Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Uzi gani tuonyeshe hapa.
Kwani mkuu tunapangiana kutumia JF, au nikifa JF unaacha kuitumia. Sikia, hizi siku nimekuwa na mambo mengi, nimekuwa nje ya Internet kwa siku mbili, nimekosa muda kujua kinachoendelea frontline. Nafasi ninayopata kidogo ni ya kusoma vitu visivyotumia akili au kuchangia kitu kwa uzoefu. Na sio mara ya kwanza kuachana na huu uzi kwa siku kadhaa, mnanikomalia hapa sijui kwanini.

Nahitaji muda kuelewa kilichojiri sio kukurupuka. Jana usiku nikawa napitia Oryx akatangaza mapumziko ya miezi 3 hadi 4, na kazi anayofanya hakuna yeyote anayeifanya walau nusu yakeView attachment 2480456
Wengi hatukutarajia vita utumie muda mwingi, it gets boring na majukumu yanatutoa mtandaoni
Kukimbia pia ni silaha ..... Usiwe na wasiwasi... Wee kimbia tu
 
Wanaondoka bakhmut jamani
Uraaaaa
Wanaondoka na vifurushi vyao toka USA.
JamiiForums-609949113.jpg
 
Back
Top Bottom