Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Uchungu wataonja hao wamagharibi..........tena yani wanajiweka kwenye 18 za watu waliowatibua.................Iran na Venezuela hapo lazima maslahi ya mrusi yasiguswe ..........Hili mbona liko wazi. BAADA ya kutengwa Iran kiuchumi kwa mda Mrefu Sasa ni zamu ya Russia kuonja uchungu wa vikwazo kamili. Vikwazo kwa Russia havitakuwa vichungu bila Mafuta ya Iran,Venezuela na Iraq kuingia sokoni.
Ngoja tuone Kama Iran itamsaliti Urusi ili kuondolewa vikwazo.
Huu ubishi nimewaachia wasomaji naona nabishana na mtu anayetaka ligi. Kwa akili ya kawaida kabisa mtu atasoma ajue kipi ni kipiSijajua hata huku jamii forum, Kuna watu wenye upeo mdogo hivi.
Soma mwenyewe halafu niambie kama umeelewa.
UnajizalilishaView attachment 2143751View attachment 2143753View attachment 2143754
Funguka akili wewe!Mabeberu.....ndio hawa wametupa vijisenti hapo juzi kati, ndio waliinusuru Ethiopia na njaa kubwa kutokana na ukame, walidhibiti ebola pale west africa!,na ndio hawa wanaotufundishia wapiganaji wetu kuhusu mbinu za kukabiliana na modern terrorism!kweli sisi ni mabingwa wa kulalama keyboards
Sasa hivi AZOV REGIMENT ni sehemu ya vikosi rasmi vya serikari ya Ukraine na ilitambuliwa rasmi 2014Yes Azov battalion nilisahau jina. Hawa wanapiga sana kuliko hata baadhi ya vikosi vya serikali na wakati hawapewi large caliber weapons
Kwamba Iskander ni Short range ballistic missile full stopHuu ubishi nimewaachia wasomaji naona nabishana na mtu anayetaka ligi. Kwa akili ya kawaida kabisa mtu atasoma ajue kipi ni kipi
Soma hapo kwenye type na specification ndo utaelewa.Huu ubishi nimewaachia wasomaji naona nabishana na mtu anayetaka ligi. Kwa akili ya kawaida kabisa mtu atasoma ajue kipi ni kipi
Ukimaliza pita na hii WIONHuu ubishi nimewaachia wasomaji naona nabishana na mtu anayetaka ligi. Kwa akili ya kawaida kabisa mtu atasoma ajue kipi ni kipi
Lakini nimeona twitter hawa watu sio wachache kama serikali inavyoclaim.Yes Azov battalion nilisahau jina. Hawa wanapiga sana kuliko hata baadhi ya vikosi vya serikali na wakati hawapewi large caliber weapons
Nchi inayoongoza Dunia nzima kuwa na deposit ya Natural resources inakiwaje maskini labda wangekuwa hamna technology kama Kongo.
Achana naye huyo anajifanya mjuaji kama hayo madude yanatengenezwa kiwandani kwake wakati wote tunaziona tu mtandaoni na tunazisoma sifa zake mtandaoniSoma hapo kwenye type na specification ndo utaelewa.View attachment 2143815
Kwo mabeberu hao hao walomwekea vikwazo leo wamuombe mtu mwingine kuviondoa?Nchi za magharibi zataka Iran iondolewe vikwazo ili azibe gape la mafuta la russia ,russia yaweka masharti magumu ,mabeberu wamebaki wamekenua tu hawajui cha kufanya
Sawa mkuuAchana naye huyo anajifanya mjuaji kama hayo madude yanatengenezwa kiwandani kwake wakati wote tunaziona tu mtandaoni na tunazisoma sifa zake mtandaoni
Mtu mweusi hana shukranMabeberu.....ndio hawa wametupa vijisenti hapo juzi kati, ndio waliinusuru Ethiopia na njaa kubwa kutokana na ukame, walidhibiti ebola pale west africa!,na ndio hawa wanaotufundishia wapiganaji wetu kuhusu mbinu za kukabiliana na modern terrorism!kweli sisi ni mabingwa wa kulalama keyboards
Wasingeingilia taratibu za maisha ya watu wengine..... tokea enzi za mababu zao haya yote yasingetokea......Mabeberu.....ndio hawa wametupa vijisenti hapo juzi kati, ndio waliinusuru Ethiopia na njaa kubwa kutokana na ukame, walidhibiti ebola pale west africa!,na ndio hawa wanaotufundishia wapiganaji wetu kuhusu mbinu za kukabiliana na modern terrorism!kweli sisi ni mabingwa wa kulalama keyboards
mzee, Urusi amepigwa sana. ndani hata wiki mbili hazijaisha Urusi yenyewe imekiri wanajeshi wake 500 wamekufa. wanajeshi hao ni wengi sana kwa jeshi imara kama la urusi. pia, vifaru vingi na ndege zimedunguliwa. ni kweli ukraine imechakazwa mno lakini hata urusi imepigwa mno. na ukiongeza na vikwazo, maumivu anayasikilizia kiukwelikweli.Urusi imepigwa sana hahahahaha umerogwa wewe
Au wanasaini mikataba ya hovyo kama tanzaniaNchi inayoongoza Dunia nzima kuwa na deposit ya Natural resources inakiwaje maskini labda wangekuwa hamna technology kama Kongo.