Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hata wakileta Dodge Challenger kipigo kiko pale pale. Ni mwendo wa encirclement na kuwatia njugu bila huruma.
Huyo super pawer wa kuchonga ndo anachakazwa na kanchi kadoogo Tena jirani yake, mpaka Sasa haamini kama kweli anapigana na Ukraine..,kutwa kulalamika kwamba anapigana na NATO.., maana haamini kama kweli ni ukraine pekee ndio anamchakaza namna hii[emoji28][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ukraine bila misaada watafutwa ndani ya masaa 24! Anapewa collabo na NATO silaha na utundu wa kutumia ndio maana wanachelewesha zoezi ila mwisho wake Ukraine itakuwa Urusi tu
 
Zele kabisa akae meza moja na Putin? Mko serious kweli? FYI Zele jana hadhi ya kukaa meza moja na Putin hata kama ni rais wa nchi.
Nikutaharifu tu kwamba, Putin Kwa Sasa si chochote si lolote mpaka bahadhi ya makamanda wake wameanza kukaidi amri zake maana wamemuona kama takataka.., kiukweli jamaa kapoteza ushawishi sana kwa jinsi anavyoendelea kutolewa kamasi na kanchi kadoogo Tena jirani [emoji28][emoji23][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ukraine bila misaada watafutwa ndani ya masaa 24! Anapewa collabo na NATO silaha na utundu wa kutumia ndio maana wanachelewesha zoezi ila mwisho wake Ukraine itakuwa Urusi tu
Nyie watu mueleweshwe mara ngapi? Si tulikubaliana kwamba atakayeingilia operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo atakiona Cha moto? Au mmeshasahau tu mara hii,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hizi Ramani mbona Sisi tunazo[emoji23]

I believe that it happened days ago, but it is only now that both sides in unison say it:

AFU has liberated Chervonopopivka and Dibrova near Kreminna.

Russian forces will soon have to decide how feasible it is to hold western bank of the Krasna River (blue line). #Luhansk

[emoji3591]Chervonopopivka and Dibrova were once again shelled by Russian forces. Russian warreporter WarGonzo has now also marked both towns as Ukrainian controlled in his maps while he is one of the last to concede defeats.

It's looking bad for Russia in Kreminna.

Amka Shekhe usije ukajikojolea bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2484954View attachment 2484955
Naona kuna vitu ujielewi.mimi nachukua ramani kutoka kwenye chanzo cha habari, wewe unaokoteza ramani.sasa uwoni kunatofauti.ebu niambie iyo ramani yako umepata chanzo gani cha habari[emoji1787][emoji1787]
 
Chanzo cha habari halafu huweki link?!

Au ndo vile vyanzo vyako vya mchongo[emoji23][emoji23]me nakuwekea mpk link we unaleta liramani tu...weka link Shekhe
 
Nimepitwa na mengi kwa hii wiki ila ngoja nirudi nyuma miaka kadhaa. Sianzishi uzi, tunaishi humu humu naleta gazeti.

Vladimir Putin ni somehow autocrat na kawaida yao huwa hawataki mtu popular zaidi yao. Si jambo la ajabu kwao kuvumilia kiongozi mwandamizi mwenye uwezo wa kawaida na makosa madogo madogo lakini mtiifu kuliko maelezo. Wanakuwa wagumu kuendana na mtu mwenye uwezo mkubwa, msimamo, mkweli na bold, akiwa hivyo atakuwa popular na ni kosa kwenye medani kwa vile authoritarians hutaka kukaa muda mrefu madarakani na kuwa undisputed. Never outshine your master.

Viongozi wa wa wastani wanajitahidi kuwa watiifu kuliko kuwa watendaji wazuri. Na wanadumu katika nyadhifa zao, wanalindana wale wababaishaji na hawapendi kuona kiongozi smart sana au mnyoofu baina yao, hawezi vumilia ujinga wao na atawazidi kupendwa.

Putin hakuwa best candidate kuwa Rais wa Urusi, kipindi Yeltsin anataka kuachia madaraka alimtaka bold leader asiyebabaisha maana nchi ilimshinda kwa namna fulani. Aliondoka kizalendo angeweza kung'ang'ania kwani alishapitia Black October akalishinda Bunge kwa kutumia jeshi kisha akabadilisha katiba. Hata hivyo alitaka mtu wa kulinda maslahi yake na oligarchies, watu bold waliokuwepo hawakupendwa na oligarchies na hawakuwa na strong 'connection' serikalini. Kwao ilikuwa ni hatari kukabidhi nchi kwa asiyejua taratibu za kihuni za wanaonufaika.

Valentin Yumashev alikuwa mshauri mwaminifu kwa Yeltsin na alimuoa Tatyana, binti wa Yeltsin
467888b6-e693-41bb-b05c-b7df6157f99c.jpg

Anatoly Chubais (pichani) mchumi aliyemshauri Yeltsin afanye privatisation iliyowatoa oligarchies ndio alimpendekeza Putin kwa Yumanshev wakati anamuachia ngazi cheo cha Chief of Staff. Hapo maafisa wengi wa KGB/FSB waliondoka taasisi ilipopungua umaarufu na majukumu, ndio kama akina Putin wakaenda kwenye siasa kuwa naibu meya St. Petersburg. Putin akawa anakubalika na Katibu Mkuu mstaafu na aliyepo, na akawa na background nzuri ya KGB. Picha ni Yeltsin na Putin
_110181210_gettyimages-543921128.jpg

Chubais ni kiongozi mzuri ana reputation duniani, amekuwa kwenye bodi nyingi za makampuni na ametumwa na Urusi kwenye majukumu kadhaa ya kimataifa, alikuja kukimbia nchi mwaka jana Russia ilivyovamia Ukraine. Yuko kinyume na vita kwa mtazamo wa kiuchumi, anajua umafia wa serikali hivyo aliamua kutoroka na aliweza kwa namna gani, hatujui.
Yumanshev ni mkimya.

Yeltsin alikuwa na possible candidates wake ni Boris Nemtsov, Sergei Stepashin na Nikolai Aksenenko.

Nemtsvov aliwahi kuwa Makamu Waziri Mkuu cheo alichopitia Chubais kabla ya kuwa Chief of Staff (Russia hakuna makamu wa Rais tangu jaribio la 1991, Waziri Mkuu alikuwa na makamu wake).
Nemtsvov aliuwawa 2015 kwa risasi akiwa darajani, alikuwa anapanga maandamano kupinga Russia kuivamia Ukraine na uchumi mbovu. Ndio alikuwa mpinzani mkuu wa Putin. Huyu hakupendwa na oligarchies kabisa kuwa mrithi wa Yeltsin, alikuwa mkali na amenyooka.

Sergei Stepashin ndio alikuwa Waziri Mkuu kabla ya Putin, huyu alikuwa mwaminifu kwa Yeltsin ila sio mtu sahihi wa kuokoa jahazi. Yupo ametulia hana headlines. Nikolai Aksenenko alikuwa Waziri ila Putin akamfuta kazi baadae kidogo. Nadhani performance yake haikuwa nzuri.

Yumanshev ndio alimpendekeza Putin awe mrithi na Yeltsin akakubali baada ya kujadiliana na watu wake wa karibu na wao kushawishika. Hapo kumbuka 1997-98 Putin alikuwa mkuu wa FSB then 99 akawa Waziri Mkuu na Yeltsin akamuachia madaraka.

Fast forward, 2008 Russia ikavamia Georgia jirani yake na former Soviet Union kama yeye
1000.jpeg

Utaratibu ni uleule kama wa kupanga misururu ya magari na kulipua miji, ndio uleule utaratibu wa Syria. Ndio maana General Armageddon anapolaumiwa kufanya vile Ukraine nikasema ndio utaratibu wao hata awe mwingine atafanya hivyo. Performance ya Russia ikawa mbaya vitani na Georgia kanchi kadogo.

Mwaka kabla ya Georgia, Putin alishagundua jeshi lake lina matatizo makubwa akamuamisha Anatoly Serdyukov kutoka Waziri wa Kodi kuwa Waziri wa Ulinzi alimuelekeza apambane tu na rushwa na innefiency ya jeshi. Jeshi halikupenda kabisa lilimjua alivyo, mkuu wa General Staff wa jeshi wakati ule akasema Serdyukov anabidi akae ofisini mwezi mmoja wamfundishe kazi, Serdyukov akaandika barua ya kujiuzulu ila Putin akaikataa, kabla hajakataa mkuu wa General Staff alishatoa na maoni kama ni hivi Waziri ajaye hata akiwa mwanamke.

Serdyukov alianzisha audit kali baada ya kuwachukua watu kadhaa Wizara ya Kodi na kuwaleta afanye nao kazi, akakuta maofisa wameiba fedha za bajeti, tenda wanatoa hovyo, makampuni ya silaha yanadanganya specifications, wakaguzi wanahongwa na mambo mengine. Akaenda mbali akaweka mazoezi ya mwili kila mwanajeshi apite na asiwe na kitambi, maofisa kibao wakafeli ikawa gumzo kwenye media. Akaanzisha utaratibu bajeti haiguswi na ofisa, inajadiliwa na kitengo kipya cha bajeti ambacho sio wanajeshi maana alikuta fedha zilizotolewa ni nyingi miaka mfululizo ila kilichofanyika hakiendani (early 2000s mafuta yalipanda na Russia ikapata hela nyingi, bajeti ya ulinzi ikapanda). Baadae 2012 Putin akamtoa Serdyukov akamleta Sergei Shoigu kutoka Wizara ya Dharula. Serdyukov alifanya kazi yake ila asingeweza kubaki pale juu ya popularity, kuchukiwa na maofisa wa jeshi, ila kupendwa na wanajeshi wa kawaida. Na hapo akapatikana General Valery Gerasimov kama Chief of Staff wa jeshi, huyu alipata umaarufu vita ya Chechnia miaka ya 90s.

Sasa vita hii, Sergei Shoigu kadumu kwenye teuzi za Putin tangu late 1990s mpaka leo, huyu anajua fika nini Putin anataka. Sio popular, hapendi siasa, sio asili superior ya Warusi (kila nchi ina kaubaguzi ndani kiasi chake). Gerasimov kakaa tangu 2012 mpaka sasa, anajua Putin anataka nini na hasumbui, haijalishi anafanya vizuri au sio. Gerasimov ana miaka 67 anastaafu lini sijui
Zu1qLyB0BFoQWZZ1uOf4gpFu2p4LgmMO.jpg

Putin anawaamini hawa watu wawili, mwanzo operation ilianza vibaya (in military view ile ni blunder). Media ziko controlled ila social media Gerasimov na Shoigu wanalaumiwa sana kwa incompetency yao. Kwangu naona Gerasimov sio mbaya ila Shoigu ndio sio mzuri kivile. Baadae October 2022 akachaguliwa S.V Surovikin, huyu ndio the best kwa majenerali wao, nilisema siku amechaguliwa na nitaendelea kuamini hivyo. Ghafla wakati mambo yanaenda sawa, akaondolewa kusimamia operation. Normally, you don't change a General when everything is going accordingly, nakataa theory wanayoshika pro Russians wengi kwamba Surovikin kamaliza task yake hivyo anakuja mwingine. Task ipi imemalizika?

Na kitendo cha Shoigu na Gerasimov kupendekeza Surovikin atoke kisha Gerasimov aongoze operation mwenyewe nakitafsiri kama hawa wawili hatua hii wanajua plans zao na wanaamini operation inaenda kufanikiwa hivyo wanaiba mafanikio kwa Surovikin, technical wivu. Hata hivyo naona ni hatari kama matarajio yao yatakuwa kinyume watabeba lawama.
Surovikin anakubalika na kila mtu kuanzia wanajeshi wadogo, media, social media, veterans, Kadyrov wa Chechnia na Prigozhin wa Wagner PMC.

Nimeanzia story mbali ili kuunganisha matukio. Putin anapenda mbishane ukouko chini yeye yuko juu anajua atakachofanya. Hapendi kukaa na watu wanaelewana wote, na hapendi kukaa na mtu maarufu (viongozi wa Russia na USSR wote walikuwa hivi). Na pengine anampima Surovikin uvumilivu wake ashajua uwezo wake, amemshusha. Naamini atamteua kuwa mrithi wa Gerasimov kama atataka mtu smart, akitaka ndio mzee Surovikin sijamuona kama yuko vile sana kwanza ni competent na pia ni mkweli. Reports kadhaa alizofanya live alionyesha kuadmit baadhi ya vitu wenzake walikuwa na kigugumizi kukubali.

Sergei Prigozhin naye ana matatizo yake na Wagner yake. Hayuko chini ya MoD ila anapewa silaha nao, offensive ya Soledar wamefanya Wagner ila MoD inataja jeshi kwenye mafanikio, Wagner wamechukia. Prigozhin haziivi sana na General Gerasimov na Shoigu. Natafsiri kwamba utaratibu wa Putin unaendelea, pambaneni ukouko msiungane dhidi yangu.

NB: Haya ni maoni yangu. Ni very honest kama una utimu shauri yako
 
Attachments

  • _110181210_gettyimages-543921128.jpg
    _110181210_gettyimages-543921128.jpg
    45.9 KB · Views: 19
Hawezi kukujibu lolote - mambo mengi anaokotezea okotezea tu nilisha muona siku nyingi lakini nikawa nanyamaza tu.
Nduguyo nimemuomba ushahidi mpaka sasa hajanipa,mna kazi ya kuropoka tu!

Podlet K-1 nyingine hii hapa warusi wameitekeleza baada ya kubutuliwa na precision missiles za Ukraine. Hii ni Rada ya kisasa kabisa ya Urusi inatumiwa na S400.

A better photo of captured advanced russian Podlet-K1 radar station in Chornobaivka airfield.

Abandoned and visibly damaged advanced russian radar 48Я6-К1 aka «Podlet K-1» - used to detect low-flying aerial targets.

This is another piece of russian equipment left on Chornobaivka airfield, captured by Ukrainian defenders.

20230117_200301.jpg
 
Nimepitwa na mengi kwa hii wiki ila ngoja nirudi nyuma miaka kadhaa. Sianzishi uzi, tunaishi humu humu naleta gazeti.

Vladimir Putin ni somehow autocrat na kawaida yao huwa hawataki mtu popular zaidi yao. Si jambo la ajabu kwao kuvumilia kiongozi mwandamizi mwenye uwezo wa kawaida na makosa madogo madogo lakini mtiifu kuliko maelezo. Wanakuwa wagumu kuendana na mtu mwenye uwezo mkubwa, msimamo, mkweli na bold, akiwa hivyo atakuwa popular na ni kosa kwenye medani kwa vile authoritarians hutaka kukaa muda mrefu madarakani na kuwa undisputed. Never outshine your master.

Viongozi wa wa wastani wanajitahidi kuwa watiifu kuliko kuwa watendaji wazuri. Na wanadumu katika nyadhifa zao, wanalindana wale wababaishaji na hawapendi kuona kiongozi smart sana au mnyoofu baina yao, hawezi vumilia ujinga wao na atawazidi kupendwa.

Putin hakuwa best candidate kuwa Rais wa Urusi, kipindi Yeltsin anataka kuachia madaraka alimtaka bold leader asiyebabaisha maana nchi ilimshinda kwa namna fulani. Aliondoka kizalendo angeweza kung'ang'ania kwani alishapitia Black October akalishinda Bunge kwa kutumia jeshi kisha akabadilisha katiba. Hata hivyo alitaka mtu wa kulinda maslahi yake na oligarchies, watu bold waliokuwepo hawakupendwa na oligarchies na hawakuwa na strong 'connection' serikalini. Kwao ilikuwa ni hatari kukabidhi nchi kwa asiyejua taratibu za kihuni za wanaonufaika.

Valentin Yumashev alikuwa mshauri mwaminifu kwa Yeltsin na alimuoa Tatyana, binti wa YeltsinView attachment 2485041
Anatoly Chubais (pichani) mchumi aliyemshauri Yeltsin afanye privatisation iliyowatoa oligarchies ndio alimpendekeza Putin kwa Yumanshev wakati anamuachia ngazi cheo cha Chief of Staff. Hapo maafisa wengi wa KGB/FSB waliondoka taasisi ilipopungua umaarufu na majukumu, ndio kama akina Putin wakaenda kwenye siasa kuwa naibu meya St. Petersburg. Putin akawa anakubalika na Katibu Mkuu mstaafu na aliyepo, na akawa na background nzuri ya KGB. Picha ni Yeltsin na PutinView attachment 2485044
Chubais ni kiongozi mzuri ana reputation duniani, amekuwa kwenye bodi nyingi za makampuni na ametumwa na Urusi kwenye majukumu kadhaa ya kimataifa, alikuja kukimbia nchi mwaka jana Russia ilivyovamia Ukraine. Yuko kinyume na vita kwa mtazamo wa kiuchumi, anajua umafia wa serikali hivyo aliamua kutoroka na aliweza kwa namna gani, hatujui.
Yumanshev ni mkimya.

Yeltsin alikuwa na possible candidates wake ni Boris Nemtsov, Sergei Stepashin na Nikolai Aksenenko.

Nemtsvov aliwahi kuwa Makamu Waziri Mkuu cheo alichopitia Chubais kabla ya kuwa Chief of Staff (Russia hakuna makamu wa Rais tangu jaribio la 1991, Waziri Mkuu alikuwa na makamu wake).
Nemtsvov aliuwawa 2015 kwa risasi akiwa darajani, alikuwa anapanga maandamano kupinga Russia kuivamia Ukraine na uchumi mbovu. Ndio alikuwa mpinzani mkuu wa Putin. Huyu hakupendwa na oligarchies kabisa kuwa mrithi wa Yeltsin, alikuwa mkali na amenyooka.

Sergei Stepashin ndio alikuwa Waziri Mkuu kabla ya Putin, huyu alikuwa mwaminifu kwa Yeltsin ila sio mtu sahihi wa kuokoa jahazi. Yupo ametulia hana headlines. Nikolai Aksenenko alikuwa Waziri ila Putin akamfuta kazi baadae kidogo. Nadhani performance yake haikuwa nzuri.

Yumanshev ndio alimpendekeza Putin awe mrithi na Yeltsin akakubali baada ya kujadiliana na watu wake wa karibu na wao kushawishika. Hapo kumbuka 1997-98 Putin alikuwa mkuu wa FSB then 99 akawa Waziri Mkuu na Yeltsin akamuachia madaraka.

Fast forward, 2008 Russia ikavamia Georgia jirani yake na former Soviet Union kama yeyeView attachment 2485045
Utaratibu ni uleule kama wa kupanga misururu ya magari na kulipua miji, ndio uleule utaratibu wa Syria. Ndio maana General Armageddon anapolaumiwa kufanya vile Ukraine nikasema ndio utaratibu wao hata awe mwingine atafanya hivyo. Performance ya Russia ikawa mbaya vitani na Georgia kanchi kadogo.

Mwaka kabla ya Georgia, Putin alishagundua jeshi lake lina matatizo makubwa akamuamisha Anatoly Serdyukov kutoka Waziri wa Kodi kuwa Waziri wa Ulinzi alimuelekeza apambane tu na rushwa na innefiency ya jeshi. Jeshi halikupenda kabisa lilimjua alivyo, mkuu wa General Staff wa jeshi wakati ule akasema Serdyukov anabidi akae ofisini mwezi mmoja wamfundishe kazi, Serdyukov akaandika barua ya kujiuzulu ila Putin akaikataa, kabla hajakataa mkuu wa General Staff alishatoa na maoni kama ni hivi Waziri ajaye hata akiwa mwanamke.

Serdyukov alianzisha audit kali baada ya kuwachukua watu kadhaa Wizara ya Kodi na kuwaleta afanye nao kazi, akakuta maofisa wameiba fedha za bajeti, tenda wanatoa hovyo, makampuni ya silaha yanadanganya specifications, wakaguzi wanahongwa na mambo mengine. Akaenda mbali akaweka mazoezi ya mwili kila mwanajeshi apite na asiwe na kitambi, maofisa kibao wakafeli ikawa gumzo kwenye media. Akaanzisha utaratibu bajeti haiguswi na ofisa, inajadiliwa na kitengo kipya cha bajeti ambacho sio wanajeshi maana alikuta fedha zilizotolewa ni nyingi miaka mfululizo ila kilichofanyika hakiendani (early 2000s mafuta yalipanda na Russia ikapata hela nyingi, bajeti ya ulinzi ikapanda). Baadae 2012 Putin akamtoa Serdyukov akamleta Sergei Shoigu kutoka Wizara ya Dharula. Serdyukov alifanya kazi yake ila asingeweza kubaki pale juu ya popularity, kuchukiwa na maofisa wa jeshi, ila kupendwa na wanajeshi wa kawaida. Na hapo akapatikana General Valery Gerasimov kama Chief of Staff wa jeshi, huyu alipata umaarufu vita ya Chechnia miaka ya 90s.

Sasa vita hii, Sergei Shoigu kadumu kwenye teuzi za Putin tangu late 1990s mpaka leo, huyu anajua fika nini Putin anataka. Sio popular, hapendi siasa, sio asili superior ya Warusi (kila nchi ina kaubaguzi ndani kiasi chake). Gerasimov kakaa tangu 2012 mpaka sasa, anajua Putin anataka nini na hasumbui, haijalishi anafanya vizuri au sio. Gerasimov ana miaka 67 anastaafu lini sijuiView attachment 2485046

Putin anawaamini hawa watu wawili, mwanzo operation ilianza vibaya (in military view ile ni blunder). Media ziko controlled ila social media Gerasimov na Shoigu wanalaumiwa sana kwa incompetency yao. Kwangu naona Gerasimov sio mbaya ila Shoigu ndio sio mzuri kivile. Baadae October 2022 akachaguliwa S.V Surovikin, huyu ndio the best kwa majenerali wao, nilisema siku amechaguliwa na nitaendelea kuamini hivyo. Ghafla wakati mambo yanaenda sawa, akaondolewa kusimamia operation. Normally, you don't change a General when everything is going accordingly, nakataa theory wanayoshika pro Russians wengi kwamba Surovikin kamaliza task yake hivyo anakuja mwingine. Task ipi imemalizika?

Na kitendo cha Shoigu na Gerasimov kupendekeza Surovikin atoke kisha Gerasimov aongoze operation mwenyewe nakitafsiri kama hawa wawili hatua hii wanajua plans zao na wanaamini operation inaenda kufanikiwa hivyo wanaiba mafanikio kwa Surovikin, technical wivu. Hata hivyo naona ni hatari kama matarajio yao yatakuwa kinyume watabeba lawama.
Surovikin anakubalika na kila mtu kuanzia wanajeshi wadogo, media, social media, veterans, Kadyrov wa Chechnia na Prigozhin wa Wagner PMC.

Nimeanzia story mbali ili kuunganisha matukio. Putin anapenda mbishane ukouko chini yeye yuko juu anajua atakachofanya. Hapendi kukaa na watu wanaelewana wote, na hapendi kukaa na mtu maarufu (viongozi wa Russia na USSR wote walikuwa hivi). Na pengine anampima Surovikin uvumilivu wake ashajua uwezo wake, amemshusha. Naamini atamteua kuwa mrithi wa Gerasimov kama atataka mtu smart, akitaka ndio mzee Surovikin sijamuona kama yuko vile sana kwanza ni competent na pia ni mkweli. Reports kadhaa alizofanya live alionyesha kuadmit baadhi ya vitu wenzake walikuwa na kigugumizi kukubali.

Sergei Prigozhin naye ana matatizo yake na Wagner yake. Hayuko chini ya MoD ila anapewa silaha nao, offensive ya Soledar wamefanya Wagner ila MoD inataja jeshi kwenye mafanikio, Wagner wamechukia. Prigozhin haziivi sana na General Gerasimov na Shoigu. Natafsiri kwamba utaratibu wa Putin unaendelea, pambaneni ukouko msiungane dhidi yangu.

NB: Haya ni maoni yangu. Ni very honest kama una utimu shauri yako
Duh! Hii naiweka kiporo kwanza nikituliza akili sana naipitia taratibu,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Chanzo cha habari halafu huweki link?!

Au ndo vile vyanzo vyako vya mchongo[emoji23][emoji23]me nakuwekea mpk link we unaleta liramani tu...weka link Shekhe
Link unaijua wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].chanzo cha habari yako ni kutoka wapi.

Mfano mi natoa habari kwenye chanzo kinaitwa South front tv.awa jamaa wapo Update na taarifa za dunia nzima kwenye kila aina ya mgogoro.wewe unatoa chanzo gani?
 
Yapo vizuri ila umeskip Chechen war sijui kwa nini?
 
Link unaikua wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].chanzo cha habari yako ni kutoka wapi.

Mfano mi natoa habari kwenye chanzo kinaitwa South front tv.awa jamaa wapo Update na taarifa za dunia nzima kwenye kila aina ya mgogoro.wewe unatoa chanzo gani?

Tunaomba link sababu hatutaki fix kama hizo!!![emoji116] Eti Bakhmut [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20221214_141748.jpg
 
Back
Top Bottom