Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
Were you a five star Russian General war planner?? Wewe ulijuwa wapi malengo ya Putin kuhusu mji wa Kiev in general - Urusi ina vikundi chungu nzima vya kikomandoo nani nani kakwambia ie una ushahidi gani kwamba Spetsnaz walihusikaka katika operation tajwa hapo juu, kwa nini mko obsessed na Spetsnaz - kama ni kweli paratrooper waliuwawa kama nzige - mbona hatukuwahi kuona maiti za mapatroopers wa Urusi zimetapakaa uwanja mzima wa ndege - tulicho kiona sisi ni uharibifu wa critical assets za jeshi la Ukraine pale uwanjani ikiwemo hangar iliyo kuwa kuhifadhi AN-225 -what does that tell you - hii inaonyesha kwamba jeshi la Urusi lilifanikiwa kwa kiwango kikubwa kwa kile walicho kusudia.Kama Urusi ilikua haitaki kuiteka Kiev wale paratroopers na Spetsnaz walioshuka pale Kiev na kutaka kuiteka Antonov airport pale Hostomel ili kuhakikisha ndege za Urusi zinatua walifata nini Kiev,kwanini hawakushukia kule Donbass?!
Vitu vingine mkubaligi tu kwamba bwana mkubwa alitaka kuikamata Kiev ila baada ya kichapo heavy akaamua kubadili gia angani na kusema kwamba anaenda Kusini mwa nchi!
Sio lazima iwe hivyo.Pole rafiki sauti ya wengi ni sauti ya ukweli
Kama walifanikiwa kwa kiwango kikubwa mbona walipokonywa tena udhibiti wa huo uwanja ?tulicho kiona sisi ni uharibifu wa critical assets za jeshi la Ukraine pale uwanjani ikiwemo hangar iliyo kuwa kuhifadhi AN-225 -what does that tell you - hii inaonyesha kwamba jeshi la Urusi lilifanikiwa kwa kiwango kikubwa kwa kile walicho kusudia.
Mkuu URUSI ndk anaongoza kuwa na vifaru VINGI na still wanaendelea kuproduceNdio maana hua nakwambia taarifa zako za mchongo,eti vifaru vipya 2000 aina ya T-90M [emoji23][emoji23]. Unavijua vifaru 2000 wewe?!
Hata ukichukua jumla ya vifaru vyote (T-90M) vya Urusi kabla ya Vita na baada sidhani kama vinazidi vifaru 1000 wewe unaleta fix za vifaru vipya 2000. Leta link bhas tukajisomee wenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi mwenyewe nimeshasahau kabisa kuwa kuna kitu sijui kinaitwa vikwazo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona sasa hivi zile tambo za Sanctions hazisikiki tena.
Maana ilikiwa kila wiki lazima watangaze. Lakini sasa hivi kimya..
Assad wamtoe ili iweje, kwanini unalazimisha wamtoe. Na level za geopolitics za Russia ni kufanya uvamizi tu na kupigana vita, hakuna kitu cha maana Russia wanaweza fanya kwenye nchi. Hawafanyi investments wala kuongeza trade wala kusaidia kilimo, technology wala elimu. Hata wakija kwenye mikutano na nchi za Afrika agenda zao ni zilezile kuongeza ushirikiano wa kijeshi wauze silaha.
Hiyo ndiyo level ya nchi isiyo top 10 of the greatest economies in the world. Sasa hawa wengine kina UK wanaweza tumia ushawishi aina nyingine tofauti na jeshi hivyo hawalazimiki kila siku kupigana kama Russia. Na UK pale Argentina alienda kwa kuvamiwa, kama unataka kumpima mvamie tena.
Miaka ya 90s si USSR ilivunjika, Russia ikaanza na uchumi mbovu na constitutional crisis, Russia wakapigana wenyewe na Chechnia yao, muda huo UK wanakula maisha. Huo muda hatuwezi linganisha Russia iliyokuwa kwenye migogoro na UK. 2000s wakaufyata, 2008 wakavamia Georgia, 2017 nadhani ndio walienda Syria. 2014 wakachukua Crimea, wakajiona wababe wa dunia. 2022 wakafundishwa adabu hadi leo. Mwanzoni mlianza na mikwara nchi itakayopeleka silaha inapigwa, leo mnalalamika Ukraine inapata silaha. Si superpower nyie, wapigeni hao wanaopeleka silaha
Hakuna unachokijua weww kuhusu Urusi.Urusi ana vifaru zaidi ya elfu 30.Ndio maana hua nakwambia taarifa zako za mchongo,eti vifaru vipya 2000 aina ya T-90M [emoji23][emoji23]. Unavijua vifaru 2000 wewe?!
Hata ukichukua jumla ya vifaru vyote (T-90M) vya Urusi kabla ya Vita na baada sidhani kama vinazidi vifaru 1000 wewe unaleta fix za vifaru vipya 2000. Leta link bhas tukajisomee wenyewe
ProvedKerry says Syria’s Assad must go but timing negotiable
US secretary of state calls on Russia and Iran to use their influence to convince Syrian leader to negotiate.
Obama tells UN: Syria's Assad must go
Obama tells UN: Syria's Assad must goClose
US President Barack Obama says the United States is willing to work with Russia and Iran to remove Syrian President Bashar al
Angetoka kweli, sema baada ya Isis kuibuka na kuteka maeneo makubwa huko Syria na Iraq wakubwa waliamua kupambana na adui mpya hatari zaidi yake na tishio kwao kwa wakati ule.Kerry says Syria’s Assad must go but timing negotiable
US secretary of state calls on Russia and Iran to use their influence to convince Syrian leader to negotiate.
Obama tells UN: Syria's Assad must go
Obama tells UN: Syria's Assad must goClose
US President Barack Obama says the United States is willing to work with Russia and Iran to remove Syrian President Bashar al
Zelensky proffesional comedian alijua vita ni sehemu ya location ya kufanyia comedi zake.Miezi hii kiukweli ni raha sana kuona awa kenge waliopewa jeuri na Marekani wakipewa malipo yao ya Usaliti.
Hili ni funzo tosha kwa yoyote yule atakayefanya usaliti basi ategemee kulipwa kama ivi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukipingwa na wengi jichunguze,watu ni waamuzi wazuri sana.Sio lazima iwe hivyo.
Mtengenezaj na mwezeshaji wa hao IS ni marekan na natoAngetoka kweli, sema baada ya Isis kuibuka na kuteka maeneo makubwa huko Syria na Iraq wakubwa waliamua kupambana na adui mpya hatari zaidi yake na tishio kwao kwa wakati ule.
Wachana na watu ambao akili zao ni angle ya kuta 4 za chumba Sasa tatizo Kuna watu source zao ni bbc, aljazeera, fox news,cnn,french 24, na mainstream media zingine zikiwemo hizi zetu pia za mlengo mmoja, wacheni kuchukua taarifa kupitia hivyo vyombo mbona inafahamika tangia 2021 Putin alipo zungumza kuwakana Ukraine pia Nato and USA tangia miaka ya 90s sasa maboya yanadandia treni kwa mbele baada tu ya Urusi kuvamia Ukraine ndo mna pretend kujua kumbe mnnatuonesha ujinga wenu lakini si mbaya kwani wajinga hujifunza kuondoa ujinga.THERE IS A BIG PICTURE TO THIS WAR, MAREKANI AU WEST HAWAISAIDII UKRAINE KWASABABU WANAIPENDA ILA JUA HIYO SIO MISAAADA NI MIKOPO NA UKRAINE KWA UJINGA WAKE AMEJIKOMITI SO NI HAKI YAKE KUPEWA ILA JUENI KUWA USA NA ANGLO SAXONS WOTE YANI (EUROPEANS) WANAPIGANIA UTAAWALA WAO WA DUNIA KIFEDHA NA KISHAWISHI ENDELEENI KUSHABIKIA ILA OMBENI SANA MRUSI ASHINDE NDO UKOMBOZI WA AFRIKA ILA IKITOKEA AKASHINDWA NA CHINA KULE TAIWAN IKASHINDWA, HAHAHA TUTAITA MAJI MMA. HAIWEZEKANI WEWE PEKEE UNAMADINI YA TANZANITE HAKUNA POPOTE DUNIANI ALAFU FALA MMOJA ANAKUJA ANANUNUA NA PESA ZA TAIFA LAKE US DOLLAR BADALA YA TSHS KWA THAMANI ILE ILE IMAGINE THINK TWICE B4 REPLY PRo-NATO/USA/EUROPE. Niwaambie hao pro nato na pro america msitegemee hii vita inaisha leo hii ni ndani ya miaka 3 mpaka 10 na siku hii vita inaisha kwanza tayari Benki mpya Ya Dunia nanpengine sarafu mpya itakuwa imeshaundwa na kuanza kazi jua tu BRICS Hadi sasa Petro-dollar system inapigwa chini mdogo mdogo,wameshanza process ya Benk na utumiaji wa fedha zote za wanachama na nchi za Asia kuwanza kufanya manunuzi kimataifa kwa sarafu za nchi husika mfana South Africa anaeza kununua bidhaa za Brazil kwa kutumia SA.Rand and vice versa. THE DOWNFALL OF US DOLLAR AS CONQUERING CURRENCY IS AND WILL NOT BE EASY.Proved unajaribu kumtetea jamaa yako lakini huyo jamaa hana hoja ya kujibiwa zaidi ya KUPUUZWA tu
Ngoja nijaribu kuongea kwa lugha ya picha kidogo labda utanielewa .....
Let's say mimi ni Pro Russia,nimekutana na habari kutoka upande wa Russia juu ya jambo fulani,sasa basi kwa mtu SMART ataisoma hiyo habari alafu ataiweka kwenye mizani na kujaribu kujua kama ni kweli au ni propaganda tu,nitajiuliza maswali na kujaribu ku relate baadhi ya mambo ili kupata kujua ukweli wa hiyo habari hata kama sipo sehemu husika
Baada ya kufanya hivyo napata majibu kwamba hii habari haina ukweli wowote zaidi ya propaganda tu,sasa katika mazingira yoyote yale siwezi kuja kuitumia hiyo habari kama reference pale nitakapokuwa najadiliana na Pro NATO hata kama hiyo habari ni nzuri kiasi gani kwa upande wangu,kwa maana nilishajiridhisha kwamba habari yenyewe ni uongo tu
Sasa jamaa yako kuna mtu kamjibu hapo kwa kumletea habari ya makombora ya Russia kupiga playground za watoto sijui, (na ameshafanya hivyo katika mambo mengi tu hapa)angekuwa anajielewa angejiuliza baadhi ya maswali kama haya........
Ikiwa kweli Urusi makombora yao hayana shabaha na yanapiga playground za watoto,shule na mambo kama hayo,kwanini leo hii sehemu kubwa ya Ukraine haina umeme?
Ikiwa labda kweli kuna playing park ya watoto imepigwa,je tunathibitisha vp makombora yaliyopiga hapo ni kutoka Russia na si makombora ya Ukraine's air defence ?..maana mifano hai ipo kama ile ya kupiga huko Poland then wakasema ni Russia ndio wamefanya hivyo
Hivyo basi tofauti ya mtu SMART na PRETENDER ni hii.........
kwanza mmoja kwake ni kazi rahisi kutenganisha UKWELI na PROPAGANDA,wakati huyo mwingine hawezi kufanya hivyo na pili.....
mmoja ataukubali UKWELI hata kama unaumiza kiasi gani kwa upande wake,na mwingine ataupinga kwa kujua ama kutokujua
Sasa mtu kama huyo anayechukua habari za upande wake, kama zilivyo bila hata kuzichuja walau kidogo ili mradi zinampendeza na kuja kubishana nazo hapa,utapingana naye vp kwa hoja zaidi ya KUMPUUZA tu?
Nafikiri mpaka hapo utakuwa umenielewa mkuu