lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Nakubaliana na wewe Mkuu.Ndugu yangu, huyo kipanya hawezi kuelewa ...unapoteza muda wako bure...huyo ana kazi maalum ya disinformation...ukisoma comments zake na kuzichambua utagundua Hilo...West wanna mbinu nyingi Sana...
Ila nilitaka TU kuweka kumbukumbu kwa faida ya wengine,kua Kuna kampuni moja ya UK ilipigwa bit na Urusi kwa kutengeneza propaganda na disinformation.
Halafu hawajiulizi kama walikua na uwezo wa kupiga huo msafara kweli mbona misafara mingine mitatu haikupigwa?
Na ndio kipindi hicho tukaambiwa mara Putin kafa,mara anaumwa,mara Urusi hawana silaha za kutosha,hawana chakula,wanaiba supa market lkn baade utawona wanasambaza vyakula kwa majimbo yaliyokombolewa na kwa wafungwa wao wa vita POW toka Ukraine.