HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Wataje tu ni wavaa pedoToka niaze kufuatilia hivi vita vya Urusi v/s Ukraine naona Kuna baadhi ya watu wa Imani flani wanaishabikia Urusi ili kupata amani ya mioyo Yao kwa kulipa kisasi Kwa mashambulizi yaliyokwishafanya kwenye nchi za kiarabu, huu Ni ujinga Wa kiwango cha juu sana.