Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nimekwambia mambo ya kutuhabarisha hapa huwezi,Kaa kwa kutulia!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kutoka (Obukhov plant)Kitu kipya icho soon kitakuwa uwanja wa Vita.


Yani upigane na mtu anayetengeneza silaha alafu utegemee kushinda.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ebu kuweni serious basi


[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Tangia uanze kupost hizo picha za viwanda vya mchongo sijawahi kuona mabadiliko yeyote huko front line [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tangia uanze kupost hizo picha za viwanda vya mchongo sijawahi kuona mabadiliko yeyote huko front line [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tuachane na mabadilkiko ya Front.tuanze na mabadiliko ya kwenye group.

Ujioni kwenye group umebaki peke yako siku izi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Mabadiliko tu ya kwenye group yanaonyesha jinsi gani uwanja umeinama.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Kwanza Poleni kwa msiba wa Waziri[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Siku ya Jana tu.., warusi 870 walichinjwa.., alafu Kuna mtu anaropoka eti ukraine hamuwezi urusi..,🥱🥱View attachment 2486664

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Huna hata aibu hata wakifa Warusi 100000 jua tu Ukrain ni mara 3 yake au zaidi. Mwanajeshi mmoja wa Urusi anauwa wanajeshi 15 wa Ukraine kwa siku sasa piga hesabu zako hapo. Hakuna upande usio poteza wote Wana poteza Ila kwa kiwango gani pia fahamu raia wengi waishio kwenye maeneo ya Urusi walishaondolewa na kupelekwa Moscow tulieeeni mwendelee kupata kchapo
 
Ungejua warusi wenzio wanavyoumia na uwepo wangu hapa Wala usingeangika kunikwot, maana wenzio wanaona vivu, wanaona unanipa Air time [emoji16][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
100%
 
Siku ya Jana tu.., warusi 870 walichinjwa.., alafu Kuna mtu anaropoka eti ukraine hamuwezi urusi..,🥱🥱View attachment 2486664

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani njooni huku ndugi zake na Kipanya 44 mumpe hata like maana kajitahidi sana.kwa siku ya jana tu kauwa Warusi 870.

Hakika kipanya44 ni mwanaume wa shok[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa jinsi zelensiky anavyozidi kuwachinja hao warusi mnaowashobokea nadhani mobilization ijayo haitakuwa laki Tano kama tunavyoambiwa.., lazima amobilize hata millions 2 maana Jamaa wanachinjwa mno.., super pawer ana Hali ngumu acheni kujitoa akili..,ndio maana yule dikiteta kila alionekana kwenye camera anaongea kinyonge mithiri ya kukubaliyenyeshewa mvua,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ungejua warusi wenzio wanavyoumia na uwepo wangu hapa Wala usingeangika kunikwot, maana wenzio wanaona vivu, wanaona unanipa Air time [emoji16][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anayeumia huyo hatakuwa sio Mrusi.yani siku ya leo tu tumeondoka na Waziri pamoja na makamu wake alafu eti mrusi akose raha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kipanya 44 ebu kuwa serious hata dakika 2
 
Ndio hivyo Mzee, wenzio wanapukuchuliwa kama senene huko battle front.., urusi kaingia geto la popobawa akidhani anakwenda kufanya operation maalum ya kijeshi [emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Zelensk anafikiria kwa sasa nae atachichwa lini maana kashaona mfano kwa waziri wake[emoji635][emoji635][emoji635]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anayeumia huyo hatakuwa sio Mrusi.yani siku ya leo tu tumeondoka na Waziri pamoja na makamu wake alafu eti mrusi akose raha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kipanya 44 ebu kuwa serious hata dakika 2
Ukraine naye kachinja warusi 870 kwa siku ya Jana tu.., idadi ya Leo takwimu bado hazijatolewa..,kwa wastani huyo super pawer wa kuchonga anapoteza askari zaidi ya 1000 kila siku,hii vita imekuwa Janga kubwa kwake[emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
The US said that the defeat of Ukraine would have global consequences

US Director of National Intelligence Avril Haines said that the West is protecting its interestsThe US said that the defeat of Ukraine would have global consequences

US Director of National Intelligence Avril Haines said that the West is protecting its interests
 
Ndioo maana Putin hawezi kuruhusiwa kushinda hii vita Ili kuepuka hiyo global consequences!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…