Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Uchungu wataonja hao wamagharibi..........tena yani wanajiweka kwenye 18 za watu waliowatibua.................Iran na Venezuela hapo lazima maslahi ya mrusi yasiguswe ..........Hili mbona liko wazi. BAADA ya kutengwa Iran kiuchumi kwa mda Mrefu Sasa ni zamu ya Russia kuonja uchungu wa vikwazo kamili. Vikwazo kwa Russia havitakuwa vichungu bila Mafuta ya Iran,Venezuela na Iraq kuingia sokoni.
Ngoja tuone Kama Iran itamsaliti Urusi ili kuondolewa vikwazo.