LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Hili mbona liko wazi. BAADA ya kutengwa Iran kiuchumi kwa mda Mrefu Sasa ni zamu ya Russia kuonja uchungu wa vikwazo kamili. Vikwazo kwa Russia havitakuwa vichungu bila Mafuta ya Iran,Venezuela na Iraq kuingia sokoni.

Ngoja tuone Kama Iran itamsaliti Urusi ili kuondolewa vikwazo.
Uchungu wataonja hao wamagharibi..........tena yani wanajiweka kwenye 18 za watu waliowatibua.................Iran na Venezuela hapo lazima maslahi ya mrusi yasiguswe ..........
Screenshot_20220308-225438_RT News.jpg
Screenshot_20220308-225421_RT News.jpg
 
Mabeberu.....ndio hawa wametupa vijisenti hapo juzi kati, ndio waliinusuru Ethiopia na njaa kubwa kutokana na ukame, walidhibiti ebola pale west africa!,na ndio hawa wanaotufundishia wapiganaji wetu kuhusu mbinu za kukabiliana na modern terrorism!kweli sisi ni mabingwa wa kulalama keyboards
Funguka akili wewe!

Wanachotupatia hakilingani na wanachochukua kwa mlango wa nyuma....kwa mzungu huwa hakuna free lunch [emoji39]
 
BREAKING NEWS

2 HOURS AGO.

Msaada wa Kijeshi wa Marekani kwa Ukraine umefika mda huu. ATGM na MANPADS za Kutungulia Vifaru na ndege zaidi ya 20,000 elfu zimewasili Ukraine. Thamani halisi ya Msaada huo wa kijeshi haijawekwa wazi.

Siku na Jumamosi,Marekani ilitangaza msaada wa kijeshi kwa Ukraine wenye thamani ni $ 360 mln.

Screenshot_20220308-230406.jpg
 
Yes Azov battalion nilisahau jina. Hawa wanapiga sana kuliko hata baadhi ya vikosi vya serikali na wakati hawapewi large caliber weapons
Sasa hivi AZOV REGIMENT ni sehemu ya vikosi rasmi vya serikari ya Ukraine na ilitambuliwa rasmi 2014
 
Siku wakishachukua Ukrain nafikiri ntakuwa na hoja za kuhoji.
 
Russian МІ-24 downed in Mykolaiv region by Urkrainian forces
Video sent to me by Ukrainian follower

Yes Azov battalion nilisahau jina. Hawa wanapiga sana kuliko hata baadhi ya vikosi vya serikali na wakati hawapewi large caliber weapons
Lakini nimeona twitter hawa watu sio wachache kama serikali inavyoclaim.
Kuna picha Wameshare NATO ya womens day ikionesha mwanamke mjeshi. Lakini bila kujua au walijua ila walikosa picha nyingine, Yule dadada ana patch ya Black sun ambayo ni moja ya Nembo za Neo nazi au hata wanazi wakale.
Hii inaonesha wapo wengi sababu kuu ni 2.
1. Wanawake ni minority Jeshini, so kama wamesambaa mpaka kwa minorities means ni wengi sana.
2. Mpaka NATO wameipost means ndio picha walau inaficha ( kama lengo lao halikuwa kusapoti Neo nazi). Asa kama hiyo ndio inaficha nyingine zikoje? Sababu Ulaya ukijihusisha na hawa racist umeloose kwa jamii.

Ukizoom picha hiyo chini utaona ( kifuani kwenye rangi ya brown hapo).

IMG_20220308_232131.jpg
 
Mabeberu.....ndio hawa wametupa vijisenti hapo juzi kati, ndio waliinusuru Ethiopia na njaa kubwa kutokana na ukame, walidhibiti ebola pale west africa!,na ndio hawa wanaotufundishia wapiganaji wetu kuhusu mbinu za kukabiliana na modern terrorism!kweli sisi ni mabingwa wa kulalama keyboards
Mtu mweusi hana shukran
 
Wasingeingilia taratibu za maisha ya watu wengine..... tokea enzi za mababu zao haya yote yasingetokea......
 
Poland says it is ready to deploy, "immediately and free of charge", all its MIG-29 jets to the Ramstein Air Base in Germany and place them "at the disposal" of the US government.

I don't know why but, Poland wanawatamani sana Russia aingie 18 zao, wamekuwa wachokozi sana
 
Urusi imepigwa sana hahahahaha umerogwa wewe
mzee, Urusi amepigwa sana. ndani hata wiki mbili hazijaisha Urusi yenyewe imekiri wanajeshi wake 500 wamekufa. wanajeshi hao ni wengi sana kwa jeshi imara kama la urusi. pia, vifaru vingi na ndege zimedunguliwa. ni kweli ukraine imechakazwa mno lakini hata urusi imepigwa mno. na ukiongeza na vikwazo, maumivu anayasikilizia kiukwelikweli.
 
Back
Top Bottom