Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Nilisha kwambia hachana na tabia hizi za ku-copy copy vitu kutoka kwenye Wikipedia- huna hata habari kwamba mtu yeyote anaweza kuongeza chochote au kuirekebisha madhui mazima ya baadhi ya topic za Wikipedia bila ya kuomba kibari - which means anyone driven by hidden agenda anaweza ku-tinker around for political gain - kwa lengo la kuzuga zuga watu kupendelea Taifa fulani na kuzungumza kidogo tu kuhusu mataifa shindani kwa kuyasema vibaya na kudai wako nyuma sana kwenye masuala ya sayansi na teknolojia - lakini watu walio kwenda shule na kuelewa mambo haya kiundani kiufundi ni rahisi kugunduwa ulaghai unao endelea hasa kuhusu masuala ya silaha - labda kwa kukusaidia kidogo ukichunguza kwa umakini silaha/missiles karibu zote bila kujali zinaundwa taifa gani: Urusi,Merikani,Uchina,Uingereza etc they all follow same design criteria in terms of payloads (VHE,thermonuclear, Biological/Chemical) - Propulsion ( rockets: liquid fuel, solid fuel, hivi sasa Warusi wamekwisha unda rocket inayotumia nuclear engines, inaweza kuzunguka Dunia miaka na miaka bila ya kulazimika kuwekewa fuel na kuweza kupiga target yeyote Duniani at opportune time!!) Zipo vile vile air breathing subsonic cruise missiles. Mataifa tajwa hapo juu wameunda silaha zote hizo - following, again, same basic physics principles.
Wanacho zidiana ni design za speed za delivery systems na payload capacities, navigation/guided systems etc.
"You can't even read between the lines kujua kwamba Ujerumani inachezea akili USA kwa mbinu za hali ya juu kabisa"
Yani Mjerumani achezee akili ya USA [emoji23]
Wakati vita inaanza Ujerumani ilikataa kupeleka lethal weapons Ukraine,iliishia kupeleka helmet (kama unakumbuka) na body armour lakini baada ya pressure toka Marekani Ujerumani ikaanza kupeleka lethal weapons kama Ant tank missile,ant drone, ikapeleka Gepard, Artillery shells,counter battery radars bila kusahau air defenses kama IRIS-T. Kama hivyo vilienda hata hizo leopard tanks zitaenda. Nitakukumbusha.
Ujerumani hiihii iliyosema haitaki ndege ya F-35 baada ya uvamizi wa Ukraine ikakimbilia kuweka order ya kununua F-35 bila kusahau Chinook helicopters na silaha nyingine toka Marekani ndio icheze na akili ya USA!!!!!!? Labda Ujerumani ya Mbagala
Ni mataifa machache yanayo chukulia seriously Merikani - ni watu wachache kama nyinyi mnao inflated blindly USA military capabilities kwako Uncle SAM ni Alpha na Omega- lini liliwahi kupigana na taifa lenye uwezo kijeshi likashinda - lini? Kwa nini wanagwaya kujiingiza moja kwa moja kwenye vita ya Ukraine, si wanajifanya kifaru, sasa kwa nini hawashambulii Warusi kwa kutumia silaha zake za kitisha - wanaogopa nini??
Kitu kingine mbona hatusikii tena IRIS-T air defense system - je, zilitungua missiles na ndege ngapi za Urusi - mbona tuliona karibu zote zilitiwa kiberiti na drones za Urusi, hata kabla ya hapo IRIS-T haikuonyesha maajabu yoyote - Ukraine ilikuwa inalalamika kwamba hazifanyi kazi vizuri - Wajerumani bado wanawachezea akili Zelensky na Joe Biden - sijui nirudie kukwambia mara ngapi, lakini kumbuka Ujerumani hai-support mgogoro huu wa Ukraine, unacho fanya ni kutaka kumfurahisha Biden kwa kuwapatia jeshi la Ukraine zana za vita zenye walakini mkubwa -Germany are no fools.
Suala la F-35 ntakujibu kwa kirefu kesho, labda nikupe clue kidogo F-35 airframe design na sehemu ya kuinstall engine, vyote viliibiwa kutoka Urusi, Waamerika walicopy Russian Yak-141 built super sonic fighter flown for the first time in 1986 (sikumbuki vizuri version ya Yakorev fighter) - lakini mara zote US ujifanya the brains behind F-35 design were Amerikans kumbe ni uongo mtupu, na hii si mara ya kwanza US kuiba designs za Russians military flying machines, the classic one was stealing Russian Chopper gunship in Libya Mil..., US military personell removed main rotor and tail rotor before putting it on board US large military transport plane to transport Russian stolen chopper to the USA for reverse engineering - are you aware of this incident?
FYI, Wajerumani na wafaranza hawataki kununua ndege za kivita kutoka US, wanataka waunde ndege zao wenyewe kama walizo wahi kuhunda, mgano: Eurofighter - kama Ujerumani unasema sasa unataka kununua F-35 naiona hiyo ni danganya toto to just to please US, lakini kiukweli watafanya kila mbinu kukwepa kuzinunua ndege za F-35 (an overpriced and over exaggerste fighter planes) zenye matatizo lukuki kuanzia kwenye: RAM, ejector seats, oxygen generator, software bugs, you name it!!
"kama Ujerumani unasema sasa unataka kununua F-35 naiona hiyo ni danganya toto to just to please US, lakini kiukweli watafanya kila mbinu kukwepa kuzinunua ndege za F-35 (an overpriced and over exaggerste fighter planes)"Ni mataifa machache yanayo chukulia seriously Merikani - ni watu wachache kama nyinyi mnao inflated blindly USA military capabilities kwako Uncle SAM ni Alpha na Omega- lini liliwahi kupigana na taifa lenye uwezo kijeshi likashinda - lini? Kwa nini wanagwaya kujiingiza moja kwa moja kwenye vita ya Ukraine, si wanajifanya kifaru, sasa kwa nini hawashambulii Warusi kwa kutumia silaha zake za kitisha - wanaogopa nini??
Kitu kingine mbona hatusikii tena IRIS-T air defense system - je, zilitungua missiles na ndege ngapi za Urusi - mbona tuliona karibu zote zilitiwa kiberiti na drones za Urusi, hata kabla ya hapo IRIS-T haikuonyesha maajabu yoyote - Ukraine ilikuwa inalalamika kwamba hazifanyi kazi vizuri - Wajerumani bado wanawachezea akili Zelensky na Joe Biden - sijui nirudie kukwambia mara ngapi, lakini kumbuka Ujerumani hai-support mgogoro huu wa Ukraine, unacho fanya ni kutaka kumfurahisha Biden kwa kuwapatia jeshi la Ukraine zana za vita zenye walakini mkubwa -Germany are no fools.
Suala la F-35 ntakujibu kwa kirefu kesho, labda nikupe clue kidogo F-35 airframe design na sehemu ya kuinstall engine, vyote viliibiwa kutoka Urusi, Waamerika walicopy Russian Yak-141 built super sonic fighter flown for the first time in 1986 (sikumbuki vizuri version ya Yakorev fighter) - lakini mara zote US ujifanya the brains behind F-35 design were Amerikans kumbe ni uongo mtupu, na hii si mara ya kwanza US kuiba designs za Russians military flying machines, the classic one was stealing Russian Chopper gunship in Libya Mil..., US military personell removed main rotor and tail rotor before putting it on board US large military transport plane to transport Russian stolen chopper to the USA for reverse engineering - are you aware of this incident?
FYI, Wajerumani na wafaranza hawataki kununua ndege za kivita kutoka US, wanataka waunde ndege zao wenyewe kama walizo wahi kuhunda, mgano: Eurofighter - kama Ujerumani unasema sasa unataka kununua F-35 naiona hiyo ni danganya toto to just to please US, lakini kiukweli watafanya kila mbinu kukwepa kuzinunua ndege za F-35 (an overpriced and over exaggerste fighter planes) zenye matatizo lukuki kuanzia kwenye: RAM, ejector seats, oxygen generator, software bugs, you name it!!
Una meditate ujinga usije ukajinyea tuJamani eeh ,imekuwa mara mbili sasa nimekuwa nikiota kuuwawa kwa Rais wa Urusi bwana Putin.
Mimi ni mtu ninayemeditate sana.na ninapokea maono mengi kupitia kwa NDOTO na yanakuwa KWELI.
Watu wa kiroho wanasema kuwa sisi wanadamu hatuna umbali ,yaani ulipo NAMI nipo.
Hivyo Kuna uwezekano mwenzetu akapotezwa na watu wa magharibi.
Na nilichoona ,baada ya kifo Cha msela ,majenerali wake hawatokuwa na la kusema zaidi ya kusarender kuacha vita ili kuepusha vita vya nyuklia.
Katika USSR ....Nchi zilizopewa uhuru wao ... Kwa Nini walirudisha silaha Urusi !!?? ... Ndio utajua ....kuwa Urusi ndio USSR...Soviet Union ilishakufa miaka 30 iliyopita hapa tunazungumzia habari za Russia sio USSR bro.
Sijui kama atakuelewa anyway Asante kwa shuleNi mataifa machache yanayo chukulia seriously Merikani - ni watu wachache kama nyinyi mnao inflated blindly USA military capabilities kwako Uncle SAM ni Alpha na Omega- lini liliwahi kupigana na taifa lenye uwezo kijeshi likashinda - lini? Kwa nini wanagwaya kujiingiza moja kwa moja kwenye vita ya Ukraine, si wanajifanya kifaru, sasa kwa nini hawashambulii Warusi kwa kutumia silaha zake za kitisha - wanaogopa nini??
Kitu kingine mbona hatusikii tena IRIS-T air defense system - je, zilitungua missiles na ndege ngapi za Urusi - mbona tuliona karibu zote zilitiwa kiberiti na drones za Urusi, hata kabla ya hapo IRIS-T haikuonyesha maajabu yoyote - Ukraine ilikuwa inalalamika kwamba hazifanyi kazi vizuri - Wajerumani bado wanawachezea akili Zelensky na Joe Biden - sijui nirudie kukwambia mara ngapi, lakini kumbuka Ujerumani hai-support mgogoro huu wa Ukraine, unacho fanya ni kutaka kumfurahisha Biden kwa kuwapatia jeshi la Ukraine zana za vita zenye walakini mkubwa -Germany are no fools.
Suala la F-35 ntakujibu kwa kirefu kesho, labda nikupe clue kidogo F-35 airframe design na sehemu ya kuinstall engine, vyote viliibiwa kutoka Urusi, Waamerika walicopy Russian Yak-141 built super sonic fighter flown for the first time in 1986 (sikumbuki vizuri version ya Yakorev fighter) - lakini mara zote US ujifanya the brains behind F-35 design were Amerikans kumbe ni uongo mtupu, na hii si mara ya kwanza US kuiba designs za Russians military flying machines, the classic one was stealing Russian Chopper gunship in Libya Mil..., US military personell removed main rotor and tail rotor before putting it on board US large military transport plane to transport Russian stolen chopper to the USA for reverse engineering - are you aware of this incident?
FYI, Wajerumani na wafaranza hawataki kununua ndege za kivita kutoka US, wanataka waunde ndege zao wenyewe kama walizo wahi kuhunda, mgano: Eurofighter - kama Ujerumani unasema sasa unataka kununua F-35 naiona hiyo ni danganya toto to just to please US, lakini kiukweli watafanya kila mbinu kukwepa kuzinunua ndege za F-35 (an overpriced and over exaggerste fighter planes) zenye matatizo lukuki kuanzia kwenye: RAM, ejector seats, oxygen generator, software bugs, you name it!!
Chaku zangaa nikipi mbona Tanzania umepitwa kiuchumi na Rwanda na Zambia. You dumb fool 😂😂😂😂😂Lina umeona hapa Pro Russia wanaumia au wanalalamika kwa Ukraine kusaidiwa hizo silaha.
Always utasikia "US is deeply concerned" kwa Iran au North Korea kuipa silaha Russia.
Au hapa ili unakataa?
MAREKANI ndio ya kwanza kutumia wajumbe kwenda Venezuela hill jukwa umeingia mwakagani wewe maduro kumbuka marekani haimtambui maduro ka ma rais .ila naona wameanza shoboSasa hapo aliyekimbia ni Nani maana huyo Maduro baada ya kutepeta kashaanza kutaka huruma za Marekani akitaka warudishe mahusiano mazuri na Venezuela
Unaongea sana kwa functionality yake iko vpNarudia tena hii kauli kwa mara nyingine,Urusi kwasasa Hana ubavu wa kuiannex Ukraine nzima kama alishindwa kuikamata Kiev wakati Ukraine ikiwa dhaifu ndio aweze sasa Ukraine ikiwa imejizatiti Kwa silaha mbalimbali za West?!
Bro watu hatuongei kufurahisha Baraza tunakupa na evidence kabisa ukajisomee mwenyewe
Russia ships S-300 air defence missiles out of Syria - satellite images

Hivi hizo S400 zimefanya nini cha maana hapo Ukraine,si hua tunaambiwa Rada ya S400 inaona target ikiwa umbali wa 600km na kuweza engage ikiwa umbali wa 400km kwa kutumia 40N6 missile sasa ilikuaje Ukraine ikapenyeza drone zake (tena sio mara moja) toka Ukraine mpaka ndani kabisa ya Urusi zaidi ya 600km kwenda kupiga kambi ya jeshi yenye strategic nuclear bombers?!
Jana nilikupostia Rada ya Kisasa Podlet K-1 ambayo ilipigwa na precision missiles za Ukraine na Leo nakupostia tena hii hapa chini. Na hiyo sio ya Kwanza,ni ya pili. Hii Podlet K-1 inatumiwa na S400 missile system.View attachment 2488151
Hiyo unajua wewe ila USSR ilishajifia zamani,ndio maana hata pale Umoja wa mataifa hakuna nchi inaitwa USSR Bali kuna Russia Federation.Katika USSR ....Nchi zilizopewa uhuru wao ... Kwa Nini walirudisha silaha Urusi !!?? ... Ndio utajua ....kuwa Urusi ndio USSR...
Sisi tunamsikiliza Maduro sio wewe Mrusi toka kwa mfuga nyokaMAREKANI ndio ya kwanza kutumia wajumbe kwenda Venezuela hill jukwa umeingia mwakagani wewe maduro kumbuka marekani haimtambui maduro ka ma rais .ila naona wameanza shobo