Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

MKUU MIMI JANA NIMEKUONYESHA HII VIDEO YA VIKOSI VINAVYOPIGANIA UKRAINE WANAONDOKA FRONTLINE KWA SABABU WAMESEMA WAMEPOTEZA ASKARI WENGI SANA
SO WANAONDOKA
Kwa hiyo ukipoteza askari wengi dawa ni kuondoa askari front line.?.,by the way huko bakhumut story ni zilezile tu tangu mwezi wa 5..,Sasa tunashindwa kutambua lipi ni lipi

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji23]Hiii panya ngoja tulete paka humu maana umezid ...Kuna kipind ulikua unanikera ila Saiv nshajua we Ni comedian au motivation speaker kwa hio nikionaga comment zako nacheka tuh
Putin katafuta njia ya kujinasua na hili saga kaona hakuna., hivyo kaamua kusingizia skukuu ya waorthodox Ili kukimbia kichapo..,ni bahati mbaya sana hatofanikiwa maana vijana watamfuata huko huko anakotaka kukimbilia,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Putini kamshika tako Matanzua, aliyesema hadi tarehe sita - mwezi wa kwanza 2023 Ukraine itakuwa ishatekwa cha ajabu mzee wa watu kaamau kuomba poo kwanza
Hili liko wazi, jamaa kaona kichapo kinazidi kuwa kikali,imebidi aombe poo kiaina tu

Mbona hawakusutisha mapigano Ili kusheherekea victory day?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…