Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usitukane watu hapa....Halafu kuna vijana wajinga wanakaa sebuleni kwa shemeji zao wanakaa hapa wanaanza kushabikia vita
kwani nyie Russia yenu si super power hamtingishwi na vijineno vya west 😂😂Huyu mmaza haoni aibu, yaani kaplay role kubwa kwenye kuleta haya machafuko. Tangia machafuko ya 2014 mpaka leo....
Tena bado anaendelea kutema shits.
Wenye Akili wamenielewaSababu yukraini hakuna silaha za mmarekani. Mbona comment kichekesho sana