President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Sio kweli ubora wa rusiia katika vyuo ni mzuri sijui mkubwa ila ni zaid ya marekanMtoto wa waziri wa mambo ya nje Russia kasoma marekani sema ada za marekani kipengele ndio maana tunapeleka vijana india na Russia na china.
Haaa situliambia UKEWENZA HAKUNAGA HAYA MAMBO [emoji1787][emoji1787]Hali mbaya UKE, raia wanakamatwa Kwa nguvu kuingizwq vitani. Hapa ni Odessa.
Himmas zilikuwa big news saiz unazisikia tena?Hivi unajua kwamba Kwa siku za hivi karibuni Putin Halali? Jamaa anasikilizia kama mkeka wa Ukraine kupewa vifaru vya leopard [emoji249] utachanika au la!!
Ingekuwa rahis kuviharibu kama unavyodai Wala isingekuwa big news kwenye vyombo vyote vikubwa vya habari,Kila mtu anaujua mziki wa hizo mashine ndio maana tension imekuwa kubwa mno
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Good move!💥💥💥Lukashenko replaced Apple equipment with a Belarusian-made Horizon computer💪🔥💥
View attachment 2493575