kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Ukipata nafasi ya kuongea na warusi wenzako walioko front hebu jaribu kuwauliza moto wa HIMARS.., watakusimulia balaa la hili dubwana [emoji16]🥱[emoji23]Himars zinafanya kazi mpaka itokee sherehe.vitani hazina kazi[emoji23][emoji23][emoji23].
Ni machuma chuma ya kazi bure
Ninapayuka vip mzee wakati uhalisia unajionesha huko field!? Hata kama hujui kusoma,basi hata picha huoni??Shida yako unapayuka tu kujifurahisha.ukiambiwa ulete ushahidi unakimbia mbio[emoji23][emoji23][emoji23]
Serikali ya Merkel haikuwekeza vya kutosha kwenye ulinzi ndio maana zana za Ujerumani zilionekana kutofanya kazi vizuri......lakini wajerumani are veryv crafty ndio maana utasikia zana za kivita kutoka Ujerumani zilizopelekwa Ukraine hazifanyi kazi kwa ufanisi na zinaharibika mara kwa mara na hawana vipuri!! Nakumbuka vizuri hata humu kuna baadhi ya supporters wa NATO walivyo furahishwa na Ujerumani kujitolea kuwapatia jeshi la Ukraine some air defense system batteries zinazo pewa sifa lukuki kwa mataifa ya west,
Inaonekana akielemewa ndio silaha yake hiyo kudhalilisha watu!Hata Mimi Jana yalinikuta haya haya Kwa mtu huyo huyo!Miongoni mwa vitu nilivyo chukua kwa wazee wangu ni hekima
Jaribu kua kijana wa kitanzania na sio pro west wanakuharibu kiasi hicho.
Mimi sio jinsia ya kike. Pambana kwa hoja
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yani kutoa vifaru 30 tu wanaogopa kuwa jeshi lao litapoteza nguvu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Hiyo ndio ghalama ya kulinda uhuru Mzee.., uhuru haupatikani Hivi hivi tu kama maji .., uhuru lazima uwe na ghalama yake, iwe mvua liwe jua lazima dikiteta apigishwe danadana kwa ghalama yoyote
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Shida haionekani Uwanja wa vita.kifupi aina msaada wowote ule.niambie wewe inasaidia nini iyo himarsUkipata nafasi ya kuongea na warusi wenzako walioko front hebu jaribu kuwauliza moto wa HIMARS.., watakusimulia balaa la hili dubwana [emoji16]🥱[emoji23]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nyie ndio mnaonekana wabaguzi na watu msiojari haki za binadamu kwa kuwachukulia wanawake kama wanyama au viumbe wasio na thamani hapa dunian..,yaani kukuita mwanamke inakuwa kesi , unasahau pia kwamba mwanamke ana nafasi yake katika jamii , badala yake unachukilia mwanamke kama tusi..,huu ni ubaguzi hambao wanaharakati wa haki za binadamu wanaupiupigia kelele miaka nenda Rudi,Yani kutoa vifaru 30 tu wanaogopa kuwa jeshi lao litapoteza nguvu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Urusi juzi tu kapeleka vifaru vipya kabisa zaidi ya 2000 aina ya T-90 M kwa kila sehemu ya maeneo yake.
Kapeleka upgrade ya T-72 zaidi ya 1000.
Alafu mtu anakuja kutoka sijui wapi anasema ovyo kuhusu Urusi.
Vifaru 30 tu kazi, alafu uje kupigana na Urusi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nashukuru sana kaka nisha ya puuza yale ngoja tuendelee na kazi.Inaonekana akielemewa ndio silaha yake hiyo kudhalilisha watu!Hata Mimi Jana yalinikuta haya haya Kwa mtu huyo huyo!
Baada ya kumwambia,akaomba radhi na kujitetea kuwa hakujua jinsia yangu!
Inaonekana kwenye malezi yake,Kuna kitu kilipungua!Puuzia tu!
Duh! Unauliza HIMARS inafanya kazi gani?[emoji848] Nikupe mfano mmoja tu.., ni silaha gani ilitumika kuwachinja warusi zaidi ya 600 huko makiivka [emoji16]Shida haionekani Uwanja wa vita.kifupi aina msaada wowote ule.niambie wewe inasaidia nini iyo himars
Kama kweli ni mshabiki muelewa huwezi kuipuuza uingereza kwenye uwezo wa medani kiasi cha kutoa field martial sio mchezo. Historically, british ndio ya kwanza kutumia tanks kwenye uwanja wa medani, mifumo na miundo ya majeshi include tz ni copy ya uingereza. Kuja kwenye point, hapa mkuu wa majeshi anatoa rai kwa serikari kuboresha jeshi katika kipindi hiki cha uvamizi wa russia ukraineNaona BBC akili zimeanza kuwakaa sawa.wameona bora watoe habari za kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Hili ndo moja la taifa kubwa linalounda umoja wa NATO.je kwa hali hii wanaweza kweli kusimama vitani na WarusiView attachment 2484605
Coment ya kinyonge saaaaana [emoji28]..,alafu ukiitwa mwanamke unang'ka,.., nikumbushe tu ndugu,kuitwa mwanamke sio tusi.., wanawake ni dada zetu, mama zetu..,shangazi zetu..,msichukulie kama matus mkiitwa wanawake,Nashukuru sana kaka nisha ya puuza yale ngoja tuendelee na kazi.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sawa sikulaumu sanaComent ya kinyonge saaaaana [emoji28]..,alafu ukiitwa mwanamke unang'ka,.., nikumbushe tu ndugu,kuitwa mwanamke sio tusi.., wanawake ni dada zetu, mama zetu..,shangazi zetu..,msichukulie kama matus mkiitwa wanawake,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unarudia tena yale yale niliyongea mimi[emoji23][emoji23][emoji23].nimekwambia toka mwanzo Himars kwa sasa zinafanya kazi mpaka itokee sherehe.pasipo sherehe huzisikii.haya toka kufanya shambulio lile,zimefanya shambulio gani jingine?.Duh! Unauliza HIMARS inafanya kazi gani?[emoji848] Nikupe mfano mmoja tu.., ni silaha gani ilitumika kuwachinja warusi zaidi ya 600 huko makiivka [emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nimekuambia urekebishe mwandiko lakini.., maneno hayafikii hata 50 unayapa " haya" zaidi ya mbili..,unatuchosha kusoma,Sawa sikulaumu sana
Maana ukiwa team upinde vitu vingi utaona sawa tu, tuendelee kujadiliana katika msingi wa mada
Achana nayo hayo huna uwezo wa kushindana kwa hoja kama nitaufungua mlango huo pia.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Historia haijengi ghorofa mkuu.Germany walikuwa tishio miaka iyo uwanja wa vita.ila kwa sasa hata Africa kuna nchi za kuwabishia.Kama kweli ni mshabiki muelewa huwezi kuipuuza uingereza kwenye uwezo wa medani kiasi cha kutoa field martial sio mchezo. Historically, british ndio ya kwanza kutumia tanks kwenye uwanja wa medani, mifumo na miundo ya majeshi include tz ni copy ya uingereza. Kuja kwenye point, hapa mkuu wa majeshi anatoa rai kwa serikari kuboresha jeshi katika kipindi hiki cha uvamizi wa russia ukraine
Kwa hiyo unataka mpaka HIMARS zipelekwe front line ndio utaamini kwamba zinafanya kazi ,sio??Unarudia tena yale yale niliyongea mimi[emoji23][emoji23][emoji23].nimekwambia toka mwanzo Himars kwa sasa zinafanya kazi mpaka itokee sherehe.pasipo sherehe huzisikii.haya toka kufanya shambulio lile,zimefanya shambulio gani jingine?.
Himars kwa sasa watu wamesahau kabisa.ni bora uniambia M777 howitzer zinafanya kazi maana zipo front kuliko izo himars
Mashoga wapo hata huko urusi Mzee [emoji16][emoji848][emoji28]Historia haijengi ghorofa mkuu.Germany walikuwa tishio miaka iyo uwanja wa vita.ila kwa sasa hata Africa kuna nchi za kuwabishia.
Wingereza unayemsema wewe sio huyu wa mashoga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kazi yake ni nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].zimekucha kucheza au?Kwa hiyo unataka mpaka HIMARS zipelekwe front line ndio utaamini kwamba zinafanya kazi ,sio??
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ili iwe aya yanahitajika maneno mangapiNimekuambia urekebishe mwandiko lakini.., maneno hayafikii hata 50 unayapa " haya" zaidi ya mbili..,unatuchosha kusoma,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Taifa lolote linasimama katika misingi ya historia hakuna mti usio na mzizi. Simple logic tu kwanini raia wa ukraine wamepata ujasiri wa kusima na urusi wakati wako outnumbered kwa kila kitu. Uwezo wa medani na muundo wa majeshi upo kihistoria pia usiichukulie uingereza kishabiki vyuo vyake vinasifika kutoa mafunzo bora ya uongozi wa kijeshi. Pia uingereza wako vizuri kwenye ( close combat tactics ). Russia ni mzuri sana kwenye mizinga hapa anawapa nightmare sana wapinzani wakeHistoria haijengi ghorofa mkuu.Germany walikuwa tishio miaka iyo uwanja wa vita.ila kwa sasa hata Africa kuna nchi za kuwabishia.
Wingereza unayemsema wewe sio huyu wa mashoga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]