mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Bakhmut gani unayoongelea wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Bakhmut inaisha kidogo kidogo.pia imebaki bado kidogo kuzungukwa yoteKama yapi?! Maana hiyo Soledar ndio mji wa maana ambao Russia imeukamata baada ya miezi sita. Ndani ya hiyo miezi 6 Ukraine imerudisha miji muhimu kama
•Kherson (30%)
•Izium
•Lyman
•Kupiansk
•Kharkiv, bila kusahau
•Snake Island
Tangu May mwaka Jana Urusi inapigana kuikamata Bakhmut lakini mpaka Leo Hali ni tete na Boss wa Wagner amekiri kuikamata Bakhmut sio suala la hivi karibuni
Russia's Wagner boss heralds Bakhmut area advances, warns victory still distant
However, Prigozhin warned that Wagner would be unlikely to oust Ukrainian forces from Bakhmut soon: "Contrary to various opinions that the Armed Forces of Ukraine are fleeing from Artemovsk [the Russian name for Bakhmut], this is not so. The Ukrainian army is working clearly and harmoniously. We have a lot to learn from them."
Russia's Wagner boss heralds Bakhmut area advances, warns victory still distant
Unasahau hata Russia alikua na Umoja wa kijeshi iliitwa WARSAW PACT na ulikufilia mbali baada ya kuvunjika Kwa USSRKasome historia ya mgogoro, ipo hivi baada ya vita ya pili ya dunia kuisha USA aliogopa nguvu ya umoja wa kisovieti .akashawishi wa ulaya magharibi kuanzisha umoja wa kijeshi kujiami na urusi, wakaanzisha kambi za kijeshi kila wanayemsajili. Rusia naye akaenda CUBA akaweka base ya kijeshi karibu na USA, USA akalia akaomba wafanye mazungumzo ili Russia aondoe kambi pale kwa mkataba kuwa USA na Nato wasiendelee kuisogelea urusi na kuweka kambi karibu na mipaka yake, LAKINI USA NA NATO baada ya mrusi kuvunja base yake Cuba wao wakiendelea na kuisogelea Russia hivyo kuvunja makubaliano. Rusia kavulia mno,Sasa kimkakati Ukraine akaanza kurubuniwa asajiliwe nato na alishaanza kukaeibisha hao Nato na kufanyanao kazi...kitendo ambacho hakivumiliki..jirani yako awe anakaribisha vibaka majambazi wanaoweka mikakati ya kukumaliza...simply naanza kisago kwa jirani
Propaganda kwenye kazi yake.ingekuwa ivyo basi iyo Soledar isingechukuliwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Kama Supapawa wa mchongo bado anazalisha silaha na kuzipeleka kwa frontline kwanini NATO waache kupeleka silaha Ukraine!!!!
BTW kuna vibaka zenu hizi hapa zinakufa kama senene
A new video from Magyar, commander of a recon unit working near Soledar. He shows trenches full of dead and wounded Russian soldiers
[emoji625]48.69649243250961, 38.023684053034906
Magyar, commander of a recon unit working in the area of Soledar with another video update. Russians cannot walk freely in the town despite having it captured. It's far from secured.
Nimehuliza kuhusu drone mkuu, zilisifiwa sana zile ,Sio lazima silaha yoyote inayotumika huko vitani lazima upewe report ya performance yake Mzee..,waandishi Wana kazi nyingi za kufanya..,unataka upewe report kuhusu performance ya
HIMARS
Bylaktar
Body harmo
Challenger tanks
Night vision devices
Reopad tanks
Kamikaze drones
Helmets
U A V
MLRs
Helicopters
Planes
Anti-aircraft
APV
Neptune missiles
Lisasi
Aina ya bunduki zinazotumika
Howitzer aina zote na silaha nyingine nyingi.., kwa Hali hiyo huoni kwamba unawatwisha mzigo reporters hambao hawawezi kuumudu??
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Bro kama Russia bado anazalisha silaha ambazo tele zinaenda huko vitani Ukraine kwanini Ukraine isiendelee kupewa silaha?! Kama Russia anaongeza silaha tena za kila aina kwanini Ukraine nayo isiongeze silaha zakeUkraine is in the brink of defeat...Huko Poland tayari Kuna " alarm zimewashwa" ..mmoja amesikika akisema 'Ukraine inapotea"....Ukisngalia na kupitia media za West utalijua Hilo....Wimbo wao wakati wote kwa Sasa iwe ni BBC, CNN na kadhalika ni 'more weapons' for Ukraine'....Wengine wameanza kuzungumzia WWIII Kama Ukraine itakuwa defeated...They want NATO and the west to put boots on the ground in Ukraine...Na Putin Jana ametamka wazi kuwa ' victory in Ukraine is inevitable'..
Huyo Babu yenu si alienda hadi NK kuomba artillery shells. Kwa muajemi kaenda kudunduliza apewe vidrone.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani nchi zinazoitaji kusaidiwa na Urusi leo hii zitoe msaada.ebu kuwa serious kidogo.Silaha gani ya North korea au ya Belarus umeona uwanja wa vita warusi wakitumia.
Urusi ana viwanda vingi vvya kutengeneza silaha.wala hana presha kabisa kuhusu kitu kinaitwa silaha
Huyu ni mwehu, yaani anataka Ukraine ashindwe ili nukes zisiruke?Bro kama Russia bado anazalisha silaha ambazo tele zinaenda huko vitani Ukraine kwanini Ukraine isiendelee kupewa silaha?! Kama Russia anaongeza silaha tena za kila aina kwanini Ukraine nayo isiongeze silaha zake
Halafu aliyeleta habari za WWIII (Nuclear War) ni Yule kichaa wenu Madvedev. Sijasikia hata kiongozi mmoja wa West akitoa vitisho vya nyuklia
Medvedev warned #NATO that the defeat of #Russia in #Ukraine could trigger a nuclear war. Read the full story: jpost.com/breaking-news/…
View attachment 2487728
Bro sehemu muhimu kama zipi mbona hamzitaji,Mimi nimekutajia miji muhimu ambayo Ukraine imerudisha kwenye kipindi cha miezi 6. Na wewe leta idadi ya miji ambayo Russia imechukua kwenye kipindi hicho,maneno ya nini bro!!!!?Uwoni Urusi kwa sasa anachukua sehemu muhimu.Donesk na luhansk ni miji yenye utajiri kuliko miji yoyote ile hapo Ukraine.ukipata iyo miji basi umekata sehemu kubwa ya Ukraine.
Russians dont learnKama Supapawa wa mchongo bado anazalisha silaha na kuzipeleka kwa frontline kwanini NATO waache kupeleka silaha Ukraine!!!!
BTW kuna vibaka zenu hizi hapa zinakufa kama senene
A new video from Magyar, commander of a recon unit working near Soledar. He shows trenches full of dead and wounded Russian soldiers
[emoji625]48.69649243250961, 38.023684053034906
Magyar, commander of a recon unit working in the area of Soledar with another video update. Russians cannot walk freely in the town despite having it captured. It's far from secured.
Izo artilley shells zinaitwaje mbona hatuzioni uwanja wa vita.au ni invisible, uwezi kuona kwa jicho la kawaida[emoji23][emoji23][emoji23].Huyo Babu yenu si alienda hadi NK kuomba artillery shells. Kwa muajemi kaenda kudunduliza apewe vidrone.
Nani wa kuwaamini Kyiv?Kama msemaji wa Serikali anatoa taarifa hii,then jeshi linakuja kutoa taarifa tofauti mpaka msemaji anaamua kujiuzulu!Ni mangapi wanadanganya?Idadi ya warusi wanaochinjwa huko Ukraine ndo kwanza inakaribia laki mbili Mzee.., mobilization yenyewe ilijumuhisha asikari laki tatu, hivyo hizo takwimu mnazoletewa bado ni ndogo sana kulingana na idadi ya askari wa urusi walioko front..,na hii huenda ni Kwa Sababu ya ukweli kwamba Ukraine haitoi idadi ya askari wa urusi wanaojeruhiwa au kutiwa vilema huko battle front,,wao mameconcetrate kutoa tu idadi ya askari wa urusi wanaochinjwa,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Halafu hayo sio maneno yangu,ni maneno ya Boss wa Wagner ambae anapewa report ya kinachoendelea kwa frontline kila siku, kwahiyo tuache kumuamini Evgeny Prigozhin tukuamini wewe Mrusi toka Buza Kwa Alimboa[emoji1787]Bakhmut gani unayoongelea wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Bakhmut inaisha kidogo kidogo.pia imebaki bado kidogo kuzungukwa yoteView attachment 2487724
Si ndio ujue kuwa hatutoki kwenye reli Wala kupanic na kutoa matusi,sisi ni nyundo juu ya nyundo!Ukitukana ni juu Yako na nafsi Yako!Unasema siwezi kuwatoa kwenye reli wakati unahangaika kunikwot [emoji16][emoji28]
Pro Russia akili zenu mnazijua wenyewe..,
[emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Izo artilley shells zinaitwaje mbona hatuzioni uwanja wa vita.au ni invisible, uwezi kuona kwa jicho la kawaida[emoji23][emoji23][emoji23].
Iran tofauti na kuuza drone ni silaha gani unaona ya iran ipo uwanja wa vita.
Muda mwingine jiongezeni sio kila mnachoambia na Marekani basi moja kwa moja mnakibeba mnatuletea sisi huku.
Kwa iyo mnashindana kuchukua miji muda flani au nyie ndo inabidi muwatoe Warusi maana wapo kwenu.Bro sehemu muhimu kama zipi mbona hamzitaji,Mimi nimekutajia miji muhimu ambayo Ukraine imerudisha kwenye kipindi cha miezi 6. Na wewe leta idadi ya miji ambayo Russia imechukua kwenye kipindi hicho,maneno ya nini bro!!!!?
Urusi kubakiza chakula cha siku 3 na kuishiwa silaha ivi alisema nani vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Unataka jina la artillery shells[emoji23][emoji23][emoji23]Aiseeee[emoji23]
Kwani Marekani alivyosema Iran itauzia Russia drones si Russia na Iran zilipinga,baadae zikaja kukubali.
Marekani iliposema miezi kadhaa kabla kwamba Russia inajiandaa kuivamia Ukraine si Urusi ilipinga na kukataa katakata.Leo imekuaje?!
Kwahiyo mnataka tumuamini Marekani anapotoa data zinazowafurahisha tu lakini zile zisizowapendeza mnazikataa[emoji23][emoji23][emoji23]
Silaha zote wanazotumia warusi zinajulikana.ebu taja hata moja wanayotumia kutoka nchi nyingine ukiachana na drone za Iran.Unataka jina la artillery shells[emoji23][emoji23][emoji23]Aiseeee[emoji23]
Kwani Marekani alivyosema Iran itauzia Russia drones si Russia na Iran zilipinga,baadae zikaja kukubali.
Marekani iliposema miezi kadhaa kabla kwamba Russia inajiandaa kuivamia Ukraine si Urusi ilipinga na kukataa katakata.Leo imekuaje?!
Kwahiyo mnataka tumuamini Marekani anapotoa data zinazowafurahisha tu lakini zile zisizowapendeza mnazikataa[emoji23][emoji23][emoji23]
Taja izo artillery shells kutoka North korea.Unataka jina la artillery shells[emoji23][emoji23][emoji23]Aiseeee[emoji23]
Kwani Marekani alivyosema Iran itauzia Russia drones si Russia na Iran zilipinga,baadae zikaja kukubali.
Marekani iliposema miezi kadhaa kabla kwamba Russia inajiandaa kuivamia Ukraine si Urusi ilipinga na kukataa katakata.Leo imekuaje?!
Kwahiyo mnataka tumuamini Marekani anapotoa data zinazowafurahisha tu lakini zile zisizowapendeza mnazikataa[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa iyo mnashindana kuchukua miji muda flani au nyie ndo inabidi muwatoe Warusi maana wapo kwenu.
.pia nahisi kichwa chako kina matatizo ya kuelewa ukiambiwa jambo.nimekwambia Urusi anashikilia maeneo muhimu kwenye ardhi ya Ukraine.wewe unakuja sijui kuniambia ebu taja hayo maeneo.
Ivi mfano tu mji wa Mariupol.kuna migodi ya chuma alafu kuna kiwanda kikubwa cha chuma kuliko kiwanda chochote kile ulaya mzima.
Ile donesk na luhansk ni utajiri mtupu
Urusi kudestroy Himars systems kuzidi idadi ambayo Ukraine imepewa.Urusi kubakiza chakula cha siku 3 na kuishiwa silaha ivi alisema nani vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].