Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kasome historia ya mgogoro, ipo hivi baada ya vita ya pili ya dunia kuisha USA aliogopa nguvu ya umoja wa kisovieti .akashawishi wa ulaya magharibi kuanzisha umoja wa kijeshi kujiami na urusi, wakaanzisha kambi za kijeshi kila wanayemsajili. Rusia naye akaenda CUBA akaweka base ya kijeshi karibu na USA, USA akalia akaomba wafanye mazungumzo ili Russia aondoe kambi pale kwa mkataba kuwa USA na Nato wasiendelee kuisogelea urusi na kuweka kambi karibu na mipaka yake, LAKINI USA NA NATO baada ya mrusi kuvunja base yake Cuba wao wakiendelea na kuisogelea Russia hivyo kuvunja makubaliano. Rusia kavulia mno,Sasa kimkakati Ukraine akaanza kurubuniwa asajiliwe nato na alishaanza kukaeibisha hao Nato na kufanyanao kazi...kitendo ambacho hakivumiliki..jirani yako awe anakaribisha vibaka majambazi wanaoweka mikakati ya kukumaliza...simply naanza kisago kwa jirani
 
Hii vita inapiganwa sana kwa kutumia media.mwanzoni walisema vifaru vya urusi vimeharibiwa ni vibovu.lakini leo naona tena ukraine inaomba vifaru toka western.pia naamini ukraine imebaki magofu tu.
Ukraine is in the brink of defeat...Huko Poland tayari Kuna " alarm zimewashwa" ..mmoja amesikika akisema 'Ukraine inapotea"....Ukisngalia na kupitia media za West utalijua Hilo....Wimbo wao wakati wote kwa Sasa iwe ni BBC, CNN na kadhalika ni 'more weapons' for Ukraine'....Wengine wameanza kuzungumzia WWIII Kama Ukraine itakuwa defeated...They want NATO and the west to put boots on the ground in Ukraine...Na Putin Jana ametamka wazi kuwa ' victory in Ukraine is inevitable'..
 

Kwahiyo Ile battle ya Hostomel airport wakati inatokea wewe ulikua Nanjilinji au?! Kama alifanya ujinga wa kutuma limsafara lirefu bila air cover na baadae limsafara lile kupigwa ambush na Ukraine ndio ashindwe kufanya ujinga alioufanya pale Hostomel!!!!

Wewe jamaa unachekesha,kwahiyo Urusi ilituma wanajeshi waende wakaharibu Ile ndege AN-225 hayo ndo unaita mafanikio?! [emoji23][emoji23]

Ndio maana nikakuuliza kama Urusi hakutaka iteka Kiev Ile misafara ya vifaru iliyokua inapigwa ambush kwa Javellin pale Kiev ilifata nini?!
 
Naona anguko la Zelensk limekaribia[emoji23][emoji23][emoji23].


Tuliwambia ila awakutaka kusikia kabisa.Urusi sio Zimbambwe[emoji635][emoji635]
Hivi hamjachoka na huu utabiri. Zelenksy haendi popote na hata ikitokea akatoka atakuja mwingine na hakuna kitakachobadilika Supapawa ataendelea kuhenyeshwa mpaka maji aite mma
 
Hakuna unachokijua weww kuhusu Urusi.Urusi ana vifaru zaidi ya elfu 30.

Nato yote ijichange na bado awafiki idadi ya vifaru vya Urusi.kama ulikuwa ujui basi unatakiwa kujua.

Kama ukijumlisha na Yale mavifaru Yao ya wakati wa cold war yaliyokua store anafika hiyo idadi.

Leta link hapa ya vifaru vipya 2000 aina ya T-90M vilivyopelekwa Ukraine wacha kutatarika kama bisi.
 
Huyu ndo Supapawa,kamji kamoja anapigana karibu mwaka mzima[emoji23][emoji23][emoji23]

However, Prigozhin warned that Wagner would be unlikely to oust Ukrainian forces from Bakhmut soon: "Contrary to various opinions that the Armed Forces of Ukraine are fleeing from Artemovsk [the Russian name for Bakhmut], this is not so. The Ukrainian army is working clearly and harmoniously. We have a lot to learn from them."
Russia's Wagner boss heralds Bakhmut area advances, warns victory still distant
 
Source: Russia Today [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Wazee mbona mnaumia Sana na misaada ambayo Ukraine inapewa na West wakati Supapawa wenu nae anasaidiwa na Belarus,Iran na North Korea.

Hata USSR wakati wa WWII ilipewa misaada ya kijeshi na Marekani hii ya Ukraine sio ya Kwanza na wala haitokua ya Mwisho.
 
Mzee sijui uwezo wa hizo SAMP-T ila kama hizo patriot ndio hamna kitu wayemen tu waliziweza na makombola yao sasa unataka kuziongezea uzito wa kupamba na russian missiles? It will be massacres
Kwani zile S-400 za Russia zimefanya nini cha ajabu huko Ukraine?! Maana zilikua zikipewa sifa kwamba ndio AD bora kabisa duniani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani nchi zinazoitaji kusaidiwa na Urusi leo hii zitoe msaada.ebu kuwa serious kidogo.Silaha gani ya North korea au ya Belarus umeona uwanja wa vita warusi wakitumia.


Urusi ana viwanda vingi vvya kutengeneza silaha.wala hana presha kabisa kuhusu kitu kinaitwa silaha
 
Maeneo yanapotea mkuu nakukumbusha
Kama yapi?! Maana hiyo Soledar ndio mji wa maana ambao Russia imeukamata baada ya miezi sita. Ndani ya hiyo miezi 6 Ukraine imerudisha miji muhimu kama

•Kherson (30%)

•Izium

•Lyman

•Kupiansk

•Kharkiv, bila kusahau

•Snake Island

Tangu May mwaka Jana Urusi inapigana kuikamata Bakhmut lakini mpaka Leo Hali ni tete na Boss wa Wagner amekiri kuikamata Bakhmut sio suala la hivi karibuni

Russia's Wagner boss heralds Bakhmut area advances, warns victory still distant

However, Prigozhin warned that Wagner would be unlikely to oust Ukrainian forces from Bakhmut soon: "Contrary to various opinions that the Armed Forces of Ukraine are fleeing from Artemovsk [the Russian name for Bakhmut], this is not so. The Ukrainian army is working clearly and harmoniously. We have a lot to learn from them."
Russia's Wagner boss heralds Bakhmut area advances, warns victory still distant
 
Mbona Urusi alienda kuchomoa S-300 aliyompatia Syria,sasa hapo cha ajabu ni kipi Mzee?!
 
Uwoni Urusi kwa sasa anachukua sehemu muhimu.Donesk na luhansk ni miji yenye utajiri kuliko miji yoyote ile hapo Ukraine.ukipata iyo miji basi umekata sehemu kubwa ya Ukraine.
 
Slavaaa Ukraine .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…