Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kukimbia pia ni silaha ..... Usiwe na wasiwasi... Wee kimbia tu
 
Ngoja nitoe tafsiri kwa wengine, Kwenye haya mazungumzo hawa Askari wa Wargner wanaambiana kuwa bado sehemu kubwa ya Soledar iko chini ya Jeshi la Ukraine, na kikubwa wanasema kwa nini Wakubwa wao wameruhurusu mbinu iliyosababisha wenzao wengi sana kufariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…