LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Wataje tu ni wavaa pedo
 
Raisi wa Poland huyo na kauli yake
 
IRAN hajawahi kua na hio mipango nakaishasema sanaa
kuhusu ujeuri nilazma awe sababu anatetea maslahi yake nandio unaona leo hii wanampigia magoti kumuomba msamaha awauzie wese
kuhusiana na VENEZUELA nahisi nirahisi zaidi IRAN kukubali kuuza mafuta ila sio kwa VENEZUELA ila acha tuone
 
Nawaonea huruma sana hao wapoland maana shughuli wanayo
 
Weka data tuone kama hao hawawezi kureplace nafasi ya urusi.

Hapa mm naona Russia ataumia tuu, sio rahis nchi moja pekee kujitenga na kuweza kila kitu, yaan huyu jamaa ma kampuni karibia yoote yameondoka, europe na america wamefunga space hata waziri wake kashondwa ruka, sasa nishat ndio kiburi chake kapigwa ban leo, US kaanza, UK kafuatia, hapa bado German na France wanasubiriwa kesho, swift iko disconnected, hawez fanya miamala, mali za ma orliganch wake ziko freezed, central bank yake almost 300B iko freezed, etc
 
Mcdonald imefunga shuguli zake Urusi. Pamoja kusimasha shuguli kampuni ya Mcdonald itaendelea kuwalipa mishahara wafanyakazi wake 62000 waliopo Urusi.
 
???
 
Hawa wamarekani Uhuni wao upo wazi sasa......
Watatuambia hizo research facilities zina nini mpaka zisifall kwa russians.
Your browser is not able to display this video.
 
Kama Iran, Venezuela na Iraq wakikataa kuuza Mafuta kwa Marekani na Ulaya Basi ujue Marekani na Ulaya hawawezi kuweka vikwazo vya Nishati kwa Urusi.

Kama Iran anaushirika wa kweli na Urusi Kama tunavyoaminishwa Basi asusie kuwauzia Mafuta Ulaya.
Iran akatae hela!! Wewe unaweza?!
 
Kwa Sasa US, IRAN na VENEZUELA ni marafiki wakubwa mno[emoji2][emoji2], kumbuka Hana rafiki wala adui wa kudumu[emoji3][emoji3]. Hadi sasa Russia kwisha habari yake. Lakin mbona US huvamia nchi za watu na hali haiwi hivi? Hapo ndo utagundua nani mkubwa kati ya Russia na US, utagundua pia mkubwa ni mkubwa tu, na tatu utagundua kwanini US huenda vitani na washirika wake wa NATO, kwa sababu haiwezekani kuitenga NATO kwa vikwazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…