President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Kwa hiyo kwako wewe kuchomwa kwa Quran unaona ni sawa?Super pawer kabanwa mbavu mpaka anafta huruma za waislam[emoji16]..,vita isikie kwa jirani tu, inakufanya uwe mpole hata kama hukuwahi kufikiria kuwa mpole [emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Achana naye huyo ni mkenya. Hawana Hermon kwao.Kwa hiyo kwako wewe kuchomwa kwa Quran unaona ni sawa?
Mimi sibishani nawewe maana kila kitu wewe unabisha.sio mfatiliaji wa vita alafu unabisha bisha ovyo.sasa kwa nini nijichoshe wakati wapo wanaofatilia.Hiyo marynka miezi mitatu iliyopita tuliambiwa imeangukia mikononi mwa urusi [emoji28]..,yule jamaa anayejiita. mohamedidrisa789 ameiweza kweli kazi ya propaganda
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo kwako wewe kuchomwa kwa Quran unaona ni sawa?
Tatizo linakuja kwamba hatukuwahi kuona urusi akilahani vitendo kama Hivi hapo mwanzo kabla hajajiingiza kwenye huu mgogoro,Kwa hiyo kwako wewe kuchomwa kwa Quran unaona ni sawa?
Kuchoma Quran ni jambo dogo Sana..,ni suala la kuchukua fimbo na kumuhadabisha mhusika kisha mambo mengine yakaendelea.., tatizo wanasiasa kila tukio wanataka kulibeba kisiasaIla hapa Sweden [emoji1236] wameingia chakike aisee, Kuchoma Quran ndo kumezidi kuchochea nchi nyingi asa za kiarabu kuiona NATO ni anti-islamic organization, na sijui Kama Turkey [emoji1250] wataidhisha membership ya Sweden kujiunga na NATO.
Hata wewe wenye akili wamekupuuza tu maana wameona una upotoshaji na uongo mwingiMimi sibishani nawewe maana kila kitu wewe unabisha.sio mfatiliaji wa vita alafu unabisha bisha ovyo.sasa kwa nini nijichoshe wakati wapo wanaofatilia.
Wewe upi hapa kwa kubisha kila kitu.hata kitu cha kweli wewe unakibishia.[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa mtu anayefatilia kweli huu mgogoro awezi kubisha kuwa Soledar ipo kwenye mikono ya Warusi.wewe unabisha labda sio mfatiliaji wa vita au unajua ila unabisha ili kuleta fujo.
Sasa mtu kama wewe ni wa kukuacha tu
Anazungumzia soleda ya buza.Kichapo gani? Mbona kama sikuelewi hivi kwanza ni soleda gani unayoizungumzia wewe maana soleda NATO ijua Mimi ni ile iliyopo Ukrainian na imeshabebwa na urusi masiku yaliyopita
Ebu tuambie ni soleda gani unayo zunguzia wewe?
Katika vitu Wamarekani wamejitahidi kuficha na wamefanikiwa Ni 1.anguko la advanced tank Abrams kutoka kwa silaha za adui Kama Kornet ama Metis ama Konkurs ATGM huko Iraq na kwingine duniani.
Wao hukipamba kifaru hiki kwa ubora kivita Kwamba hakijawahi ku be killed hata na ATGM. Na kwa hakika wamefanikiwa. Hata waliposhindwa kabisa vitani wanakwambia tumefanya shambulio la ndege kuharibu kifaru ili teknolojia isihame.
2. F 15 na f 16 air superiority fighter jet,
Kwa mujibu wa Marekani Hakuna hata ndege moja Kati ya hizo Ime be killed kwa air to air missile kutoka ndege hasimu. But taarifa za mahasimu kivita zimekuwa zikionesha anguko la ndege hizi kule Iraq na hata Bosnia.
Nakukumbusha tu kuwa kampuni ya ulinzi inazidi kuchukua maeneoChombo hiki hapa kinapiga kazi Mzee [emoji56][emoji56]View attachment 2492986
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Yah wameweka mpaka bafu[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi hii Abram ndo ina choo ndani??
Kachukueni kwanza chumvi ubeligiji ndio muendelee na mengineEti Ukraine inarudi nyuma ,[emoji1787][emoji2] kwanza naomba kujua umeanza kufuatilia hii vita tangia lini , maana naona ni mweupe sana kwenye haya mambo..,kwanza naomba nukujulishe tu kwamba ukraine alifanya counteroffensive iliyowakimbiza kama mbwa mwizi huko
Khakivu
Izium
Snake island
Kyiv
Kheson city
Lyman
Kupyansk
Tangia mwezi wa 6 mwaka uliopita urusi hajafanya progress yoyote ya maana kwenye uwanja wa vita..,yupo anahangaika na bakhumut tu[emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app