Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tazama video mwanajeshi wa Ukraine ame share yuko karikati ya jiji la Soledar ambalo Russia wanasema wamechukua


Mkuu, naweza kujua kuwa una wiwa kweli usikie habari za Ukraine kufanya vizuri kwenye uwanja wa mapambano. Ndiyo maana ukipata habari yenye muelekeo huo unaibeba bila Hata kuifanya uchambuzi wa kawaida kabisa ili ujiridhishe kama taarifa hiyo ya kweli.

Twende Pamoja kwenye uchambuzi wa kawaida.

Solider mwezi mmoja uliopita mpaka juzi tu ilikuwa mkononi mwa Ukraine's Armed Forces. Yaani askari wa Ukraine ndio waliokuwa wanalinda mji huo na ilikuwa ngome Muhimu. Na katika kipindi hiki hatukusikia tactical retreat ya askari wa Ukraine kutoka Solider.

Sasa kwenye clip uliyotuwekea kutoka CNN, tunaona maeneo Karibu mengi ni magofu. Sasa kwa Pamoja tujiulize, hawa askari wa Ukraine wamekuwa vichaa kuchakaza ngome Yao kiasi cha kufanya mji huo kuwa Karibu wote magofu? Maana kwenye clip hiyo ndicho tunaona.

Hapo kwa logic ya kawaida magofu hayo yatakuwa yamesababishwa na kampuni ya ulinzi nayomshughulikia NATO hapo Solider.

Kwa hiyo, jitahidi kufanya uchambuzi wa kawaida kabla ya kuibuka na clip zinazoweza kukufanya uchutame bila kutarajia.

Asante.
 
Urusi kaleta habari kuwa wamechukua Soledar yote.video ni picha ya kila eneo la Soledar umewekewa.anayebisha alete ushahidi wa kwamba bado yupo Soledar na ushahidi huu hapa.

Usiongee kitu kama hauna ushahidi utakuja kwenda jela kizembe sana bwana mdogo.unaowasemea awana ushahidi wakuonyesha wapo Soledar sehemu gani.
Zaidi ya kuongea maneno tu.

Mwisho kabisa: tafuta kazi ya kufanya hii kazi uliyonayo sasa ivi ni hatari kwa maisha yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Video za BBC, sky news, CNN na France 24,
Wanaonyesha mapigano YAPO yapo maporini nyumba moja moja moja moja , kama vijijini.
Eti ndio soledar.
Daaa nashangaa
 
Soledar Ngoma nzito.
Wanaume kazini🤔
.....
Ukrainian army, of the 43rd Heavy Artillery Brigade fire a German howitzer Panzerhaubitze 2000, as Russia's attack on Ukraine continues, near Soledar, Ukraine.

📷REUTERS/Clodagh Kilcoyne
View attachment 2480092
Mkuu askari wa Ukraine washafukuzwa toka soledar,
Labda uniambie kuwa askari wa Ukraine wanarusha tuu mzinga tuu kwenye MJI wa soledar.
 
Mnapiga kelele pro Russia ndugu zenu wanajisalimisha huko Soledar tazama video


😁😁😊😀😊😃😊😅😃
Mkuu canal13
Chombo cha magharibi udaku. Angalia video zao zote wao WANASEMA china na URUSI tuu.
Screenshot_20230114-064749_YouTube.jpg

We unavyoona ni kweli hio juu
Screenshot_20230114-064722_YouTube.jpg
Screenshot_20230114-064722_YouTube.jpg
 
Video za BBC, sky news, CNN na France 24,
Wanaonyesha mapigano YAPO yapo maporini nyumba moja moja moja moja , kama vijijini.
Eti ndio soledar.
Daaa nashangaa
Mlitaka ushahidi sasa hivi mnasema nyumba mojamoja hahahaha acheni ngebe asilimia 90 ya anayosema urusi vitani ni uongo mtupu
 
Mkuu, naweza kujua kuwa una wiwa kweli usikie habari za Ukraine kufanya vizuri kwenye uwanja wa mapambano. Ndiyo maana ukipata habari yenye muelekeo huo unaibeba bila Hata kuifanya uchambuzi wa kawaida kabisa ili ujiridhishe kama taarifa hiyo ya kweli.

Twende Pamoja kwenye uchambuzi wa kawaida.

Solider mwezi mmoja uliopita mpaka juzi tu ilikuwa mkononi mwa Ukraine's Armed Forces. Yaani askari wa Ukraine ndio waliokuwa wanalinda mji huo na ilikuwa ngome Muhimu. Na katika kipindi hiki hatukusikia tactical retreat ya askari wa Ukraine kutoka Solider.

Sasa kwenye clip uliyotuwekea kutoka CNN, tunaona maeneo Karibu mengi ni magofu. Sasa kwa Pamoja tujiulize, hawa askari wa Ukraine wamekuwa vichaa kuchakaza ngome Yao kiasi cha kufanya mji huo kuwa Karibu wote magofu? Maana kwenye clip hiyo ndicho tunaona.

Hapo kwa logic ya kawaida magofu hayo yatakuwa yamesababishwa na kampuni ya ulinzi nayomshughulikia NATO hapo Solider.

Kwa hiyo, jitahidi kufanya uchambuzi wa kawaida kabla ya kuibuka na clip zinazoweza kukufanya uchutame bila kutarajia.

Asante.
Nilicholeta ni ushahidi wa kuwa wanajeshi wa Ukraine bado wapo katika mji wa Soledar sio utapeli anaosema Russia wamefukuza na wanaushikilia mji huo jaribu kutulia kabla ya kujibu hoja.Ulichoona ni magofu tu hahaha
 
Back
Top Bottom