kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Unasahau kwamba urusi pamoja na Ukraine wote Wana back up somewhere..,na hizo back zinaongezwa kulingana na uhitaji wa kila mmoja,Wewe na Bakhresa nyote mnaweza kugawa resources zenu
Vita ya US na Vietnam ni tofauti ya Ukraine na Russia. Hii vita US anapambana na kuitoa Russia ktk u super power. Sasa ili Russia aje aishinde Ukraine lazima atumie hizo silaha za hatari...Samahani mkuu, unafikiri kwa nini US hakutumia nyuklia kule Vietnam mpaka akaaamua kukimbia kwa aibu?
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ina maana yule anayejiita super pawer kwa Sasa anachakazwa katika ardhi yake,sio!?Hiyo ardhi ni ya Russia siyo ya UKRAINE mkuu . Ndio maana mambo sio kama awali
Sawa, ngoja tuendelee kunywa mtoli..,kivyovyote vile nyama tutazikuta tu ndani,hata kama itachukua muda mrefuVita ya US na Vietnam ni tofauti ya Ukraine na Russia. Hii vita US anapambana na kuitoa Russia ktk u super power. Sasa ili Russia aje aishinde Ukraine lazima atumie hizo silaha za hatari...
Mbona bombers zinatokea Belarus [emoji1044] siku zote Na hakuna kilichofanyika?Russia akitumia ardhi ya Belarus nchi za NATO zitailngulia Safari hii ndio sbbu ya kuifanya Ukraine kua mwanachama wa NATO si kisheria ndio mkakati uliopo sasaivi
Nimetulia hapa hapa nikiendelea kuangalia jinsi magofu ya Ukraine yakiendelea kuwaka motoTulia hapo hapo , uendelee kushuhudia jinsi super pawer wa kuchonga anavyopigishwa danadana, kuhusu suala la muda Wala usjar,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Asante ongeza nyingine nikupe tunzoHauna akili
Hellow!! tuoneshe ghala la Russia lililo ishiwa silaha hapa nilioneHuyo jamaa anakwambia mashambulizi ya Jana ya urusi ndo yamemfanya aamini kwamba ni kweli urusi hajaishiwa silaha 🥱🥱
Anakwambia patriot system zilizopelekwa na Ukraine hazijafanya chochote kuzuia mashambulizi ya Jana huko Ukraine..,huyu kwanza asome huu Uzi kuanzia mwanzo mpaka mwisho ndio tunaweza kupata kitu Cha kujadili
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Haujaacha utoto wako tuWaombeeni kwanza warusi hambao wanapelekwa machinjioni na dikiteta wao bila kujua wanachokipigania.., soon zelensiky ataletewa mait ya Putin na kupiga selfie [emoji1702][emoji1702][emoji23]View attachment 2482288
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ukraine Hana Cha kupoteza mpaka Sasa..,kama ni nchi imeshaharibika sana ..,Cha msingi ni kuendelea kumpigisha danadana huyu anayejiita super pawer, mpaka apate kilema Cha maishaNimetulia hapa hapa nikiendelea kuangalia jinsi magofu ya Ukraine yakiendelea kuwaka moto
Na jioni inavyo ingia huko cjui watatumia vibatari vilivyo tengenezwa Nchi gani
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Alitumia agent Orange ambayo Ina madhara sana kwa mimea mpaka binadamu.Samahani mkuu, unafikiri kwa nini US hakutumia nyuklia kule Vietnam mpaka akaaamua kukimbia kwa aibu?
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kaa kwa kutulia Sasa.. ,hicho ndicho kinaenda kumkuta super pawer wa mchongo huko Ukraine.., huyu hatopigwa kama paka mwizi,Bali atapigwa kama mbwa KokoAlitumia agent Orange ambayo Ina madhara sana kwa mimea mpaka binadamu.
Lakini alipigwa kama paka mwizi na Wavietcong na kumimbia kwa aibu.
I'm here to stay, vumilieni tafadhari [emoji16]Haujaacha utoto wako tu
Na kuelewa sasa kumbe unajua kabisa kua Ukraine inazidi kupotea alafu unataka danadana ziendelee wewe Raia wale watazikwa kaburi moja.Ukraine Hana Cha kupoteza mpaka Sasa..,kama ni nchi imeshaharibika sana ..,Cha msingi ni kuendelea kumpigisha danadana huyu anayejiita super pawer, mpaka apate kilema Cha maisha
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ogopa warusiKaa kwa kutulia Sasa.. ,hicho ndicho kinaenda kumkuta super pawer wa mchongo huko Ukraine.., huyu hatopigwa kama paka mwizi,Bali atapigwa kama mbwa Koko
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nikumbushe tu urusi ameshamobilize askari laki tatu,na wote wameshachinjwa au kutiwa vilema..,Kwa Sasa anajiandaa kumobilize wengi laki Tano,hao wote watachinjwa au kutiwa vilema..,wataedelea kuchinjwa hivyo hivyo mpaka atakapopata akili, maana kenge hasikii mpaka damu zimtoke masikioni [emoji16]Na kuelewa sasa kumbe unajua kabisa kua Ukraine inazidi kupotea alafu unataka danadana ziendelee wewe Raia wale watazikwa kaburi moja.
Mkatafutana humu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app