Sehemu nyingi sasa naona wataalamu wa matairi wanalalamikia haya matairi yanayotumiwa na Urusi. Wanasema ni cheap Chinese tyres ambazo si nzuri sana na hasa hazina performance nzuri kwenye snow kama sasa ilivyo Ukraine. Ndio maana magari mengi yanatelekezwa unakuta snow inayafanya yawe sub zero °C na yanakuwa rigid hayawezi beba mzigo mzito na kama ni artillery hayawezi himili mtikisiko. Kuna mtaalam mwingine juzi alitambua matairi anayosema ni copycat ya Michelin zinazotumika majeshini.
Wanasema Soviet Union ilikuwa na matairi mazuri sana maana inapenda vitu vizito, na Russia inayo ila manufacturing costs ni kubwa kiasi wanaamua waagize China