Lazma ku disappear kuliko kupigishwa vita na rais wa mchongo kwanini wasitorokeKinacho wakuta wenzio bakhmut kina jieleza cna haja ya kuuliza. Kazi kwako mtoa takwimu. Mpe jibu na huyo generalView attachment 2483118View attachment 2483119
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wewe ungekuwa unajitambua usingeunga mkono uvamizi wa taifa hambalo halijawahi kurusha hata jiwe kwenye mipaka ya taifa vamizi!!
Sawa lkn kwa mada hii tunazungumzia wamarekani kuikataa NATO.Swala hapa ni raia kujitokeza na kupinga hadharani maamuzi yanayofanywa na mamlaka za nchi zao.., usitake kujizima data Mkuu,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ndio, kwani ulikuwa hujui hili? Mtu akijiona mbabe anaweza kufanya uhamuzi wowote tu Kwa kuendeshwa na ubabe wake..,kwani Sheria za kimataifa zimemruhusu urusi kuivamia Ukraine???Aisee kumbe alimlazimisha kwa nguvu,Rais wa nchi nyingine ili kutumia ardhi yake kuipiga nchi nyingine,aisee sukujua.
Hivi sheria za kimataifa zinasemaje?
Kwa hiyo Urusi inaweza hata kuzilazimisha Sweden na Finland ikatumia ardhi zao kuipiga Ukraine?
Ahaa,kwa hiyo kwa maoni Yako Warusi waachane kabisa na hizo British challenger tanks,ila siku zikija makamanda wa Urusi waende mpakani na maua kuzipokea sio?Urusi ningemuona wa maana sana kama angemalizana kwanza na HIMARS kabla hajafikiria British Challenger tanks!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sijui uelewa wako ni mdogo au umeamua tu Kwa makusudi kujizima data..,huu hapa msafara wa magari ya raia wa urusi wakikimbia kupelekwa vitani huko Ukraine, lakini hiyo haijazuia serikali Yao kuachana na vita iliyoanzishaSawa lkn kwa mada hii tunazungumzia wamarekani kuikataa NATO.
Ushahidi wa kuikataa NATO ni hayo mabango.
Wamarekani wanaiona NATO kama chombo Cha kueneza ubeberu wa taifa lao na ukoloni kwa ulaya
Sasa kama NATO hata wamarekani hawaitaki Urusi ataipendaje?
Kwani Belarusi wamewahi kushitaki popote iwe UN au hata Kwa USA kuwa wanalazimishwa na Urusi kutumia ardhi Yao lkn wenyewe hawataki?Ndio, kwani ulikuwa hujui hili? Mtu akijiona mbabe anaweza kufanya uhamuzi wowote tu Kwa kuendeshwa na ubabe wake..,kwani Sheria za kimataifa zimemruhusu urusi kuivamia Ukraine???
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Point yangu ni kwamba kama urusi ameshindwa kulenga valuable target kama HIMARS..,ataweza kulenga hizo tanks hambazo kihualisia hazina impact sana kwenye uwanja wa vita kulinganisha na HIMARS??Ahaa,kwa hiyo kwa maoni Yako Warusi waachane kabisa na hizo British challenger tanks,ila siku zikija makamanda wa Urusi waende mpakani na maua kuzipokea sio?
Wewe unaweza kumshitaki baba yako anayekupa ugali wa siku??Kwani Belarusi wamewahi kushitaki popote iwe UN au hata Kwa USA kuwa wanalazimishwa na Urusi kutumia ardhi Yao lkn wenyewe hawataki?
Huo ni msafara wa kukimbia vita, hata Mimi nchi yangu ikiingia vitani na nchi jirani na nikaona kwa maoni yangu kua naweza nikaumizwa na mashambulizi toka upande wowote,ntaenda nchi jirani Hadi vita iishe.Sijui uelewa wako ni mdogo au umeamua tu Kwa makusudi kujizima data..,huu hapa msafara wa magari ya raia wa urusi wakikimbia kupelekwa vitani huko Ukraine, lakini hiyo haijazuia serikali Yao kuachana na vita iliyoanzishaView attachment 2483618
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Utaugua Kwa maumivu,ndio kwanza Russia anaendelea kumchakaza Ukraine!Nchi imebaki magofu,wananchi wamekimbia nchi,hiyo bajeti ya vita Kwa 5 years itazidi kuidhoofisha zaidi Ukraine!Kama maeneo huko Ukraine mbona urusi kayanyakua tangu 2014.., Putin alichofanyiwa safari hii ni kutegeshewa tu ndoano Ili ajae kabisa,na bahati nzuri kajaa.., Sasa hatua iliyobaki ni kuendelea kumswaga mpaka atafika Mahali atachoka mwenyewe..,na wakati huo atakuwa tayari Hana Malinda!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Shoga humtetea shoga wenzake na hii inasibitishwa na jinsi unavotetea hao waeneza ushoga...na manina hamtoboi kamwe ...huezi mtetea mueneza ushoga Kama sio tabia yako ...Kazi yangu ni kuwaumbua mawakala wa fashisti wanaojaribu kuleta upupu hapa jukwaani.., hamuwezi kuendelea kupotosha tukawaangalia tu, lazima tuwaumbue!
Alafu shoga atakuwa baba yako bila shaka!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sawa ,kwa hiyo huo mfano wa warusi kukimbia vita umeukataa,unataka nikupe mfano wa warusi wanaoandamana barabarani hadharani kupinga vita,sio?Huo ni msafara wa kukimbia vita, hata Mimi nchi yangu ikiingia vitani na nchi jirani na nikaona kwa maoni yangu kua naweza nikaumizwa na mashambulizi toka upande wowote,ntaenda nchi jirani Hadi vita iishe.
Kukimbia madhara ya vita sio sawa na maandamano ya kupinga umoja wa jumuiya kama NATO.
Mfano wako huo wa Warusi kukimbia vita hauendani kabisa na maandamano ya kupinga NATO.
Hata wale wa Urusi walioandamana kupinga vita walikua na haki kwa sababu Kuna watu kwa hulka zao TU hawapendi vita.
Lkn Hawa wa USA hawaitaki NATO.na sababu zao wamezieleza.
Kwa ujumbe wa huyo spika wa huko ni kuwa the way ambavyo Ukraine anavyopewa silaha za masafa marefu ndivyo ambavyo aridhi yake itazidi kuchukuliwaYaani naona kbs jamaa wanakwenda kuanzisha offensive ya kuwarepel ukr kutoka maeneo yaliyokuwa annexed.
Ngoja tuone
Sasa kama hujui jinsia yangu,Iweje uamue kuniita hivyo?Lengo lako Ilikuwa kunitukana na si vinginevyo!Mkuu,Sasa nitajuaje kwamba wewe ni mwanaume na unatumia I'd fake??
Samahani kama nimekukwaza!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Dah yaani na Mimi point yangu ni kwamba kwa kua UK amesema kua atapeleka Ukraine hivyo vifaru,je Warusi siku vitakapokua vinashuswa sasa wapige makofi na vigelegele na maua kwenda kuvipokea?Point yangu ni kwamba kama urusi ameshindwa kulenga valuable target kama HIMARS..,ataweza kulenga hizo tanks hambazo kihualisia hazina impact sana kwenye uwanja wa vita kulinganisha na HIMARS??
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hata uandike point gan mkuu huyo ratgay hatakuelewaHuo ni msafara wa kukimbia vita, hata Mimi nchi yangu ikiingia vitani na nchi jirani na nikaona kwa maoni yangu kua naweza nikaumizwa na mashambulizi toka upande wowote,ntaenda nchi jirani Hadi vita iishe.
Kukimbia madhara ya vita sio sawa na maandamano ya kupinga umoja wa jumuiya kama NATO.
Mfano wako huo wa Warusi kukimbia vita hauendani kabisa na maandamano ya kupinga NATO.
Hata wale wa Urusi walioandamana kupinga vita walikua na haki kwa sababu Kuna watu kwa hulka zao TU hawapendi vita.
Lkn Hawa wa USA hawaitaki NATO.na sababu zao wamezieleza.
Sawa , lakini nakukumbusha tu ya kwamba, ushindi wa Ukraine mpaka Sasa ni kuweza kuigeuza operation ya saa 72 ya kuwaondoa wanazimamboleo kuwa vita ya muda mrefu..,hayo unayosema wewe ya magofu, sijui umeme.., sijui uchumi,ndio ghalama ya kulinda uhuru hiyo .., uhuru haupatikani Hivi hivi Mzee,wewe mwenyewe unajua wazee wetu walivyohangaika mpaka Leo tuko huruUtaugua Kwa maumivu,ndio kwanza Russia anaendelea kumchakaza Ukraine!Nchi imebaki magofu,wananchi wamekimbia nchi,hiyo bajeti ya vita Kwa 5 years itazidi kuidhoofisha zaidi Ukraine!
Itakuwa mtu akifika Ukraine utafikiri kafika mwezini[emoji38][emoji38]
Ahaa kwa kifungu hiki chako Cha maneno kumbe kinathibitisha kua Belarusi hajalazimishwa kutumia ardhi yake kama ulivyotaka kunipiga fix.Wewe unaweza kumshitaki baba yako anayekupa ugali wa siku??
Huyo lukashenko hapo alipo ni Kwa msaada wa Putin tu, atawezaje kuinua kinywa dhidi yake?
Kilio Cha lukashenko huwezi kukiona wewe Wala Mimi maana ni kama kilio Cha samaki
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Namjua sana ,namzingua TU.Hata uandike point gan mkuu huyo ratgay hatakuelewa