Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Soviet Union ilishakufa miaka 30 iliyopita hapa tunazungumzia habari za Russia sio USSR bro.
Huenda zile tetesi zilizoenea kwamba dikiteta aliwahishwa ahera nahis zinaenda kuwa habari rasmi..,za chini chini ni kwamba Kwa Sasa Kuna edited and recorded speech za yule bwana hambazo zinarushwa hewani baada ya muda flani Ili kuwapa watu matumaini,Zelensky refuses to negotiate with Putin because he is not sure that the Russian president is alive
Kwahiyo uliongea ili kufurahisha Baraza[emoji23][emoji23][emoji23]halafu ukiambiwa una habari za mchongo unawaka kama Moto wa petrol [emoji23]. Kila siku kumsema Vunjo kumbe huna tofauti.Nyie mnavyosema Warusi wamekufa laki 1 mmetoa ushahidi[emoji23][emoji23][emoji23].si mnaongea tu maneno matupu
Kwa iyo mnakataa kabisa kuwa Urusi afikishi idadi iyo ya vifaru
Yani mpaka ProRussia mwenzako anakukataa kwa fix zako[emoji23][emoji23]Kwa iyo mnakataa kabisa kuwa Urusi afikishi idadi iyo ya vifaru
Inaelekea hufuatilii kwa makini habari hizi.....wataalamu wa West tayari wameshatoa tathimini yao, baadhi yao, kwamba Ukraine itashindwa na tayari wanaandaa majeshi kuingilia Kati kwa kupeleka Askari wakitokea Poland na vile nchi vidogo vya Baltic...vituo vya kijeshi vya Russia navyo vimeorodheshwa na ndiyo maana submarine za Russia zinazoweza kugeuza UK, Germany, na miji kadhaa ya USA kuwaBro kama Russia bado anazalisha silaha ambazo tele zinaenda huko vitani Ukraine kwanini Ukraine isiendelee kupewa silaha?! Kama Russia anaongeza silaha tena za kila aina kwanini Ukraine nayo isiongeze silaha zake
Halafu aliyeleta habari za WWIII (Nuclear War) ni Yule kichaa wenu Madvedev. Sijasikia hata kiongozi mmoja wa West akitoa vitisho vya nyuklia
Medvedev warned #NATO that the defeat of #Russia in #Ukraine could trigger a nuclear war. Read the full story: jpost.com/breaking-news/…
View attachment 2487728
Yani nikisikia habari kama hii yani furaha yake hata njaa sisikii kabisa.PMC "Wagner" took control of Kleshcheevka - Prigozhin
“Kleshcheevka has been liberated. Fierce fighting is still going on around Kleshcheevka. The enemy is clinging to every meter of ground,” Prigozhin said.
Recruitment of volunteers for the Wagner PMC continues!
Key conditions:
- A contract with a salary of 240,000 rubles and good bonuses for results;
- Health and life insurance, a guarantee of all payments;
- Modern overalls and the best equipment are provided;
- team aimed at practical work and to win.
Aged from 22 to 50 years, the presence of military service is optional.
If you want to work in the PMC Wagner as a soldier, artilleryman, or other military specialty, please get in touch with us directly via Telegram @Rabota_wagner_2 or WhatsApp or by phone:
tel: +7 (988) 322-43-37
tel: +7 (918) 095-39-01
Those wishing to apply for medical positions (including psychologists, surgical nurses, and CE drivers), please fill out the application form via the bot at @WagnerMedicalbot
Inaelekea hufuatilii kwa making habari hizi.....wataalamu wa West tayari wameshatoa tathimini yao, baadhi yao, kwamba Ukraine itashindwa na tayari wanaandaa majeshi kuingilia Kati kwa kupeleka Askari wakitokea Poland na vile nchi vidogo vya Baltic...vituo vya kijeshi vya Russia navyo vimeorodheshwa na ndiyo maana submarine za Russia zinazoweza kugeuza UK, Germany, na miji kadhaa ya USA kuwa
Majivu 'zimetokomea kusikojulikana' kusubiri amri..
Wewe unafikiri Chairman wa Joint Chiefs of Staff wa USA ameenda Poland kufanya Nini?!?! Huko Russia watu wamekaa mkao wa kuingia kwenye miji chini ya ardhi, tayari balaa likitokea...wewe na wenzio wa NATO wa humu JF akiwemo 'ki-rat' mmekaa humu kushabikia wakati Ukraine inateketea..