kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Mimi mwenyewe Moderator wameniboa sana leo , Nina picha za maiti nyingi za askari wa urusi waliochinjwa Leo huko soledar, lakini nikitaka kuweka picha zinagoma eti,Vunjo ruhusu picha boss
Interesting....Kwani kati ya wewe na Urusi ambayo ina vyuo vikubwa vya kijeshi duniani nani anajua maana halisi ya SMO?
Au SMO inatakiwa iwe ya muda Gani?
Hivi kumbe na ile ilikuwa Vita na sio SMO ?Hivi tunapokuambiaga kua wanajeshi wa USA walijaribu vita na vikundi vya akina Gen Mohamed Farah Aideed huko Somalia Nini kiliwapata?
Ameamua kutangaza full scale war badala ya SMO ?Russia kafungua makucha yake!
We kweli hamnazo asa jinsi unavosema hizo picha za maiti yaan utazan kitu Cha kawaida ..we Ni chizi aiseeNawakumbusheni Moderator ..,hili ni jukwaa huru..,tuna picha za maiti nyingi za askari wa urusi hambao wanaendelea kuchinjwa kwenye uwanja wa vita..,tunawaomba kwa heshima na tahadhima mtufunguliea njia ya kuweka picha Ili tuweze kuzitupia hapa..,hivi mnavyotufanyia sio poa aisee
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nimekuambia uache upumbavu lakini naona kichwa chako ni kama kina minyooWe kweli hamnazo asa jinsi unavosema hizo picha za maiti yaan utazan kitu Cha kawaida ..we Ni chizi aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnashukuru kimoyomoyo maana leo mlikuwa mnakimbia jumla jumla kwa izi nondo tulizokuwa tumeziandaa.kuna picha ninazo hapa zinaonyesha maiti 430 za ukraine zikiwa zimepangwa kwa ajili ya kusafirishwa.@moderators fungulieni picha Ili tuwaonyeshe warusi wa buza wanavyochinjwa huku[emoji12]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12]Jamani Moderator tunaomba uungwana tafadhari,tufungulieni njia ya kuweka picha..,tuna picha nyingi za maiti nyingi za askari wa urusi tunataka kutupia hapa..,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeona chombo kimoja cha ufaransa France24
Imesema wagner WAMEPATA dhoruba KALI kwenye MJI wa soledar na wameishiwa siraha , wanaitaji msaada.
Tayari moderators wamesharuhusu picha, ndio maana tayari nimeshaweka takwimu za warusi jinsi wanavyozidi kuchinjwa huko Ukraine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnashukuru kimoyomoyo maana leo mlikuwa mnakimbia jumla jumla kwa izi nondo tulizokuwa tumeziandaa.kuna picha ninazo hapa zinaonyesha maiti 430 za ukraine zikiwa zimepangwa kwa ajili ya kusafirishwa.
Pia zipo picha zinaonyesha wanajeshi wa Ukraine wakianza kuondoka Bakhmut kwa awamu
Ni hatari kwa sasa.ndo habari ya mjiniNdugu zangu hizi Tank za Mrussi T-90 zinatamba sana huko vitani nipeni datail kidogo sifa zake nipate elimu.