Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwahiyo video zako sio za mchongo zikiletwa ni pro Ukraine ni propaganda.
 
Mtoto wa waziri wa mambo ya nje Russia kasoma marekani sema ada za marekani kipengele ndio maana tunapeleka vijana india na Russia na china.
Lavrov alikuwa nani pale UN miaka yote hiyo!!?? Hivi mbona mnashindwa kuficha UJINGA wenu... Diploma TS wa Marekani walikuwa Urusi na watoto wao nao !!? Ila ProNato hamna REASONING kabisa.... Ni watu mna DEAD CONSCIOUS ...
 
Barabara zote izo zimekufa kwa sasa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli yajayo yanafurahisha
 
Lavrov alikuwa nani pale UN miaka yote hiyo!!?? Hivi mbona mnashindwa kuficha UJINGA wenu... Diploma TS wa Marekani walikuwa Urusi na watoto wao nao !!? Ila ProNato hamna REASONING kabisa.... Ni watu mna DEAD CONSCIOUS ...
Nikibishana na mtoto wa nzi nitakuwa wa ajabu hata ID umekosa ukajiita hvyo na akili yako iko hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…