[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38]Zelensky proffesional comedian alijua vita ni sehemu ya location ya kufanyia comedi zake.
Kweli chizi sio mbaka avue nguo!!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38]Hizi spana sio POA,Tuachane na mabadilkiko ya Front.tuanze na mabadiliko ya kwenye group.
Ujioni kwenye group umebaki peke yako siku izi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mabadiliko tu ya kwenye group yanaonyesha jinsi gani uwanja umeinama.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza Poleni kwa msiba wa Waziri[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Washaanza kutapa tapaThe US said that the defeat of Ukraine would have global consequences
US Director of National Intelligence Avril Haines said that the West is protecting its interestsThe US said that the defeat of Ukraine would have global consequences
US Director of National Intelligence Avril Haines said that the West is protecting its interests
Waliokua wanasema USA ana uchungu na waukraine aje hapaThe US said that the defeat of Ukraine would have global consequences
US Director of National Intelligence Avril Haines said that the West is protecting its interestsThe US said that the defeat of Ukraine would have global consequences
US Director of National Intelligence Avril Haines said that the West is protecting its interests
Habari za kuaminika kutoka sources zipo?? All level headed people around the World knows effort za Putin alizotumia kufunfua Taifa lake kijeshi, kiviwanda na kiuchumi - Warusi wenyewe walio mchagua Putin wana mjua vizuri alivyonusuru Taifa lao kutoka kuzimu - msisikilize propaganda za MSM hakuna Mrusi mwenye akili timamu anaweza kupingana na mipango yake ya maendeleo au Putin anacho kipigania hivi sasa huko Ukraine - ndio maana takwimu zinaonyesha kwamba asili mia karibu 98% za Warusi zina-msupport Putin - sisi watu baki ndio tulifanye tunajua vizuri Putin anavyo deal na his inner circle Administration - hivi inaingia akilini kwamba Putin anaweza kweli kuwafokea viongozi wenzake nje ya ofisi ie in public! Come on.Putin Kwa Sasa Hana ushawishi wowote..,Kuna taharifa za kuaminika kwamba bahadhi ya makamanda wake wameanza kumgomea Kwa Sasa..,jamaa ana stress za kutembezewa kichapo Hadi balaa..,ndio maana Kwa Sasa anafikia hatua ya kuwafokea mawazili Wake hadharani kwa sababu ya msongo wa mawazo unaoendelea kumzonga,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wameipenda WENYEWE [emoji38]Huko bakhamut ni maafa kwa Ukraine
Mzee sijui uwezo wa hizo SAMP-T ila kama hizo patriot ndio hamna kitu wayemen tu waliziweza na makombola yao sasa unataka kuziongezea uzito wa kupamba na russian missiles? It will be massacresKwamba unataka kusema nini?!
Ukraine haina AD dhidi ya ballistic missiles na heavy missiles kama Kh-22 carrier killer ndio maana wameomba AD za west kama SAMP-T na Patriot zenye uwezo wa kutungua Makombora kama hayo.
Unafurahisha ila sidhani kama Kuna mtu unamsumbua!Sema tu nawahangaisha nyie warusi weus mnaotamani huu Uzi uwe jukwaa la kueneza propaganda zenu uchwara
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Na bado, na kwa kuwa jeshi la Urusi wanajua kwamba hivi sasa jeshi la Ukraine linasaidiwa sana na some NATO/US troops dressed in Ukraine Uniform - Russia itahakikisha katika mapambano ya Bakhamut jeshi la Ukraine na wapambe wake wanatiwa kiberiti kwa silaha mpya za Urusi wapate cha kuadithia ndugu na marafiki wao kwa wale watakao bahatika rudi nchini mwao wakiwa wazima.
Naah nyie ndio tabia yenu ya kuparamia migongo mpaka mnaitetea kwa hali na mali so usjitete kuwa ulikuwa unamwambia mwanamke. Nyie watoto sio liziki kabisaHiyo nilikuwa namuambia mwanamke Wala sio mwanaume,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwani unateseka ukiwa wapi Mzee.., unasema siwasumbui wakati unahangaika kunikwot.., ukweli ni kwamba pro Russia wote mna stress kwa kuona super pawer mliyemtegemea kuwa mkombozi wenu akilemazwa na kataifa kadogo.., vita mliyotegemea kuisha ndani ya siku tatu imekuwa kinyume kabisaUnafurahisha ila sidhani kama Kuna mtu unamsumbua!
The way unavyojizima data,utamsumbua mgeni wa jukwaa!Kwasisi ambao tumekufahamu Toka mwanzoni mwa hii SMO hutupi tabu kabisa!
Wewe ni sawa na matangazo ya half time kwenye mechi ya mpira,au mapumziko kwenye taarifa ya habari[emoji38]!
They will burn just like the rest of western weaponsHata wakileta Dodge Challenger kipigo kiko pale pale. Ni mwendo wa encirclement na kuwatia njugu bila huruma.
Maeneo yanapotea mkuu nakukumbushaMuarobaini wake ambao ni upi huo?!
Kuna mtu amekuja hapo na kukufunga kama na kukulazimisha uwe shoga?? Au ulishalamishwa kupumuliwa kisogoni??Naah nyie ndio tabia yenu ya kuparamia migongo mpaka mnaitetea kwa hali na mali so usjitete kuwa ulikuwa unamwambia mwanamke. Nyie watoto sio liziki kabisa
Ndio kazi ya silaha hiyo Mzee.., silaha sio kama msafara wa bibi harusiThey will burn just like the rest of western weapons
Hili ni jukwaa huru,so kila mtu ana uhuru wake wa kuandika au kumjibi yeyote!Kwa Sasa pro NATO wale ambao Huwa tunajenga nao hoja wamekuwa adimu mpaka imebidi tukujibu weweπ!Si Unajua Simba akikosa nyama hula majani!Kwani unateseka ukiwa wapi Mzee.., unasema siwasumbui wakati unahangaika kunikwot.., ukweli ni kwamba pro Russia wote mna stress kwa kuona super pawer mliyemtegemea kuwa mkombozi wenu akilemazwa na kataifa kadogo.., vita mliyotegemea kuisha ndani ya siku tatu imekuwa kinyume kabisa
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kesho utapost silaha za Russia zilizoteketezwa!πππ,hapo utakuwa umesahau ndio kazi ya silaha kama usemavyo!!!!!Ndio kazi ya silaha hiyo Mzee.., silaha sio kama msafara wa bibi harusi
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mzee acha fix kh 22 imepeleka moto ukraine na wamekili hawawezi kui intercept sasa wewe mzee wa ku google unaendelea kulisha wenzio matango poriSio uzushi. Kh-22 Kitchen haina accuracy nzuri kwenye land attack. Primary ni anti ship missile na carrier killer design ya miaka ya 1960s, that time iko very advanced na ahead of its time. Ila sasa ziko store nyingi na kwa kuwa secondary attack capability ni land ambapo inapiga stationary targets basi Russia wakaitumia. Makombora mengine Kh family hasa yaliyotengenezwa na Raduga hayako supersonic kwa vile ni land attack. Meli inabidi uipige na kombora lenye uwezo mkubwa zaidi hivyo anti ship missiles ziko vizuri na hazizuiliki kirahisi na land based air defence systems.
Mkuu wa Air Defense wa Ukraine kasema hawajadondosha Kh-22 hata moja tangu zirushwe mamia vita hii yote. S-300 zote haziwezi idungua, ni air launched inapaa juu inakuwa supersonic kisha inakuja kwa kudondoka, tofauti na zile Kalibr zinazoenda horizontal unaweza detect iko Mbagala ukaipimia Kisarawe. Mpaka Patriot au SAMP/T ndio unaweza engage Kh-22.
Kinachofanya kuwe na makosa kuamini zimedondosha ni accuracy yake mbovu ardhini, inatumwa ipige kwa Mkapa inadondoka barabarani Temeke basi watu wanarekodi imekuwa intercepted ila jeshi baadae likipima debries wanakuta haikuwa intercepted. Taarifa yake inaeleweka kabisa
Unasema asilimia kubwa ya warusi wanamkubali Putin wakati maelf ya warusi walitiwa kilema kwa sababu ya maandamano ya kupinga vita ya kumpinga dikiteta.., tatizo mnaforce nyeusi iwe nyeupe,kitu hambacho hakiwezekani kamwe,Habari za kuaminika kutoka sources zipo?? All level headed people around the World knows effort za Putin alizotumia kufunfua Taifa lake kijeshi, kiviwanda na kiuchumi - Warusi wenyewe walio mchagua Putin wana mjua vizuri alivyonusuru Taifa lao kutoka kuzimu - msisikilize propaganda za MSM hakuna Mrusi mwenye akili timamu anaweza kupingana na mipango yake ya maendeleo au Putin anacho kipigania hivi sasa huko Ukraine - ndio maana takwimu zinaonyesha kwamba asili mia karibu 98% za Warusi zina-msupport Putin - sisi watu baki ndio tulifanye tunajua vizuri Putin anavyo deal na his inner circle Administration - hivi inaingia akilini kwamba Putin anaweza kweli kuwafokea viongozi wenzake nje ya ofisi ie in public! Come on.
Croatia ni pro Russia nation.Wameanza kupata akili