Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wale wataalamu wa mambo watueleze kwa nini Air defence systems za Ukraine zimeshindwa ku intercept ballistic missiles zilizoshambulia Kyiv na maeneo mbali mbali leo?

Ni kitu gani unique kwenye missiles zinazoflow on ballistic trajectory mpaka zishindwe kuwa detected na kuwa intercepted na air defence systems ambazo ukraine wanazo?

Msemaji wa Ukrainian Air force amesema hawana effective means ya kudetect na kudestroy ballistic missiles.

Zaidi soma hapa

Ukrainian Air Force reveal from where Russia struck Kyiv on 14 January
 
Mkuu nimetafuta sifa za yule jenerali Mjerumani Erich Wade. Sijakuta dalili yoyote kwamba mtu huyu yupo kweli. Hadi unaleta uthibitisho siamini habari hii ni kweli. Inaonekana ni uwongo wa propaganda tu ulioandaliwa kwa wasomaji wa mbali ambako hakuna anayeweza kujua kama mtu huyu yupo au la.
 
Yaani hawana mfumo wa kutambua Wala kuangusha makombora ya ballistic Sasa Ni kuwasha Moto mpaka wakija kupata wameogeshwa vya kutosha[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Msemaji wa Jeshi la Wanahewa Yuriy Ihnat alisema kuwa makombora ya Urusi huenda yalirushwa kwenye njia ya juu, yenye mteremko kutoka kaskazini, ambayo ingeeleza kwa nini king'ora cha mashambulizi ya anga hakikusikika. Ukraine haina uwezo wa kutambua na kurusha makombora ya balestiki, aliambia kituo cha mtandaoni cha Ukrainska Pravda.

Katika kaskazini mashariki mwa Ukraine, Oleg Synehubov, gavana wa eneo la Kharkiv, alisema makombora mawili ya S-300 yalishambulia mji huo karibu na mpaka wa Urusi mapema Jumamosi. Mashambulizi hayo yaligonga miundombinu muhimu ya nishati na vifaa vya viwandani katika wilaya ya Kharkiv na Chuhuev ya mkoa huo, alisema. "Vitengo vyetu vya huduma za dharura na wafanyikazi wa nishati wanafanya kazi kumaliza matokeo na kuleta utulivu wa hali na usambazaji wa nishati," alisema.

Gavana wa eneo la kati la Cherkasy alionya kwamba shambulio kubwa la kombora la Urusi linaweza kutokea baadaye Jumamosi, wakati gavana wa Mykolaiv kusini alisema kwamba ndege 17 za kivita za Tupolev za Urusi zilipaa kutoka kwa kambi zao za anga.

Urusi ilisema siku ya Ijumaa kuwa vikosi vyake vimechukua udhibiti wa Soledar, katika jambo ambalo lingekuwa nadra kwa Moscow baada ya miezi kadhaa ya kurudi nyuma kwa uwanja wa vita, lakini Kyiv ilisema kuwa wanajeshi wake bado wanapigana katika mji huo. BBC haikuweza kuthibitisha mara moja hali katika eneo la Soledar.
 
Anachokifanya urusi huko Ukraine tunaweza kukilinganisha na hii picha.., jamaa atajikuta amepata kilema Cha maisha huku akirushwa nyuma Karne Moja bila kufanikiwa malengo yake.., kweli akili kumkichwa[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kama ingekuwa rahis hivyo Wala tusingeona hekaheka za mobilization [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mobilization ilikuwa si kwasababu wengi wamekufa ila kuongeza nguvu kwaakili zako unazani jeshi la urusi lilikuwa na wanajeshi 200,000 tu? Walivyokufa 100,000 ndio mwisho? Kiwango Cha kufikili tumetofautiana.
 
Hii nadhani wangeiita western war sio world war III
Kwanza ni Northern war! Kwa Kuanzia. Maana hakuna member wa Southern part anashiriki !
Wameambiwa, huu Mgogoro kwisha lazima Ukraine ijidhihirishe haitakuwa tishio kwa Russia. Na hili lawezekana kwa mazungumzo ama kwa kipigo cha kijeshi.
===
Nikirudi kwenye post hii. Ukraine inaonekana kuwa na hamu sana ya kuingiza Belarus kwenye Mgogoro wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…