mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Kwani nilikuuliza hivyo??Kwani mkikubali kuwa sasa ivi mnapoteza maeneo mtakufa[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui?Kwani nilikuuliza hivyo??
Mkuu kuna TAARIFA nimeona kuwa , wanasema missile za kirusi haziangushi ndege zao coz , missile inauwezo wa kutambua ndege hii ni ya russia , missile YENYEWE inajizuia isiharibu ndege.Hiyo hapo.
March 2022 UkraineView attachment 2494553
Afu kipanya atabisha[emoji16]Waisrael wamwaga data zao kuhusu vita ya Ukraine. Kamwaga kila kitu kuhusu ushiriki wa NATO.
Russian losses.......
23 planes, 56 helicopters, 200 drones, 889 tanks and armored vehicles, 427 artillery pieces, 12 anti-aircraft systems, 18,480 dead, 44,500 wounded, 323 captured. number of soldiers in the field 418,000, reserve 3,500,000
a massive influx of salarymen from abroad was observed in the Wagner unit
Ukrainians lost 302 planes, 212 helicopters, 2750 drones, 6320 tanks and armored vehicles, 7360 artillery pieces, 497 anti-aircraft systems, 157,000 dead, 234,000 wounded
17230 prisoners,
the number of soldiers on the ground 734000
mobilization for the filling of military units in the amount of 100,000 soldiers is underway..
234 dead NATO soldiers (officers, instructors, operatives, US GB,)
2458 dead NATO soldiers (Poland, Germany, Lithuania...) 5360 dead mercenaries
data from .............
14.01.2023.
accuracy of Israeli intelligence data +-2
kp kipanya44 anatudata zake sasahivi anasema russia wamepoteza zaidi ya askari 120,000+ yani ni data za UHONGO kabisa , kwa usiku mmoja inaongezeka zaidi ya askari 600.Waisrael wamwaga data zao kuhusu vita ya Ukraine. Kamwaga kila kitu kuhusu ushiriki wa NATO.
Russian losses.......
23 planes, 56 helicopters, 200 drones, 889 tanks and armored vehicles, 427 artillery pieces, 12 anti-aircraft systems, 18,480 dead, 44,500 wounded, 323 captured. number of soldiers in the field 418,000, reserve 3,500,000
a massive influx of salarymen from abroad was observed in the Wagner unit
Ukrainians lost 302 planes, 212 helicopters, 2750 drones, 6320 tanks and armored vehicles, 7360 artillery pieces, 497 anti-aircraft systems, 157,000 dead, 234,000 wounded
17230 prisoners,
the number of soldiers on the ground 734000
mobilization for the filling of military units in the amount of 100,000 soldiers is underway..
234 dead NATO soldiers (officers, instructors, operatives, US GB,)
2458 dead NATO soldiers (Poland, Germany, Lithuania...) 5360 dead mercenaries
data from .............
14.01.2023.
accuracy of Israeli intelligence data +-2
Sasa toa factual numbers ww unajua alafu unauliza wacha story za kwenye kahawaBahati nzuri umetamka mwenyewe kwamba anayezidiwa vitani ndio anakuwa amepoteza zaidi..,Sasa naomba nikupe orodha ya vichapo hambavyo Ukraine amemtembezea urusi mpaka Sasa
Kyiv.., warusi walitembezewa mkong'oto heavy wakakimbia..,umejiliza warusi walipoteza askari wangapi mpaka wakasurrender huo mji??
Khakivu..,huko pia warusi walitembezewa mkong'oto mpaka wakaona isiwe kesi,wakatimua mbio na kuondoka.., uliwahi kujiuliza ni askari wangapi wa urusi waliolambishwa mchanga kweymji huo??
Kupyansk..,umewahi kujiuliza urusi alipoteza wangapi kwenye mji huu?? ..,vip kuhusu kheson???
Vip kuhusu huko Lyman??
Vip kuhusu huko snake island??
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
"The practical combat performance has proved that Russia’s air defense system is one of the best in the world."Russia manufacturing thrice as many Patriot-type rockets — Putin
It is noted that Russia’s production of air defense rockets "is comparable with the entire global production"
NOVO-OGARYOVO, January 24. /TASS/. Russia is manufacturing thrice as many Patriot-type rockets, Russian President Vladimir Putin said on Tuesday.
"I have already said that the United States manufactures rockets for Patriot systems. We manufacture trice as many such rockets. More than thrice," he said at a meeting with Belgorod region governor Vyacheslav Gladkov.
According to the Russian president, Russia’s production of air defense rockets "is comparable with the entire global production."
He also noted that Russia’s air defense system operates properly. "Anything can happen but in general the system is operating properly," he said. "The practical combat performance has proved that Russia’s air defense system is one of the best in the world."
Safi sanaWaisrael wamwaga data zao kuhusu vita ya Ukraine. Kamwaga kila kitu kuhusu ushiriki wa NATO.
Russian losses.......
23 planes, 56 helicopters, 200 drones, 889 tanks and armored vehicles, 427 artillery pieces, 12 anti-aircraft systems, 18,480 dead, 44,500 wounded, 323 captured. number of soldiers in the field 418,000, reserve 3,500,000
a massive influx of salarymen from abroad was observed in the Wagner unit
Ukrainians lost 302 planes, 212 helicopters, 2750 drones, 6320 tanks and armored vehicles, 7360 artillery pieces, 497 anti-aircraft systems, 157,000 dead, 234,000 wounded
17230 prisoners,
the number of soldiers on the ground 734000
mobilization for the filling of military units in the amount of 100,000 soldiers is underway..
234 dead NATO soldiers (officers, instructors, operatives, US GB,)
2458 dead NATO soldiers (Poland, Germany, Lithuania...) 5360 dead mercenaries
data from .............
14.01.2023.
accuracy of Israeli intelligence data +-2
KIPANYA 44njoo huku uone Data za Ukraine and RussiaWaisrael wamwaga data zao kuhusu vita ya Ukraine. Kamwaga kila kitu kuhusu ushiriki wa NATO.
Russian losses.......
23 planes, 56 helicopters, 200 drones, 889 tanks and armored vehicles, 427 artillery pieces, 12 anti-aircraft systems, 18,480 dead, 44,500 wounded, 323 captured. number of soldiers in the field 418,000, reserve 3,500,000
a massive influx of salarymen from abroad was observed in the Wagner unit
Ukrainians lost 302 planes, 212 helicopters, 2750 drones, 6320 tanks and armored vehicles, 7360 artillery pieces, 497 anti-aircraft systems, 157,000 dead, 234,000 wounded
17230 prisoners,
the number of soldiers on the ground 734000
mobilization for the filling of military units in the amount of 100,000 soldiers is underway..
234 dead NATO soldiers (officers, instructors, operatives, US GB,)
2458 dead NATO soldiers (Poland, Germany, Lithuania...) 5360 dead mercenaries
data from .............
14.01.2023.
accuracy of Israeli intelligence data +-2
Nikiwaambia silaha za west zinachomwa kama bisi wanabisha cheki drone zilivyo chomwa ndiyo maana nato wameacha kusifia drone zao hata USA hivi jeshi la marekani ndiyo lingekuwa linapigana upande wa urusi lingeweza kweli kufanya haya ambayo urussi kafanya ....utasikia wanasema mifumo ya anga ya urusi haifanyi kazi sasa hizo silaha zote urussi kaziunguza na nini ?KIPANYA 44njoo huku uone Data za Ukraine and Russia
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mungu wetu ni Mkubwa hahitaji tumpiganieIlichomwa ukaacha kulalamika?
Mambo yanazidi kuwa fireeeeee[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Naona West wameamua Abrams na Leopalds zinakuja zakutosha
Tulia kijana, mziki unaanza rasmi - Putin ana choice moja tu - aachane na vita arudi mezani bila masharti yoyote.Nikiwaambia silaha za west zinachomwa kama bisi wanabisha cheki drone zilivyo chomwa ndiyo maana nato wameacha kusifia drone zao hata USA hivi jeshi la marekani ndiyo lingekuwa linapigana upande wa urusi lingeweza kweli kufanya haya ambayo urussi kafanya ....utasikia wanasema mifumo ya anga ya urusi haifanyi kazi sasa hizo silaha zote urussi kaziunguza na nini ?
Hapa jukwaani majeshi ya urusi yanasonga mbele Kwa Kasi ya mwanga.., lakini ukija kwenye uhalisia Sasa[emoji28][emoji28]Yanasonga huko buza au wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe unasema jeshi la Ukraine limeisha wakati bwana wako Putin aliutangazia uma kabisa kwamba anafanya mobilization ya askari laki tatu.., unafikiri hii ilikuwa na maana gani [emoji848]kp kipanya44 anatudata zake sasahivi anasema russia wamepoteza zaidi ya askari 120,000+ yani ni data za UHONGO kabisa , kwa usiku mmoja inaongezeka zaidi ya askari 600.
Mimi niliwaambia kuwa Ukraine jeshi Lake lishapotea tangu siku nyingi, na ndo maana sasahivi wanaanza kukamatwa watu wajiaandikishe kwenye jeshi kwa lazima.
Na mwanaume wameamua kuvaa nguo za kike wasitambulike.
Jeshi lishaisha Kule. Kama USA wanawalipa mpaka magaidi waende unafikilia kuna nn kule.
Kwa dini yako, kukemea uovu ni dhambi?Mungu wetu ni Mkubwa hahitaji tumpiganie