Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Bila ya CHUMVI [emoji23][emoji16][emoji23]

Naona ndugu yangu T14 Armata simuoni kabisaaaaaa [emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu niko busy since last weekend. Tutaonana vizuri kuanzia wiki ijayo ikiisha inshallah, ngoja tuweke mambo sawa kwanza. Vita hii hainilishi na wala haiishi leo
 
Kuna watu vichwa vyao ubongo empty..utawasikia tu Urusi hawaweziiiii NYATO....... Ukiwapa mifano vivid kama hivyo wanakimbia ovyo kama mbwa wa sokoni.... Ooh ajribu aone
Acha TU mtoto wa nzi, Dunia hii ni ngumu sana kumbadilisha mtu mtazamo wake hata kama ukimuonesha Hali halisi,hasa kama amelishwa propaganda kama wenzetu Hawa.
 
Si wampe za masafa !!??
Ndo hapo utakapojua kua NATO wanamuogopa Russia.
Kuingia Vitani mazima wanaogopa na kumpa silaha za masafa marefu wanaogopa.
Maana wanajua Ukraine wakipewa za masafa marefu watazitumia,nao Urusi majibu yake yatakua marefu zaidi na mazito,na huo unaweza kua ndo mwisho wa Ukraine.
 
Mpaka Sasa unajidhihirisha wewe ni mtu wa namna gani,watu wenye Tabia ya kushobokea vitu vikubwa na kuona kumiliki simu kubwa ni big deal,ni Hawa wafuatao
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

1.vijana waliofanikiwa kuingia chuo na kuanza "kufake" maisha hambayo hayana uhalisia na kipato Chao huku wakiwatwisha mzigo wa kughalamia fakelife wazazi wao hambao wako huko kujijjini kazuramimba wakiwa hoi bin tahabani

2.mabinti hambao wamekaa muda mrefu kwa wazazi wao na kuanza kuwa mzigo kwa wazazi wao..,na hii ni kutokana na ukweli kwamba Kwa Tabia zao mbaya wamekosa mtu wa kuwaoa,Hawa nao faraja Yao Huwa wanaona ni kumiliki simu kubwa Ili kupunguza stress na zinazotokana na masimango wanayopata kutoka Kwa wazazi wao na jamii inayowazunguka

3.wanawake Malaya ,hasa wale Wanaofanya kazi ya saloon au kusuka nywele,Hawa nao huwaambii kitu linapokuja suala la kumiliki simu kubwa .

4. Vijana limbukeni hambao hawafikilii kuhusu maisha Yao ya baadae,na mara nyingi Hawa kazi Yao ni kula na kulala kwa baba na mama,hata usafiri wa baiskeli hawana,wanategemea Hela ya daladala kutoka Kwa baba,hawa nao huwaambii chochote linapokuja suala la kumiliki simu kubwa
[emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867]
Sina shaka utakuwa kwenye kundi Moja wapo hapo juu,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Punguza msongo wa mawazo kijana tafuta pesa ule ugali

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ukiachana na drone za uajemii silaha zp za msaada anatumia urusi
Safi sana.
Na hata hizo drone za Iran sio kua Mrusi Hana,Bali Mimi naimani huenda ni Iran wenyewe waliomba ili zitumike vitani kama majaribio ya silaha zao na kupima uwezo wao.nadhani hata wao hawakuyategemea matokeo ya silaha Yao.
Urusi wana drone zao ni hatari sana.
 
Nakuhakikishia huu msafara haukuguswa hata na tone la mvua.
Na Kuna misafara mingine zaidi ya mitatu iliondoka ilikotoka na kufika ilikokusudiwa kufika.
Kampuni ya UK ya propaganda ilihusika kutengeneza photoshoo hiyo.
Ndugu yangu, huyo kipanya hawezi kuelewa ...unapoteza muda wako bure...huyo ana kazi maalum ya disinformation...ukisoma comments zake na kuzichambua utagundua Hilo...West wanna mbinu nyingi Sana...
 
Sehemu kubwa unasema kweli lakini kitu ambacho siyo kweli ni kewamba Marekani hawauzi silaha kwa Ukraine. Hapo umekosea sana, mabebari hawana kitu cha bure!! Hupo ni mkopo wa muda mrefu wenye riba. Anachokifanya marekani ni kama alivyofanya kwenye vita kuu ya pili. Muunganbo wa mataifa yaliyokuwa yanapigana na Ujerumani walikuwa wanakopeshwa silaha na fedha kwa riba. Hata urusi wakati huo alikopa na deni lake ndo amemaliza kulipa miaka ya hivi karibuni tu.
Asante Mkuu.
Nafahamu kabisa kua USA atadai fedha hapo baadae.ila nilitaka kumuelezea Mkuu proved kwa kuonesha msisistizo kua kwa vita hii kati ya Urusi na Ukraine Mmarekani sio TU anataka kuuza silaha zake,Bali kikubwa zaidi kwake na lengo lake kubwa ni kuhakikisha kua Urusi anapigwa na kushindwa vibaya.
Ndio maana wakamwekea vikwazo kiabao ili kumdhiofisha.
Niliweka mkazo TU hapo.
Ingawa hizo silaha hazijaiyumbisha Urusi.
Najua kabisa tabia za Marekani,kwako vita ni biashara,blood money.
 
Mkuu samahani kidogo,umeongea vizuri sana ila naomba nipaweke sawa hapo penye ulinganifu wa NATO na URUSI.
NATO alinganishwe na akina LIBYA,IRAQ na makampuni kama vile akina WAGNER,hao ndio saizi yake
Ha ha haa,naona wewe unatafuta ugomvi na akina Proved na T14Armata.
Mie simo bana.
Ingawa kiukweli NATO walipigana na Watalaban kwa miaka 20
Watalabani sio waafghanistan wote,ni Kikundi TU ndani ya Afghanistan.
 
Mkuu Kuna wakati ulikuwa busy Sana humu na kusifia "mafanikio" ya Ukraine. Je, kipindi icho hii Vita ilikuwa inakulisha?
Vita sio uchaguzi mkuu kwamba ni msimu wa kampeni miezi miwili mitatu mnajadili suala mnamaliza. Mwaka unakaribia kutimia tangu ianze na haiishi soon utaizungumzia sana tu.

Kipindi hicho nilikuwa na muda wa kutosha
 
Soledar Ngoma nzito.
Wanaume kazini🤔
.....
Ukrainian army, of the 43rd Heavy Artillery Brigade fire a German howitzer Panzerhaubitze 2000, as Russia's attack on Ukraine continues, near Soledar, Ukraine.

📷REUTERS/Clodagh Kilcoyne
FB_IMG_1673640186699.jpg
 
Back
Top Bottom