Mkuu acha kutulisha matango pori leo hakukuwa na vita ,hii habari ni ya jana iliripotiwa na BBC lakini wakasema hakuna udhibitisho wowote au ushahidi wowote unao onesha hilo kutokea.BREAKING NEWS
Majeshi ya Ukraine yameukomboa mji mdogo wa Shuhuv baada ya Mapigano Makali yaliyopelekea kuuawa kwa wanajeshi 6 wa Ukraine,Wanajeshi 18 wa Urusi na Vifaru 4 vilitelekezwa na vingine 7 kuteketezwa. Wanajeshi 11 wa Urusi wamechukuliwa mateka.View attachment 2143616View attachment 2143615
Ni kweli ila ata Russia alishawauzia S 300 na leo kaiteketeza mojaUmeongea point muhimu sana watu kuelewa kuwa mabeberu yako smart sana kwenye mambo yao. Russia mwenyewe anajua mabeberu yanamfuatilia kila step kwenye operation yake Ukraine na inawezekana logistics nyingi jeshi la ukraine linapata kutoka kwa mabeberu
Huyo amekosea kusema kwamba Dunia ni yetu sote. Dunia ni mali ya MUNGU na yeye ndo huchagua nani amiliki wapi.Mwana umetisha, hadi yeye mwenyewe yuko kimya
Unadhani waliopiga ban hawajaona hilo?Hiyo ban hata yeye mwenyewe US itamuumiza tu,ndo maana ameenda kujipendeza venuela ,ili wamuuzie mafuta .na supplyer mkubwa wa hizo nishaati ni Russia ,Sasa kumpiga ban ,maana yake uwe na mtu mwngine anaye supply Mara 2 ya Russia ,na kimsingi hakuna!
Vipi unaunga mkono na uharibifu anaoufanya mrusi pale ukraine na kuharibu miundobinu ?Ndio maana wengine tunaiunga mkono Urusi sababu ya huu ubabe na uonevu wa Mareka
Mrusi ametishia Nchi yoyote itakayojaribu kumsaidia ukraine itapata pigo la kihistoria.huyu Mmarekani anaezuia nchi huru kufanya biashara na Urussi
Mimi siombi urusi afanikiwe,naomba urusi asitishe mapigano ili raia wa ukraine waishi kwa amani.Tuombee Urussi afanikiwe hii operation ili dunia i balansi..
Hakuna jipyaBREAKING NEWS
Sasa ni rasmi. Marekani imepiga marufuku kuagiza Mafuta kutoka Urusi. Marekani iliagiza wastani wa mapipa Milioni 20 kila mwezi kutoka Urusi.View attachment 2143679
Unamaanisha kwamba Urusi inataka mazungumzo na USA? Urusi inatakiwa ijikite kutatua tatizo la Ukraine,badala ya kutaka kukutana na Ukraine ili wamalize mgogoro,Urusi inakazania kutaka kuzungumza na Marekani,sijui huu ujinga utaisha lini kwa kweli.Russia calls for return to 'peaceful co-existence' with U.S. like during Cold War -Interfax
Reuters
March 8 (Reuters) - Russia and the United States should return to the principle of "peaceful co-existence" like during the Cold War, the Interfax news agency cited the Russian foreign ministry as saying on Tuesday.
The foreign ministry added that it was open to honest and mutually respectful dialogue with the United States and that hope remained that normalcy in relations between the two countries could be restored, Interfax reported.
waliliona lkn ,imewabidi wakajipendekeza kwa maadui zao Iran,Syria ,Saudi Arabia ,maana hao hao malekani waliwawekeaga vikwazo vya kiuchumi,Sasa huu ndo muda wa hawa jamaa nao kupiga double standard [emoji1],hata hivyo haitatosha ,kum supless Russia kwenye volume ya mafuta aliyokuwa aki supply duniani.tushudie mafuta kupanda Bei zaidi !!Unadhani waliopiga ban hawajaona hilo?
Nipe hii clip nione