Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwani kujua lugha ukishajifunza ni tatizo?

Mimi naijua wolofu kuongea inapatikana nchingjne tatu Senegal, Mauritânia na ipo nchi nyengine na sijawahi kufika huko.

Kwahiyo kama unaona geni kujua lugha ni shida.
sio tatizo mkuu, kirusi ni lugha kama rugha nyingine tuu.
Maana video tumerusha nyingi sana HUMU hajatafsili ila hio katoa, maana.
Sasa sijajua mda WOTE alikuwa wapi.
 
View attachment 2481257
A picture published by Ukraine's DTEK shows large-scale destruction in one of the Kyiv thermal power plants after today's massive Russian attack. The turbine hall and the power unit as a whole were damaged (or destroyed).
Bila shaka ni Iskander iliyorushwa leo kutokea Belarus.hapo ni kuuza chuma chakavu tu hamna mtambo uliosalia hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yani waliosema jamaa kaishiwa silaha ndo wamekuwa wakwanza kukata moto, aliyeishiwa silaha ndo yupo moto wa kuotea mbali.

Hii imekaaje wadau[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Urusi ni dude kubwa kama TREKTA haulioni sheli kuweka mafuta lakini linachapa kazi muda wote....😁😁😁😁
 
Daaa pro NATO naona yupo mr kp kipanya44 tuu wengine sijui wapo wapi daaa
Nipo peke yangu lakini nawawakilisha vyema wenzangu..,ndio maana warusi wa buza wanakosa amani, wengine wanajikuta wametokwa na mitus tu .., hawataki kuniona hapa,Mimi nawaambieni nivumilie tu maana nipo na nitaendelea kuwepo [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hauna jipya wewe[emoji23][emoji23][emoji12].upo kama paka yatima kwa sasa[emoji1787][emoji1787].
 
Si vibaya kukumbusha kwamba hasara aliyopata super pawer wa mchongo Ina thamani ya asset za kijeshi ukiunganisha kwa pamoja, Kenya,bulundi Rwanda, Tanzania, msumbiji, Malawi, Zambia,sudani zote.., ukiunganisha assets za mataifa hayo ndo unaweza kupata idadi kamili ya hasara hambayo amelamba huyu super pawer wa mchongo mpaka Sasa.., kufikia mwezi June mwaka huu nafikiri hasara itafikia assets zote za mataifa yote ya Africa kwa pamoja 🥱🥱🥱

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Poleni sana warusi wa buza kwa super pawer wenu kuhenyeshwa na kanchi kadoogo Tena jirani yake.., operation ya saa 72 kuwaondoa wanazimamboleo imeota mbawa..,Sasa ni mwendo wa danadana tu vumilieni [emoji16][emoji28][emoji2]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Naomba source mkuu
 
Two more echelons with Russian equipment arrived in Belarus. In total, according to the estimates of the Belarusian opposition, there were at least 91 units of military equipment in them.


Russia ni mfano wa trekta, muda wote lipo kazini bila ya kuonekana kituo cha mafuta

Tuendelee kusubiria hadithi ya russia kuishiwa silaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…