Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hili shambulizi la Ukraine itakua limeondoka pia na makamanda kadhaa wa Russia,ngoja tusubiri taarifa zaidi

[emoji845]BREAKING [emoji298]️
Russian Lieutenant Colonel Bachurin is among the dead of the Makiivka strike on Jan 1, 2023, special HIMARS [emoji3060] party.

He was the deputy commander of the regiment.

Russia MoD statement

#Makiivka #Donetsk #RussiaIsATerroristState #RussiaIsCollapsing #Ukraine
 
💀🇺🇦 On January 2, 2023, in Artemovsk (Bakhmut), the banderist Oleg Yurchenko was killed. Oleg was the organizer of the all-Ukrainian military-patriotic games "Falcons-Dzhura" - the educational program of the Bandera Hitler Youth, during which children were instilled hatred for Russia and everything Russian.
 
Wazo lako,Kama la kwangu,Kuna kitu hakipo sawa.
 
Dah!..hata kujifunza wanapokosea wanashindwa kabisa...uzembe wa kujirudiarudia unaonyesha udhaifu mkubwa kwenye chain of command.

ITR T14 Armata Hammaz
Kujipiga picha kwa wanajeshi wa Urusi ni hatari kuliko kwa Ukraine,maana Ukraine ile ni nchi yao na wanaijua kila kona hivyo ukijipiga picha na kupost kwenye mitandao ya kijamii ni rahisi kwa wanajeshi wa Ukraine kujua uko eneo gani maana hiyo ni nchi yao yanaijua.
Tofauti na wanajeshi wa Ukraine hata wakipiga picha wanajeshi wa Urusi sio rahisi kujua wako wapi maana wao ni wageni.
Kwanza Urusi huwa inasheria inayo kataza wanajeshi kutumia simu kwenye eneo la vita sasa sijui hawa waliruhusiwa kutumia kwa misingi ipi.
 

Wanajeshi 700 kwa wakati mmoja?? Impossible wanajeshi 700 kwa mkupuo haimake sense kabisa.
 
[emoji298]️The Russian Federation is preparing for a new massive attack on Ukraine, said the representative of the Main Directorate of Intelligence of the Ministry of Defense of Ukraine, Vadym Skybytskyi, on the air of the telethon.

Skybytskyi noted that the Russians will try to use new approaches during the shelling.

"For example, if they don't have enough missiles for a mass raid, they will combine high-precision missiles, X-22, and S-300 - especially in front-line areas, and kamikaze drones,"- he said.
 
[emoji298]️In Ukraine, the deployment of the American Patriot system is expected as soon as possible, said the Minister of Foreign Affairs Dmytro Kuleba.

"We ended last year with a revolutionary decision to provide Ukraine with American Patriot systems, which was agreed upon by Ukrainian and US leaders Volodymyr Zelenskyi and Joseph Biden. We expect the Patriots to be deployed as soon as possible,"- Kuleba said.
 
Bei ya Gas Ulaya inaendelea kushuka

[emoji298]️ The price of gas in Europe fell below 750 dollars per thousand cubic meters, reports ICE.

The price reached this level for the first time since 18 February 2022.
 
Hahahahahahaaaaa😆😆😆😆,we jamaa ni mweupe sana halafu unajifanya Unajua!
Eti wanajeshi wa Ukraine ni kwao hivyo wanagundua mazingira ya picha😆😆😆😆😆😆😆!
Umenivunja mbavu aiseee!
Hujui kuwa ukipiga picha popote na features zikawepo basi mtu anaweza kutumia details hizo Kwa kutumia Google map na kupata coordinates!
 
Hakuna jeshi duniani linaruhusu simu. Simu Ni njia rahisi ya mtumiaji kujulikana Geo -location yake. Mara kadhaa Askari wa ki syria hasa wa air defences systems wamekuwa wakishambuliwa kisa TU wanaji expose katika ishu ya Geo location
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…