Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Basi Russia akichukua hatua,akapambana na Sasa ni one of the Giants!Tuige mfano wa Russia,China na wengine ambao wamepambana na Sasa wanaheshimika duniani!
Anza kuiga kama ni kazi rahisi
 
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🇷🇺🤝🤝🇷🇺💪
 
[emoji1787][emoji1787]hiyo ni umbali wa kusafiri bila ya kutia mafuta
Maana hata vya urussi vina range ya kilometa 500 hivi ya kusafiri
Nahisi baada ya kwenda ku google, google search wao wakaenda ku google, google account mwisho wa siku ikawaletea majibu hayo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na Mimi nilikuwa nimekuuliza nini vilee![emoji28]au mwenzetu una mtindio wa ubongo ( ashakum si matusi) [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kwa hali hii vufaru kweli vitaweza kubadili hali ye hewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Mkoa wa Lyiv, Dnipro,Kiev na mikoa mingine vimeonekana vitu ivyo juu ya anga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Your browser is not able to display this video.
 
Unamjua former secretary of state wa US,Condoleezza Rice?
Basi huyo kasoma Moscow state university [emoji2][emoji2][emoji2]!
View attachment 2495918
Hili ndio jibu nilkuwa nalitaka..,Sasa huko kote ulikuwa unazunguka nini.., usipende kuwa kama " vibinti" hambavyo ndo vinaanza kubalehe,Huwa vinazunguuka kabla ya kufanya maamuzi,havina msimamo kabisa..,Sasa ndio Tabia unayoionyesha hapa,mtu anakuuliza swali unazunguuka wakati jibu lake ni Short and clear,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Baada ya hapo wakasonga mbele sentimita ngapi [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Naona warusi wamepata afadhali kidogo sio kama idadi iliyopita.., idadi iliyopita walikuwa wamechinjwa 910..,Leo ni 780.., tutaendelea kuwachinja mpaka maji muite mmaa[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kama lavlov alivyowadanganya warusi kwamba wamepoteza askari 5000 huko kwenye Ile operation maalum ya kijeshi [emoji16][emoji1787]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…