Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wewe mpaka sasa umeleta ushahidi upi?!

Tumekuomba ushahidi wa vifaru 30 vya Russia umetimua mbio.

Tumekuomba ushahidi wa vifaru vipya 2000 vya T-90M umetoka baru halafu unakuja kuchongoa mdomo kama mmasai akiwa disco.
 
Kama nimekuelewa, ili uthibitishe kuwa NATO si waoga unachotaka kuona ni vita kati ya NATO na URUSI. Nadhani ukiachana na maraisi wa nchi zinazounda umoja wa NATO hata Putin mwenyewe hataki kuona hili unalolitaka wewe.
 
Kama vile ambavyo Russia alivyosema kaharibu Bradley AFV wakati hata Ukraine hazijafika[emoji23][emoji23] Yani mnaongopa mpaka mnapitiliza [emoji23][emoji23]

Russia Mocked For Claiming To Destroy 4 US-Made Bradley Fighting Vehicles That Are Yet To Be Delivered To Ukraine
By Tanmay Kadam- January 14, 2023

Russia has claimed to have destroyed four American-made Bradley Fighting Vehicles in Ukraine, which the Biden administration recently pledged to Kyiv as part of its latest $3.75 billion aid package. The only catch being they are yet to arrive in the war-hit country.

Russia’s Ministry of Defense spokesman Igor Konashenkov said in a recent press statement that Ukraine lost four Bradley Fighting Vehicles (BFVs) during hostilities.

“During the battle in this direction, the enemy (Ukraine) lost 11 tanks, 17 Infantry Fighting Vehicles (IFVs), including four Bradleys made in the USA,” said Konashenkov

The video of Konashenkov claiming the destruction of Ukrainian Bradleys has become a laughing stock among the netizens on social media

Russia Mocked For Claiming To Destroy 4 US-Made Bradley Fighting Vehicles That Are Yet To Be Delivered To Ukraine

Ni KITUKO cha mwaka 2023 [emoji23][emoji23][emoji23]

Russian Defence Ministry Spokesman says they destroyed Bradley IFV, which had not even been transferred to Ukraine yet.
 
Kwani Wagner Group wakipewa silaha na North Korea Kuna shida gani.

Yaani wewe kwa Nini unaumia? Au kitu gani kinakufanya uumie.

Yes, wanapewa Silaha... Embu eleza shida yako Sasa.

Hahahaha mbona makasiriko shekheeee [emoji23]

Kwani nyie Ukraine ikipewa silaha kwanini mnaumia?! Au ndo nyani kashatema Bungo [emoji23]
 
Hahahaha mbona makasiriko shekheeee [emoji23]

Kwani nyie Ukraine ikipewa silaha kwanini mnaumia?! Au ndo nyani kashatema Bungo [emoji23]
Lina umeona hapa Pro Russia wanaumia au wanalalamika kwa Ukraine kusaidiwa hizo silaha.

Always utasikia "US is deeply concerned" kwa Iran au North Korea kuipa silaha Russia.

Au hapa ili unakataa?
 
Russia imeanza weka AD juu ya majengo marefu..

Imeweka AD kwenye HQ ya MoD Jijini Moscow


Je Russia anataka lipua MoD ya Ukraine?
Hizo AD zao za mchongo hata zisikupe shida Mkuu, Ukraine baada ya kushambuliwa (sio mara moja) deep into Russia kwenye ile air base yao inayohost zile strategic nuclear bomber, Supapawa kazikimbiza bombers zake toka kwa hiyo base kaacha bombers hazizidi hata dozen mbili
 
wakizungukwa ,kuna brigade zaid ya 12 huko bakhamut tlanslatting to wanajeshi more than28,000
View attachment 2487937
Watapigana pasipo kula, kunywa, kupata matibabu na kupata silaha.au unajua tu wanajeshi wakienda sehemu basi ndo wamemaliza.

Silaha utumwa kila muda maaana uwezi kuwa na mzigo mkubwa uwanja wa vita.unapewa mzigo kila ukipungua
 
Mzee unaongea upupu gani huu?!


Lini Marekani ilitaka ivamia Venezuela?!
Lini Urusi ilipeleka nuclear Venezuela?!

Hivi unadhani Marekani ingetaka hasa kuivamia Venezuela huyo Urusi angeizuia?!

Marekani anacheza kete zake kwa akili sio kutumia nguvu juzi hapa tumemskia Maduro mwenyewe anataka uhusiano wa Marekani na Venezuela urudi kama zamani.

Na Kwa taarifa yako kampuni ya Marekani Chevron imepewa kibali kuanza kuchimba tena mafuta hapo Venezuela Kwa bwana Maduro.
U.S. prepared to authorize Chevron to boost Venezuela's oil output
 

Kwahiyo mkiombwa link ya taarifa zenu mnadai tunajua kila kitu[emoji23][emoji23][emoji23]

Mbona upande wa pili ukileta taarifa fulani mnadai hizo link?!
 
Lina umeona hapa Pro Russia wanaumia au wanalalamika kwa Ukraine kusaidiwa hizo silaha.

Always utasikia "US is deeply concerned" kwa Iran au North Korea kuipa silaha Russia.

Au hapa ili unakataa?
Scroll huko juu uone Pro wenzako wanavyoropokwa kisa silaha kutumwa Ukraine.

Mbona Russia kila siku anajiliza kuhusu silaha zinazopelekwa Ukraine!!!!!!
 
mkuu mbona unatoka njee ya mda, its okay.
sawa si uwekezaji kwani USA hawawekezi iran au russia si wanawekeza sasa hulichoshituka mini hapo.
Natokaje Nje ya mada wakati wewe ndiye uliyeleta habari za Venezuela!!!

Nimekuuliza maswali hapo juu hujajibu umekimbilia kuquote issue ya mafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…