Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,560
- 9,690
Kipanya44 unateseka ukiwa charambe sehemu gani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alafu mnajiona hapo mmejenga hoja kweli [emoji2]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
We kwa hiyo mpaka leo Ukraine bado wana pigwa na kikosi cha sungusungu tu na miji inaendelea kubebwa
Wanaogopa nini kuleta hayo machuma chuma.walete Leopard na Abram ili tuone ubora wake.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji779]️The German Bundestag Blocks the Transfer of Leopard Tanks to Ukraine (Europa)
Subscribe to RTView attachment 2488030
Tuendelee kugonga mtori.nyama tutaletewa mwishoni[emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635]
Anasahau kwamba hivi majuzi tu Ukraine ilitoa msaada wa chakula katika nchi mbalimbali ikiwemo somalia( kama sijakosea)Jamaa anasema kwa mtazami wake anaona Russia amisha shinda maana Ukraine kwa sasa hana tena uchumi na hamna uzalishajinwowote unaofanyika
Nipo hapa marinka,uliyotuambia imekombolewa na warusi miezi miwili iliyopita [emoji16][emoji16]Kipanya44 unateseka ukiwa charambe sehemu gani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mohamedidrisa789 uliwaambia mapema wakakubishiaTuendelee kugonga mtori.nyama tutaletewa mwishoni[emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635]
-Battle of saratoga 1777Tukumbushe mara ya mwisho imepigwa na nani ?
Ndio hivyo ukorofi kaanza Ukraine na majambazi yakeUnasahau hata Russia alikua na Umoja wa kijeshi iliitwa WARSAW PACT na ulikufilia mbali baada ya kuvunjika Kwa USSR
Mtanzania Nemes Tarimo afariki kishujaa Ukraine akimpigania ndugu yetu PutinAu sio
Mtanzania Nemes Tarimo afariki kishujaa Ukraine akimpigania ndugu yetu Putin katika kundi la kigaidi la wagner
Alafu live nilikuwa nimesahau hii mobilization kweli tuulize hao wanaume wote wameenda wapi maana nchi inamegwa huko na kampuni ya ulinziSenselessky alifanya mobilization ya taifa zima kwa kuzuia wanaume wote milioni 20+ wasiondoke nchini na wote wamechinjwa. Au hujui hilo
Huyo alipelekwa machinjioni kwa ulazima..,Cha kushangaza hakuna mtu hata mwandishi anayeligusia hili suala [emoji848]Mtanzania Nemes Tarimo afariki kishujaa Ukraine akimpigania ndugu yetu Putin katika kundi la kigaidi la wagner
Mzunguko wa majeshi ya uingereza vs Argentina vita ya Falkland na vita ikaishia hapo maana walizingirwa mzingo mkubwa sana rais wa Argentina akarusha taulo-Battle of saratoga 1777
-Singapore 1940s
-north africa during ww2
-na wazulu waliwahi pigwa pia
Wanazo nyingi kuliko hao mashoga wenu wa NATOMbona Povu Shekhe[emoji23].
Hiyo Crimea kama kuchapwa mbona ishachapwa mara kibao na hatujaona Ile Judgement Day aliyoahidi yule mvuta bangi wenu Madvedev [emoji23] sasa subirini Ukraine ipewe Long Range missile kitakachotokea hapo Crimea.
Yani Ukraine isiyokua na long range missiles mmesihindwa ndo mtaweza mziki wa NATO
Mvuta bangi wenu na Leo tena anatishia nyuklia utafikiri wanazo Peke Yao
Medvedev warned #NATO that the defeat of #Russia in #Ukraine could trigger a nuclear war. Read the full story: jpost.com/breaking-news/…
Kama ukraine aliweza kufanya mobilization ya askari millions 20 kama mnavyodai ,,basi tunaweza Ukraine sio nchi ya mchezomchezo.., maana kuwahudumia askari millions 20 kwa body harmo,elmet, bunduki..,na nyenzo nyingine zinazoitajika sio kazi rahisAlafu live nilikuwa nimesahau hii mobilization kweli tuulize hao wanaume wote wameenda wapi maana nchi inamegwa huko na kampuni ya ulinzi