kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Ndio maana boss wa Wagner, mwanzoni alidai kwamba askari wa kundi lake la Wagner ndio pekee wanapigana huko soledar, lakini baada ya kutoa matamshi hayo ,wizara ya ulinzi ya urusi ilijotokeza na kudai kwa kwamba madai hayo sio kweli,kwani hata askari wa jeshi la Urusi wanashiriki katika mapigano huko soledarRussian-installed official says Ukrainian ‘resistance’ persists in Soledar: Report
A Russian-installed official in Ukraine’s eastern Donetsk region has said “pockets of resistance” remain in the town of Soledar, according to a report by Russia’s state-owned TASS news agency.
Source Aljazeera
Russia now kuna Power struggle on how wanatakiwa kupigana Ukraine.
Yule bosi wa Wargner hakubaliani na maajenerali
Si tuliambiwa soledar yote imeshakombolewa na Wagner?[emoji28]Jamaa wanachofanyiwa baada ya kukataa kujisalimisha.
Ninashukuru kama mods wanazuia picha za maiti.Jamani Moderator tunaomba uungwana tafadhari,tufungulieni njia ya kuweka picha..,tuna picha nyingi za maiti nyingi za askari wa urusi tunataka kutupia hapa..,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tushasahau habari ya Soledar.sasa ivi tunaelekea sehemu nyingineSi tuliambiwa soledar yote imeshakombolewa na Wagner?[emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Ndio maana boss wa Wagner, mwanzoni alidai kwamba askari wa kundi lake la Wagner ndio pekee wanapigana huko soledar, lakini baada ya kutoa matamshi hayo ,wizara ya ulinzi ya urusi ilijotokeza na kudai kwa kwamba madai hayo sio kweli,kwani hata askari wa jeshi la Urusi wanashiriki katika mapigano huko soledar
Hii yote Inadhihilisha ukweli kwamba Kuna jinsi mambo hayaendi sawa kati ya pande hizi mbili,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mbona unajikanyaga SasaTushasahau habari ya Soledar.sasa ivi tunaelekea sehemu nyingineView attachment 2478389
Na ki infinix chako 😂😂😂Nimekuambia uache upumbavu lakini naona kichwa chako ni kama kina minyoo
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nimekuambia uache upumbavu lakini naona kichwa chako ni kama kina minyoo
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tatizo huyu mtoto ukimwambia ukweli ye anajib shombo cjui Ni under 18 huyu..yaan mtu na akili timamu haezi kulia lia apewe uhuru wa kupost maiti ...Ninashukuru kama mods wanazuia picha za maiti.
1. Picha hizi ni dalili tu ya ushamba wa hao wanaofurahia picha za miili na damu (haidhuru kama inahusu picha za Warusi au Waukraine)
2. Picha hizi hazionyeshi wala hazifundishi chochote. Tunajua kwamba makumi hadi mamia wanakufa kila siku. Picha inaongeza nini??
3. Kila mtu, hata hao wauaji na majambazi kutoka gerezani wa Wagner Group, ni mtoto wa Mungu anastahili heshima (hata akikanyaga heshima ya wengine). Unapata nini kuonyesha picha za maiti yake??
Watapapaswa sana na Putin!Sijui ndio hii nimeiona maana kuna moja nimeona jamaa wameshabanwa wanaambiwa weka silaha chini wakataka kuzingua jamaa kawamiminia risasi kama kama anaua kuku
Ukiacha huo upumbavu na utahaila ulio nao niite tujadilianeMm na ww unayetaka kurusha picha za maiti nan mpumbav ..unawaza nn we mwehu yaan kabisa unalia na mods waache urushe picha za maiti
Kwa hiyo?!?!Ndio maana boss wa Wagner, mwanzoni alidai kwamba askari wa kundi lake la Wagner ndio pekee wanapigana huko soledar, lakini baada ya kutoa matamshi hayo ,wizara ya ulinzi ya urusi ilijotokeza na kudai kwa kwamba madai hayo sio kweli,kwani hata askari wa jeshi la Urusi wanashiriki katika mapigano huko soledar
Hii yote Inadhihilisha ukweli kwamba Kuna jinsi mambo hayaendi sawa kati ya pande hizi mbili,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ndio maana nikakwambia kwamba ukiacha huo upumbavu na utahaila ulio nao niite tujadiliane,Tatizo huyu mtoto ukimwambia ukweli ye anajib shombo cjui Ni under 18 huyu..yaan mtu na akili timamu haezi kulia lia apewe uhuru wa kupost maiti ...
Tatizo huyu mtoto ukimwambia ukweli ye anajib shombo cjui Ni under 18 huyu..yaan mtu na akili timamu haezi kulia lia apewe uhuru wa kupost maiti ...Ninashukuru kama mods wanazuia picha za maiti.
1. Picha hizi ni dalili tu ya ushamba wa hao wanaofurahia picha za miili na damu (haidhuru kama inahusu picha za Warusi au Waukraine)
2. Picha hizi hazionyeshi wala hazifundishi chochote. Tunajua kwamba makumi hadi mamia wanakufa kila siku. Picha inaongeza nini??
3. Kila mtu, hata hao wauaji na majambazi kutoka gerezani wa Wagner Group, ni mtoto wa Mungu anastahili heshima (hata akikanyaga heshima ya wengine). Unapata nini kuonyesha picha za maiti yake??
Nijadiliane na mwehu ambae hajui kua ye Ni mwehuNdio maana nikakwambia kwamba ukiacha huo upumbavu na utahaila ulio nao niite tujadiliane,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app