby wakiicha ikiwa haina uhai View attachment 2143706
Nakusalimu kaka😆kaa kwa kutulia wanajeshi wengi wa ukraine wameshakula wamebaki mamluki angalia huyu ni mamluki wa kibrazilView attachment 2143198
Deal likitiki Maduro ataula kuna uwezekano Venezuela akalamba kila mwezi zaidi ya dollar za kimarekani billion 5 hata na zaidi kama mrusi atawafungia ulaya Bomba la mafuta na gesi na vita ya Yukrein kuendelea. Kwasababu kuna uwezekano pipa moja la mafuta likafika dollars 300.Maduro atafaidi sana huu msimu... Siwaoni EU na Uk wakiban hii rasilimali
Daah so sad
Nilishasema Cha muhimu.kwao sio hayo ma.APC bali ni missile za short range,anti aircraft missiles na wakiweza wapate drones plus mbinu zingine za medani.Hii vita mpaka inaisha hakutakuwa na tank battle hata moja. Ile Gulf war Iraq walijichanganya eti wakaingia tank battle na Marekani walikuwa wanapigwa sana. Battle kubwa zaidi ilikuwa ni Medina Ridge ndani ya masaa mawili Marekani ilipoteza vifaru vinne na silaha nyingine ila Iraq ilipoteza vifaru 186 na silaha nyingine nyingi. Israel nayo ilikutana na vifaru vya Syria kwenye Yom Kippur iliviharibu sana ila Egypt walipambana. Hata uwe na vifaru vizuri ila training na experience ni muhimu mno kwenye crew yako.
Ukraine wameona hawawezi shinda battle ya tank vs tank, wala artillery hawatumii maana wako outguned na range ndogo. Wanapiga ambush kwa msaada wa ATM na raia
huo mkataba hatujui vipengele na mashariti yake yapo vipi ila fikra zangu zinaniambia kabisa kutokana nahali inavyoendelea sasa kule ukraine kama unalosema litatokea basi nauhakika 80% mkataba huo utakuwa in favour of iran nautakuwa nimkataba mbovu kwa marekani kusaini kuliko ule trump alioupiga chini nabila shaka utakuja kuleta balaa baadae sababu iran anadhamira za wazi kabisa zakutengeneza silaha za nyuklia toka kitambo na hata marekani analijua hilo ...tusiongee sana wakati hatujui nikipi kitakuwa kwenye mkataba huo ngoja tusubiriWewe unaongea nadharia wakati mimi naongea ambacho kilifanyika juzi. Juzi shirika la International Atomic Energy Agency (IAEA) imefungua ofisi zake rasmi Tehran kwa ajili ya ukaguzi wa vinu vya nyuklia vya Iran kwa Masharti ya Iran kuondolewa vikwazo vyote vya kiuchumi ilivyowekewa na Marekani.
Mpaka sasa kilichobaki ni Marekani kwenda kusaini Mkataba. Waziri wa mambo ya nje wa Marekani ANTONY LINKEN amesema Next Week wanasaini mkataba mpya na Irani Joint Comprehensive Plan of Action (JCPOA).
Near Pryluky, Ukraine a large convoy of Russian fuel trucks (KAMAZ) was completely destroyed by Urkrainian .
Azov batallion nimewaona pia.....Ukraine ilishaanza kuwa na wahuni muda mrefu kuna battalion nilikuwa naisoma miaka iliyopita wale hawaongozwi hata na jeshi la serikali ila wanailinda mipaka ya Ukraine kule Donbass na wana spirit ya kupigana sana. Wale nao this time wamepewa silaha za EU wanazitumia, nadhani umewaona jamaa wana bendera za Nazi na skulls & bones. Wale wakiambiwa wajiunge jeshi la serikali wanakataa na hawataki kuwa chini ya mwongozo wa serikali
Mbambe ni mbambe tu, hawana namna ya kukataa, hadi venezuela amekubali naye, kwa hili likitekelezwa ipasavyo Putin atakuwa amepata pigo kubwa sana, japo na yeye amesema ikipigwa ban kwenye mafuta na yeye anazuia gesi kwa nchi za ulaya!!waliliona lkn ,imewabidi wakajipendekeza kwa maadui zao Iran,Syria ,Saudi Arabia ,maana hao hao malekani waliwawekeaga vikwazo vya kiuchumi,Sasa huu ndo muda wa hawa jamaa nao kupiga double standard [emoji1],hata hivyo haitatosha ,kum supless Russia kwenye volume ya mafuta aliyokuwa aki supply duniani.tushudie mafuta kupanda Bei zaidi !!
A post tuuKuna mtu anapenda kupost maiti humu it’s sad kwakweli Hata kuheshimu maiti hamna duh[emoji3064]angekua ndugu yako ungefanya hivo pia au
huwa nashangaa sana watu mnavyoiamini urusi.usipende kuanzisha ugomvi ukitegemea mwenzio ni dhaifu.angalia sasa wanaomba waombe poo.Askari wa Russia ni kama vile hawakujiandaa na vita maana kama ni vifaa wamepoteza vingi sana uhususani vya ground for
Tulia Basi unavyoleta taarifa,haya Marekani imepiga marufuku uingizaji wa mafuta kutoka wapi?Maana maelezo yako yameumanaBREAKING NEWS
Sasa ni Rasmi. Marekani imepiga marufuku uagizaji wa mafuta kutoka Marekani. Marekani iliagiza wastani wa mapipa Milioni 20 kila mwezi kwa mwaka 2021.View attachment 2143676