Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Zote zinajulikana,embu tutajie jina la artillery shell ya Mrusi na ushahidi wa kutumika huko UkraineSilaha zote wanazotumia warusi zinajulikana.ebu taja hata moja wanayotumia kutoka nchi nyingine ukiachana na drone za Iran.
Tatizo hufuatilii taarifa za Russia,Makombora ya himars yamekuwa intercepted Kwa asilimia kubwa ndio maana unasikia habari za himars zimepotea humu jamvini!Kwani zile S-400 za Russia zimefanya nini cha ajabu huko Ukraine?! Maana zilikua zikipewa sifa kwamba ndio AD bora kabisa duniani
Mkuu, warusi wanachinjwa kila iitwapo Leo..,yaani kila siku iendayo kwa mungu warusi zaidi ya 700 lazima wachinjwe huko Ukraine.., hivyo usishangae ninapowaletea hizo takwimu kila sikuHivi kweli kuna siku inapita bila kupost hichi kiposta na kile kingine cheupe kweli mkuu!!
Russia hasaidiwi silaha,ananunua baadhi anazohitaji!Wazee mbona mnaumia Sana na misaada ambayo Ukraine inapewa na West wakati Supapawa wenu nae anasaidiwa na Belarus,Iran na North Korea.
Hata USSR wakati wa WWII ilipewa misaada ya kijeshi na Marekani hii ya Ukraine sio ya Kwanza na wala haitokua ya Mwisho.
Mnapokezana kushambulia kwa ambushHalafu hayo sio maneno yangu,ni maneno ya Boss wa Wagner ambae anapewa report ya kinachoendelea kwa frontline kila siku, kwahiyo tuache kumuamini Evgeny Prigozhin tukuamini wewe Mrusi toka Buza Kwa Alimboa[emoji1787]
Kabla ya vita, Russia alikua n@ vifaru zaidi ya 15,000,ndo nchi ilikua inaongozaNdio maana hua nakwambia taarifa zako za mchongo,eti vifaru vipya 2000 aina ya T-90M [emoji23][emoji23]. Unavijua vifaru 2000 wewe?!
Hata ukichukua jumla ya vifaru vyote (T-90M) vya Urusi kabla ya Vita na baada sidhani kama vinazidi vifaru 1000 wewe unaleta fix za vifaru vipya 2000. Leta link bhas tukajisomee wenyewe
Subiri mpaka yarudi ndo uje kutamba ila kwa sasa hamna jipya la kuongea.Hahahaha we jamaa itakua kuna fyuzi imechomoka kwenye hiyo kichwa yako.
Aliyekwambia kuna mashindano ya kuchukua miji kwa muda fulani ni nani?!
Umetajiwa maeneo ambayo warusi walichapika na kukimbia bado unasema "inabidi muwatoe warusi maana wapo kwenu".
Kama Kherson ilirudi, Kharkiv ilirudi na maeneo mengine kwanini ishindikane huko kwingineko?! Subiria counteroffensive zinazofuata kipindi cha Spring.
Kama juzi mlivyonitercept Makombora mawili ya Himars na manne kulipua na kuwakaanga wale wanajeshi wenu 600 mliowarundika pale Makiivka si ndio?!Tatizo hufuatilii taarifa za Russia,Makombora ya himars yamekuwa intercepted Kwa asilimia kubwa ndio maana unasikia habari za himars zimepotea humu jamvini!
Huyo ndugu yako katuambia Russia ana vifaru elfu 30.Kabla ya vita, Russia alikua n@ vifaru zaidi ya 15,000,ndo nchi ilikua inaongoza
Wewe hukujua kuwa kuwa Russia ataivamia Ukraine?Basi utakuwa kilaza!Unataka jina la artillery shells[emoji23][emoji23][emoji23]Aiseeee[emoji23]
Kwani Marekani alivyosema Iran itauzia Russia drones si Russia na Iran zilipinga,baadae zikaja kukubali.
Marekani iliposema miezi kadhaa kabla kwamba Russia inajiandaa kuivamia Ukraine si Urusi ilipinga na kukataa katakata.Leo imekuaje?!
Kwahiyo mnataka tumuamini Marekani anapotoa data zinazowafurahisha tu lakini zile zisizowapendeza mnazikataa[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani wewe Una jipya gani Shekhe wakati mpaka Leo hiyo Donbass tu mmeshindwa kuidaka yote. Bakhmut karibu mwaka inawatoa kamasi.Subiri mpaka yarudi ndo uje kutamba ila kwa sasa hamna jipya la kuongea.
Ila wewe ulijua miezi kabla?! Mbona hukuleta ushuhuda ama kufungua Uzi wa ushahidi?! Kama sivyo bhas ni kilaza mwenzanguWewe hukujua kuwa kuwa Russia ataivamia Ukraine?Basi utakuwa kilaza!
Sawa ,usichoke kunijibu mkuu, hivyo ndivyo napenda kwa Sababu unanipa fursa ya kupata airtime zaidi..,Si ndio ujue kuwa hatutoki kwenye reli Wala kupanic na kutoa matusi,sisi ni nyundo juu ya nyundo!Ukitukana ni juu Yako na nafsi Yako!
Ukitaka usijibiwe,usiandike[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ndio nasema,bila mifumo ya ulinzi ya Russia,himars zingetamba sana!Sema Ukraine hawezi kukuambia amefire mara ngapi!Kama juzi mlivyonitercept Makombora mawili ya Himars na manne kulipua na kuwakaanga wale wanajeshi wenu 600 mliowarundika pale Makiivka si ndio?!
Hii ni last week HIMARS zilivyowaunguza vibaka wa Wagner
This video of HIMARS [emoji1255] hitting Wagner’s in Soledar crediting your account was on TV in USA [emoji631]
I just saw it when I flipped the channel to CNN, it was on AOC360 and a couple of other programs.
Hii ni Rada ya S400 ambayo ilipigwa na HIMARS,baadae warusi wakaitelekeza.
A better photo of captured advanced russian Podlet-K1 radar station in Chornobaivka airfield.
HIMARS ipo na itaendelea kuwepo ili kuwafunza adabu.View attachment 2487775
Leta ushaidi hapa kwamba urusi ananunua hizo silaha, vinginevyo unapuyanga tu[emoji28]Russia hasaidiwi silaha,ananunua baadhi anazohitaji!
,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe kweli ujielewi.kwani ni lazima kuchukua Dombass yote.nyie ndo mfanye mpango muwatoe Warusi kwenye majimbo ya Luhansk, Donesk, zaphorozia, Kherson na kharviv ili Ukraine iwe free.Kwani wewe Una jipya gani Shekhe wakati mpaka Leo hiyo Donbass tu mmeshindwa kuidaka yote. Bakhmut karibu mwaka inawatoa kamasi.
Kwahiyo na wewe subiri mpaka mkamate maeneo yote ndo uje kutamba sio porojo za kwenye vijiwe vya kahawa. Kaa kwa kutulia.
Kapigia hesabu ya zamani, soviet union walikua na vifaru takriban 50,000.Huyo ndugu yako katuambia Russia ana vifaru elfu 30.
Akaongeza kwamba juzi hapa imepeleka Ukraine vifaru vipya T-90M zaidi ya 2,000 kule Ukraine. Nimemuomba ushahidi kakimbia. Labda umsaidie.
Yani nyie Himars zidunguliwe msilete taarifa hapa.Ndio nasema,bila mifumo ya ulinzi ya Russia,himars zingetamba sana!Sema Ukraine hawezi kukuambia amefire mara ngapi!
Ungekuwa unafualtilia habari za Russia ungeona,Kuna wakati makombora yote ynadunguliwa kabla ya kufikia targets!
Nyie mnavyosema Warusi wamekufa laki 1 mmetoa ushahidi[emoji23][emoji23][emoji23].si mnaongea tu maneno matupuHuyo ndugu yako katuambia Russia ana vifaru elfu 30.
Akaongeza kwamba juzi hapa imepeleka Ukraine vifaru vipya T-90M zaidi ya 2,000 kule Ukraine. Nimemuomba ushahidi kakimbia. Labda umsaidie.
Hahahaha Leo unaanza kupingana na Babu yenu andunje[emoji23]. Nyie si mlipitisha mpaka Kura nyie kwamba Donbass yote ni Urusi bila kusahau Zaporizhzhia na Kherson,baadae mkakimbia Kherson kama paka wezi,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe kweli ujielewi.kwani ni lazima kuchukua Dombass yote.nyie ndo mfanye mpango muwatoe Warusi kwenye majimbo ya Luhansk, Donesk, zaphorozia, Kherson na kharviv ili Ukraine iwe free.
Kubakwa ni kubakwa tu hata kama kwa sekunde 10.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]