kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Hiyo maana ya " estimate" naijua sana Wala huna haja ya kutumia nguvu nyingi kufafanua,..,sote tunajua kwamba urusi alifanya mobilization ya askari laki tatu,na Bado muda si mrefu atawaswaga vijana wengine laki Tano Ili awapeleke machinjioni..,kwa kuzingatia Hali hii napata mashaka na idadi inayotolewa na Ukraine kuhusu warusi waliochinjwa...,hiyo idadi ya 120000 Iko chini mno kulingana na uhalisia unaoonekana kwenye uwanja wa vita,Hii maana ya neno estimate usiwe unakurupuka tu Kama umekula maharage ya mbeyaView attachment 2482071
Ukraine baadhi ya missiles kutoka AD zao zinadondokea Residential buildings alafu wanakuja kulalamika kwamba Russia ndio imeshambulia Residential areasKuna anti air missile moja huko maeneo ya Dnipro baada ya kutungua cruiser, yenyewe ikaenda kupiga moja kwa moja kwenye nyumba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii sijui imekaaje wadau [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukraine baadhi ya missiles kutoka AD zao zinadondokea Residential buildings alafu wanakuja kulalamika kwamba Russia ndio imeshambulia Residential areasView attachment 2482091
Aloo naona unalazimisha waongeze nguvu kwenye uongo wao [emoji1732][emoji1732]Ni zombie au tahaila pekee hambaye hawezi kuamini kwamba urusi ameshapoteza asikari takriban 120000 au zaidi mpaka Sasa..,hiyo idadi inayotajwa na Ukraine ni ndogo kulingana na idadi ya warusi wanaochinjwa kila siku,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Acha kujipa umuhimu usiokuwa nao. Halafu mbona unacheka cheka sana, una shida gani?@kp kipanya44 yeye anajua wazi kwamba uwepo wake hapa unawakera wengi.,na ndio maana Kwa kutambua Hilo anaendelea kuwepo Ili waendelee kukereka[emoji23][emoji28][emoji1787]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kunikwot tu , tayari umeshaonesha umuhimu wangu,hiyo coment ingekuwa haijakutouch ungepotezea..,[emoji28]Acha kujipa umuhimu usiokuwa nao. Halafu mbona unacheka cheka sana, una shida gani?
Putin ametayarisha fimbo za kutosha kwa wananchi wa Uikraine,acha washikishwe adabu.Dah aise hapo iko ki jenereta nikajua ni kariakoo [emoji848][emoji848][emoji848]
Wamachinga wanakimbilia ndani vitu vimeshuka bei.
Kumbe ukilein wadau wanaokoa nafsi zao
Yani si waungame tu nawaonea huruma maana wataisha
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huyo Putin unayempigia chapuo amejiingiza kwenye mtego hambao hajui atatokaje🥱Putin ametayarisha fimbo za kutosha kwa wananchi wa Uikraine,acha washikishwe adabu.
Kama utakumbuka zele akiwa mchekeshaji, aliwaongoza waUikrane wakasusia bidhaa toka Urusi.
Jakamoyo halikuishia hapo,wakamtoa kiongozi aliyeungwa mkono na Urusi kwa maandamano.
Punguza utotoKunikwot tu , tayari umeshaonesha umuhimu wangu,hiyo coment ingekuwa haijakutouch ungepotezea..,[emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
https://www.facebook.com/Nasikia Mikoa yote ya Ukraine imepigwa na mashambulizi mapya ya Urusi.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Utoto Wangu unauona kwa kuwa naandika kile usichokipenda,Punguza utoto
Ujachoka kuleta ramani zako Mzee? Tangu mwezi June?[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Kipanya44 unateseka ukiwa Gumba sehemu gani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2482131
Shukrani sanaUfafanuzi kabla mbingunikwetu hajaja kuelezea zaidiView attachment 2482110
Russia ameshaanza kutumia red force,mobilize wamepewa jina hilo au Nina uoni hafifu.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Kipanya44 unateseka ukiwa Gumba sehemu gani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2482131
Mkuu movie za sniper,commando zimetuathiri sana.Nawashauri vijana Ili kutunza afya ya akili watulize bongo zao na KUTAZAMA mechi na fikra na kuitambua Russia kama military Superpower wa ukweli.. ...Ukraine iliandaliwa vilivyo yaani Ukraine inatumia milipuko KWA siku MOJA ambayo Ujerumani anatengeneza KWA miezi sita. Hii ina maana huyo mjerumani Mfaransa Mwingereza walishaachwa KWA nguvu za kijeshi alizopandikiziwa Ukraine na BADO Ukraine anapokea misaada endelevu. Kama una ubongo hutashipaza shingo.
Pia jiulize Russia anavyofanya mambo yake KWA uwazi anakupa mpaka tarehe ya mobilization , idadi nk step zote wazi. Kama BADO bongo ziko active utajua huyu mtu anajua anachofanya
Kenge mweusi IQ yako ndio ndogo hivi mtaani jirani yako kavamiwa akaja kuazima panga kwako akapambane na wavamizi je wewe utakuwa umehusika na hilo pambano la wavamizi.Ndio maana nakuambia IQ yako inatakiwa tuipime wenye Vita wanakubali wewe unapinga hata ubalozi wa nyumba kumi hujawahi kuongoza.View attachment 2481768