Me I and my self
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,084
- 8,861
Comment yako itunze kisha badae ukose cha kusema.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Makamanda wa Wagner Group wamechinja ng'ombe kadhaa kwa ajili ya kuchoma nyama kuwapongeza wapiganaji shupavu na wamebakisha mapumbu kwa ajili ya kuwa chemshia supu Wanamgambo wa Ukraine waliojisalimisha ili wasiuwaweView attachment 2477562
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Vip damu iliyobaki waliipeleka clemlin?[emoji849][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Makamanda wa Wagner Group wamechinja ng'ombe kadhaa kwa ajili ya kuchoma nyama kuwapongeza wapiganaji shupavu na wamebakisha mapumbu kwa ajili ya kuwa chemshia supu Wanamgambo wa Ukraine waliojisalimisha ili wasiuwaweView attachment 2477562
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Comment yako itunze kisha badae ukose cha kusema.
Shusha sketi na tight upate chanjo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wenzako mfano kina Jesus Mlokozi alipotea mpaka hivi leo baada ya kuona aibu kuu.
Shabaha Mtu wangu, unatumia silaha za mwaka 1949 unategemea nini.Watu wamekoswa huku kuchomwa kama mishikaki
Watu WAMEACHA mpaka siraha si mchezo
Sio wajinga,ndivyo walivyofundishwa na Marekani pamoja na NATO.Wanajeshi wa Ukraine wajinga sana.mnaingiaje kwenye mtego wa kuzungukwaView attachment 2477450
Hadi wew umesema hivi? Basi kweli hali si shwariHuko soledar mambo si mazuri
Dah!Ukraine isha anza kupokea vifaru View attachment 2477628
Jamani hawa bado wanadanganyana kuwa URUSI anatumia siraha za zamani daaaShabaha Mtu wangu, unatumia silaha za mwaka 1949 unategemea nini.
Naona wanaendelea kukopeswa ,Ukraine isha anza kupokea vifaru View attachment 2477628