Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hivi kile kidege cha Russia kilivyodunguliwa na Turkey Russia ilifanya nini zaidi ya Putin kuja kujiliza kwenye TV[emoji23][emoji23]
 
Plus shells anazo fire ni twice the production of us and nato
 
Wakati Babu andunje kutwa kucha akitishia Nyuklia wenzake wanamuona kama mpuuzi mmoja hivi [emoji23]
 
Hivi kile kidege cha Russia kilivyodunguliwa na Turkey Russia ilifanya nini zaidi ya Putin kuja kujiliza kwenye TV[emoji23][emoji23]
Kwa iyo umeamia kwa Waturuki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].sawa ngoja nikupe jibu.

Malipo yalifanyika kwenye hii operation



2020 Balyun airstrikes

Kasome vizuri kilifanyika nini kwenye hii operation
 
Huyo Babu yenu si alienda hadi NK kuomba artillery shells. Kwa muajemi kaenda kudunduliza apewe vidrone.

Wager group walinunua baadhi ya siraha kutoka North Korea. Zile walizoona zitawasaidia. Kumbuka wagner ni kampuni ya ulizi sawa mkuu.
TENA INAWEZA KUWA SIO KWELI NI PROPAGANDA ZA WESTERN COUNTRIES.
Mkuu hivi unajua kuwa north still wananunua siraha kutoka Urusi , unajua hilo.
 
Kwa iyo umeamia kwa Waturuki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].sawa ngoja nikupe jibu.

Malipo yalifanyika kwenye hii operation



2020 Balyun airstrikes

Kasome vizuri kilifanyika nini kwenye hii operation
Uturuki WALISEMA ndege waliingia kwenye anga yake ,
Na walikuwa na USHAHIDI.
Kwa maana nyingine kweli walikuwa na haki ya kufanya hivyo.
 
Kwa iyo umeamia kwa Waturuki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].sawa ngoja nikupe jibu.

Malipo yalifanyika kwenye hii operation



2020 Balyun airstrikes

Kasome vizuri kilifanyika nini kwenye hii operation
Kwahiyo Babu aliogopa kuipiga NATO [emoji23].

Zile mbwembwe za nyuklia kwani zimeishia wapi maana tuliambiwa atakayethubutu kuisaidia Ukraine atakiona cha mtema kuni lakini Leo mpaka kanchi kama Estonia eti nako kanamvimbia Babu kanapeleka silaha Ukraine tena waziwazi.

Yale mabomba yake ya Gas ambayo anasema UK iliyalipua,wamemfanya nini Uingereza [emoji23]. Si kila siku wanaropoka kwenye media kwamba Wana kombora la kuifuta Uingereza kwenye uso wa Dunia[emoji23][emoji23]
 
Ni kampuni ya Ulinzi kutoka nchi gani?! Na inapigana kwa niaba ya Nani?!

Hata Iran inanunua silaha toka Urusi lakini Urusi alikimbilia kuomba drone Kwa muajemi!!!!
 
Kwa hyo pesa watawapata wengi, tena wengi kutoka middle east, kwa Tanzania ni sawa approximately Tzs 8,400,000/=, hapo hujaweka na bonus, chakula bure, malazi bure na bima ya afya juu, ndo maana mbongo alizama[emoji3]
Ukijiloga kuingia ndo mwisho wa uhai wako
 
Ukiangalia misaada inayomwagwa Ukraine kwa sasa ni dalili tosha offence inakaribia fanyika
 
hao watoto bado hana uhakika nao. 100%
mke bado anaipambania ndoa yake. mchepuko anaforce watoto wa mwanaume mwenzie wawe wake.
Ndio akili ya panya hii someone is fucking your wife daily mpaka kampa mimba we umekalia tu kusema ana tatizo la nguvu za kiume....sema udhaifu wote wa russia ila maeneo ya ukraine yanazidi kwenda and Ukrainians will die alot of them trying to retake them
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…