Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Umejuaje mkuu wayukreni kuwahusisha na wavietnam wewe ndie unaesema lkn waukraine wenyewe kinyume chake warusi washafika laki moja na point wao elfu sita sasa mfano wako ndio uwe kwa taifa teule la urusi kwa damu zao wamwagazo hapo Ukraine mpaka majimbo wasitokuwa na interest nayo watayabeba hawataweza kufa bila kitu hapo bakhmut au soledarNimezikumbuka filamu za wamarekani dhidi ya vietnam.
Wavietnam wanauliwa kama siafu ila hawajali kwa sababu wanaamini one day yes.
Waukraine wamebeba uhusika wa vietnam
Wall Street Journall spoke with one of the commanders of the Ukrainian troops fighting for Artemovsk (identity is not disclosed). He spoke about heavy losses and said that if this continues, the Ukrainian military "may end there."
Vinaendelea zaporidhidhia, na kwingine lakini si kwa ukali huu, bakhumut ni key ya kukomboa Donabas yotewakuu sehemu nyingine vita vimesimama au mbona kama kwingine kimya sana
Kwani hukusikia stoo ya makombora yao ilitunguliwa mpaka waletewe mzigo.@HIMARS zipo wapi miji inaokotwa?
Hakuna mashetani,Matapeli na magaidi wa dunia kama nchi za magharibi (NATO) zikiongozwa na marekani.Putin anapambana kumaliza ushetani na ugaidi huo kwa niaba ya dunia anabidi kupongezwa kwa kuifanya dunia kuwa sehemu salama ya kuishi.Wakuu naomba kuuliza , hivi hivi vita vikiendelea mpaka mwaka kesho inamaa hii mikoa iliyotwaliwa na Shetani , muuwaji PUTIN watakuwa wanaishi tuu wanajeshi wa Russia ?maana naona mikoa mingine imekuwa magofu tuu . Alaaniwe Mshenzi Putin mavi kabisa .
Maiti zinanukia kama ccm [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waliokataa kujisalimisha huko Soledar wamepata malipo yao baada ya kazi ngumu waliyofanya kutoka kwa Zelensk.hakika Zelensk ni muajiri bora wa mwaka
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
View attachment 2477890View attachment 2477891
Kwani kati ya wewe na Urusi ambayo ina vyuo vikubwa vya kijeshi duniani nani anajua maana halisi ya SMO?Supa-pawa wa mchongo anafanya SMO kwa miezi 10 huku ameshindwa kuiteka nchi ndogo jirani yake.
Angeiweza NATO kweli huyu..
Kwa hiyo program kubwa kama hizi aachiwe atengeneze Marekani peke yake TU.kwa mawazo Yako.Program kubwa za silaha za gharama kubwa kama hizi zilichochea anguko la Ussr ya kale....
Huyu Mzee anaipeleka Urusi kwenye anguko.
Kwenye mambo ya vita na mambo kama haya ukubwa wa nchi au uwezo wa kivita hua hauangaliwi kwa ukubwa wa eneo au uchumi.Ukimlinganisha na huyu Supa-pawa wanayepigana, Ukraine ni dogo kabisa.
Vunjo lete mapichapichaRussia kafungua makucha yake!