kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Nimekwambia usome huu Uzi Toka mwanzo mpaka hapa hambapo tayari umefikia..,je umeshausoma?wacha we Mlitamani hizo stamp zenu mzisambaze mlipo hisi mwanzo kua msha muweza URUSI lakini baada ya mambo kua magumu
Mmeona mjiliwaze nazo zijisije zikaozea library sio!!!
Stamp za kwenye daraja mlilolipiga kule zimewatikoa puani.
Sasa hivi wanaishia kulalamika oh URUSI anapiga Raia.
Wakati mna ji selfie mna onekana anawatungua kueni makini.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Russia akitumia ardhi ya Belarus nchi za NATO zitailngulia Safari hii ndio sbbu ya kuifanya Ukraine kua mwanachama wa NATO si kisheria ndio mkakati uliopo sasaiviPoland [emoji1200] hawezi kuingilia maana anabidi apate idhini ya NATO kupeleka jeshi kwenye Ardhi ya kigeni ili ikitokea ya kutoa aweze kupata support ya NATO nzima.
Pili, Majeshi ya Urusi yanaweza kutokea Belarus [emoji1044] ila sio wanajeshi wa Belarus, itakuwa kama mwanzo wa hii operation ilivyoanza, kuna majeshi ya Urusi yalitokea Belarus [emoji1044].
Eh mmeghaili tena baada ya miaka 5 ndio ataishiwa sio kaishiwa.Ngoja danadana ziendelee..,ikifika miaka angalau 5 hambayo tayari imeshatengewa bajeti tutajua mbivu na mbichi[emoji6]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Calm downNimekwambia usome huu Uzi Toka mwanzo mpaka hapa hambapo tayari umefikia..,je umeshausoma?
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tulia hapo hapo , uendelee kushuhudia jinsi super pawer wa kuchonga anavyopigishwa danadana, kuhusu suala la muda Wala usjar,Calm down
Haibadilishi maana ya ushindi wa URUSI dhidi ya Ukraine
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hii vita itakuja kua na hatima mbaya sn maana malengo ya US ktk hii vita ni kuhakikisha vita inaendela dhidi ya Russia kijeshi na kivikwazo ili baada ya muda kuhakikisha kabisa Russia anatoka ktk kuwa superpower.kitu ambacho Russia hatokubali itabidi Russia watumie nuclears kuimaliza hii vita kotu ambacho mtaifa ya magharibi hayatakubali. Ndio hapo sasa mwisho jtakua mbaya snStoltenberg mara zote amekuwa akisisitiza kwamba urusi amedhamilia kuendelea na hii vita kwa muda mrefu na Hana dalili za kukomesha vita hii.., usifikiri katibu huyu wa NATO anatoa kauli hizi bahati mbaya, Bali hizi kauli zinakuwa zinalenga kuyaweka attention mataifa mbalimbali kuendelea kusupply silaha nyingi kuelekea Kiev kadri wawezavyo,na lengo lao ni kuhakikisha urusi anapigishwa danadana Mpaka apate kilema Cha maisha hata kama hizo danadana zitachukua miaka 10
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kweli hii vita itakuwa na mwisho mbaya.., lakini kama suala la kutumia nyuklia lingekuwa rahis kiasi hicho, sidhani kama urusi angeendelea kuteswa na nchi kama ukraine kwa muda wote huu, kumbuka tu kwamba Putin ametishia kutumia nyuklia tangu mwanzoni kabisa wakati anatangaza huu uvamizi..,swali ni; je anakwama wapi kutumia nyuklia?? Russia ameshatoa vitisho vya kutumia nyuklia zaidi ya mara 5Hii vita itakuja kua na hatima mbaya sn maana malengo ya US ktk hii vita ni kuhakikisha vita inaendela dhidi ya Russia kijeshi na kivikwazo ili baada ya muda kuhakikisha kabisa Russia anatoka ktk kuwa superpower.kitu ambacho Russia hatokubali itabidi Russia watumie nuclears kuimaliza hii vita kotu ambacho mtaifa ya magharibi hayatakubali. Ndio hapo sasa mwisho jtakua mbaya sn
Russia anapeleka madude Belarus LENGO ni kumfanya Ukraine agawe resources zake za vita yaani wanajeshi na silaha wakati huo Russia anateka maeneo huko East na South bila bughudha kubwa. LENGO jingine ni kuonesha maguvu yake kuwakatisha tamaa wadau wa zeleskyHii vita itakuja kua na hatima mbaya sn maana malengo ya US ktk hii vita ni kuhakikisha vita inaendela dhidi ya Russia kijeshi na kivikwazo ili baada ya muda kuhakikisha kabisa Russia anatoka ktk kuwa superpower.kitu ambacho Russia hatokubali itabidi Russia watumie nuclears kuimaliza hii vita kotu ambacho mtaifa ya magharibi hayatakubali. Ndio hapo sasa mwisho jtakua mbaya sn
Wap mzee hio kitu siku ya kupigwa utajua basi? Hio ni last cetter.au turufu ya mwisho.ili uheshimike ni lazima uwe na hizo zaga.Kweli hii vita itakuwa na mwisho mbaya.., lakini kama suala la kutumia nyuklia lingekuwa rahis kiasi hicho, sidhani kama urusi angeendelea kuteswa na nchi kama ukraine kwa muda wote huu, kumbuka tu kwamba Putin ametishia kutumia nyuklia tangu mwanzoni kabisa wakati anatangaza huu uvamizi..,swali ni; je anakwama wapi kutumia nyuklia?? Russia ameshatoa vitisho vya kutumia nyuklia zaidi ya mara 5
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nyie watu sijui vipi...Pale Russia ilipoanzisha SMO kwa maana ya February 24 ule msafara mrefu wa decoy wa Russia ulipokuwa unaelekea Kiev ulikuwa umetokea Belarus...na basdaye msafara huo ulirejea Tena Belarus...Ukraine nae amejuimuishwa kua mwanachama wa NATO si kisheria baada ya Russia kuonekena kutaka kutumia ardhi ya Belarus... Sasa hapo ndio patamu maana Poland ataingilia ktk muda si mrefu km Belarus itatumika kuishambulia Ukraine
Unafikiri Russia yeye anapofanya hivyo hagawanyi resources zake? ( Wanajeshi na silaha)Russia anapeleka madude Belarus LENGO ni kumfanya Ukraine agawe resources zake za vita yaani wanajeshi na silaha wakati huo Russia anateka maeneo huko East na South bila bughudha kubwa. LENGO jingine ni kuonesha maguvu yake kuwakatisha tamaa wadau wa zelesky
Jamaa yupo vizuriNimekwambia usome huu Uzi Toka mwanzo mpaka hapa hambapo tayari umefikia..,je umeshausoma?
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hapo ndipo mnaponiacha hoi,eti urusi hajatumia jeshi lake kamili, wakati tumeshuhudia makamanda wake mashuhuli wakichinjwa mchana kweupe.., baada ya kuona wanachinjwa sana kafanya mobilization ya askari laki tatu..,hiyo nayo kaona haijafua dafu,bado anajiandaa kuwaswaga vijana wengine laki Tano Ili awapeleke machinjioni 🥱🥱Wap mzee.hio kitu siku ya kupigwa utajua bas.? Hio ni last cetter.au turufu ya mwisho.ili uheshimike ni lazima uwe na hizo zaga. Kuhusu kupigwa ukrain na nucleyar wala maana ukisoma hata haabr zao wanasema hata hilo jesh la urus halijapelekwa ni namba ndogo sana ya wanajesh sana sana wanatumia wale jamaa wa kukod ambao naskia wanalipwa hela ndefu jamaa wa wagmer pmc.
Kila nchi ina doctirine yake ya kutumia sio jus kuamka na kusema piga bomu hilo hapana.na nuclear doctiene ya urus ni kutumia nuklia endapo watashambuliwa ingawa juz niliskia jamaa wanataka kupeleka bungen wabadilishe iwe kushambulia hata bila kushambuliwa.mzee hivo vitu vigumu sana
Huyo jamaa anakwambia mashambulizi ya Jana ya urusi ndo yamemfanya aamini kwamba ni kweli urusi hajaishiwa silaha 🥱🥱Jamaa yupo vizuri
We pambana nae
Ikiwa ngoma nzito
It's ndugu zako wakusaidie
Uraaàaaaaaaaaaaa
Russia atakuja kutumia nyuklia huko mbele ya safari maana hii vita Russia hawezi kumshinda Ukraine vovote vile hasa US km anaendelea kumsaidia Ukraine. Sana sana Russia atafukuzwa na Ukraine ktk ardhi ya Ukraine lkn sio kumshinda Ukraine. Na hapo sasa Russia atatumia nyuklia kumshinda Ukraine maana hana namna yoyote ile ya kushinda hii vita na hapo sasa ndio itakua mbaya sn Kwa Russia maana mataifa ya magharibi yatamshambulia sn.Kweli hii vita itakuwa na mwisho mbaya.., lakini kama suala la kutumia nyuklia lingekuwa rahis kiasi hicho, sidhani kama urusi angeendelea kuteswa na nchi kama ukraine kwa muda wote huu, kumbuka tu kwamba Putin ametishia kutumia nyuklia tangu mwanzoni kabisa wakati anatangaza huu uvamizi..,swali ni; je anakwama wapi kutumia nyuklia?? Russia ameshatoa vitisho vya kutumia nyuklia zaidi ya mara 5
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Yeye apeleke tu lkn Russia Kwa sasa Ukraine itamsumbua snRussia anapeleka madude Belarus LENGO ni kumfanya Ukraine agawe resources zake za vita yaani wanajeshi na silaha wakati huo Russia anateka maeneo huko East na South bila bughudha kubwa. LENGO jingine ni kuonesha maguvu yake kuwakatisha tamaa wadau wa zelesky
Samahani mkuu, unafikiri kwa nini US hakutumia nyuklia kule Vietnam mpaka akaaamua kukimbia kwa aibu?Russia atakuja kutumia nyuklia huko mbele ya safari maana hii vita Russia hawezi kumshinda Ukraine vovote vile hasa US km anaendelea kumsaidia Ukraine. Sana sana Russia atafukuzwa na Ukraine ktk ardhi ya Ukraine lkn sio kumshinda Ukraine. Na hapo sasa Russia atatumia nyuklia kumshinda Ukraine maana hana namna yoyote ile ya kushinda hii vita na hapo sasa ndio itakua mbaya sn Kwa Russia maana mataifa ya magharibi yatamshambulia sn.
Wewe na Bakhresa nyote mnaweza kugawa resources zenuUnafikiri Russia yeye anapofanya hivyo hagawanyi resources zake? ( Wanajeshi na silaha)
Mbona unaangalia upande mmoja tu?
Au ndo mahaba Niue hayo[emoji23][emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hiyo ardhi ni ya Russia siyo ya UKRAINE mkuu. Ndio maana mambo sio kama awaliRussia atakuja kutumia nyuklia huko mbele ya safari maana hii vita Russia hawezi kumshinda Ukraine vovote vile hasa US km anaendelea kumsaidia Ukraine. Sana sana Russia atafukuzwa na Ukraine ktk ardhi ya Ukraine lkn sio kumshinda Ukraine. Na hapo sasa Russia atatumia nyuklia kumshinda Ukraine maana hana namna yoyote ile ya kushinda hii vita na hapo sasa ndio itakua mbaya sn Kwa Russia maana mataifa ya magharibi yatamshambulia sn.