Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ni kweli hatuwezi pata takwimu sahihi.

Kwenye taarifa ya Ursula Europe walifafanua kwamba ilikua ikiakisi taarifa iliyotolewa na Pentagon kwamba Wanajeshi 100,000 wa Ukraine wameuawa. Ambapo kwenye taarifa hiyohiyo Pentagon walisema pia wanajeshi 100,000 wa Russia wameuawa.

Ukraine war: US estimates 200,000 military casualties on all sides.
The most senior US general estimates that around 100,000 Russian and 100,000 Ukrainian soldiers have been killed or injured in the war in Ukraine.
Ukraine war: US estimates 200,000 military casualties on all sides

Data ambazo Urusi ilitoa ilisema wanajeshi wake waliokufa vitani ni 6000.

Moscow's first update on casualty numbers in almost six months, Shoigu said 5,937 Russian soldiers had been killed since the start of the conflict.
Russia calls up 300,000 reservists, says 6,000 soldiers killed in Ukraine

Kwa tukio la juzi Urusi ni uzembe ndio ulifanya wanajeshi wao kufa kama kumbikumbi,hivi unawekaje wanajeshi wengi kiasi kile kwenye jengo moja pamoja na ammunitions?!
 
Ukraine inazidi kuchanja mbuga [emoji23]

[emoji298]️The Svatove – Kreminna highway is controlled by the fire of the Armed Forces. In order to move between these cities, Russians are forced to make a detour through Starobilsk, — said the head of the Luhansk Regional Military Administration Serhii Haidai.
 
[emoji298]️Germany is ready to use frozen Russian assets to restore Ukraine, if the allies do the same, and the resolution of legal issues is possible, — Bloomberg.

 
[emoji298]️The USA and other Western countries are pressuring Switzerland over frozen Russian assets that could be used to rebuild Ukraine after the Russian invasion.

The Swiss publication Neue Zürcher Zeitung writes about it.
 
[emoji298]️Germany is ready to use frozen Russian assets to restore Ukraine, if the allies do the same, and the resolution of legal issues is possible, — Bloomberg.

View attachment 2468016
Urusi anajikaanga mwenyewe kama kitimoto [emoji28]
Watu wameshajua pa kutoa Hela za ku-restore Mali zote na miundombinu yote ya Ukraine iliyoharibiwa

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
kamanda anaye ongoza kikosi kilichoko kwenye huo mji huo ulio shambuliwa naye ni bonge la fala

Kwa tukio la juzi Urusi ni uzembe ndio ulifanya wanajeshi wao kufa kama kumbikumbi,hivi unawekaje wanajeshi wengi kiasi kile kwenye jengo moja pamoja na ammunitions?!
Sidhani kama ni uzembe, huenda ilikuwa siku mbaya kazini maana siku ya kufa nyani kila mti unajaa utelezi.
 
Urusi anajikaanga mwenyewe kama kitimoto [emoji28]
Watu wameshajua pa kutoa Hela za ku-restore Mali zote na miundombinu yote ya Ukraine iliyoharibiwa

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa jinsi ilivyo Ukraine kwa sasa.labda uchukue Urusi yote ndo unaweza kufidia hasara ila tofauti na hapo ni uwongo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kamanda anaye ongoza vikosi vilivyoko kwenye huo mji ni mpumbavu sana.

Ukraine mwanzo wa vita nayo ilikuwa ikifanya makosa kama haya lakini walijifunza nadhani hata Urusi baada ya shambulizi hili akili itawakaa sawa.
 
Wacha weeeehuku 500 kule 600.... Na wewe unajiona kabisa ni mtu mwenye ubongo na sio roboti!!?? Wajinga ni wengi sana hii nchi
 
Tukubaliane, kutokubaliana. Sisi proRussia, tumeelemewa kila kona kwa sasa. Eneo la propaganda hapa tumeshikwa sana. Kila mtandao wa kijamii, hawa maproUkraNato wanatukimbiza mbaya. Kwa hapa jukwaani kwa sasa huyu alex llyod, Ndio ameonekana kuwa wa moto.
Field. Huko taarifa za vifo na majeruhi kwa siku za karibuni zimekuwa sio nzuri masikioni na machoni kwetu. Russia wanapata hasara za mali na wanajeshi.

Kiuchumi. Hili eneo silielewi sana. Maana kwa mazingira yalivyo hapa siasa lazima ziingizwe. Mpaka sasa hali inaonyesha kuwa kuna refferundum ilifanyika kwa ile mikoa mi4. Lakini kwa mambo yalivyo, hayo maeneo russia hajaweza kuyashikilia kwa 100%.

Maoni yangu. Putin aangalie namna ya kumaliza hii kadhia.
 
Southern Ossetia na Abhkazia ..walioleta mboyoyo hizi hizi... Crimea walileta hizihizi ..hata Finland waliandika na historia waijuayo wao Finland kushinda ambayo sio kweli uwanjani..... unashinda na unaachia eneo lako lichukuliwe na adui yako... Hayo madude yao wao wasemeee weeee ..... Watashtuka kumekucha mnoooo.
 
Hebu tuambie urusi alipigana mda gani kuyaiba hayo majimbo ya southern Ossetia na abhakazia( bila shaka hazizidi hata wiki 2)

Huko Crimea urusi hakupoteza askari hata mmoja ( kiufupi hakukuwa na mapigano yoyote)
Mifano uliyoitoa Haina utofauti na mtu anayejaribu kulinganisha sisimizi na tembo

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…