Umtwange nani mzee ghahawa inalevya sanaNa hiki ndio walichokuwa wanakitaka ila Nord stream 2 litafufuka ngoja tuwatwange wakina yuda.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 umezingua aisee!View attachment 2144767
Askari wa Russia wakiiba Kuku 😂😂😂😂
Hawa mwezi wa nne wataanza kufa kwa njaae
Hata Urusi hawezi zivamia nchi kama Marekani. Anajua atakachosababisha. Atapiga tu kelele kuwa sio marafiki, wanaweka vikwazo ila kuzivamia akatuma bomu hawezi. Ni suala la pande zote mbili. Si upande mmoja.Yaani Wamebakia Makelele tu
Mbunge mmoja wa Uingereza amesema bungeni kwao leo kuwa Putin na Russia watapigwa na kufurushwa kama nduli Idi Amini wa Uganda alivyopigwa na kufurushwa na Tanzania.
Sijajua kwanini mbunge huyo katumia mfano huo labda ni vile Uingereza aliwahi kututawala.
Maendeleo hayana vyama!
Kifupi hiyo sio vita ni operation ya kijeshi.Hatoboi vipi wakati UKRAINE haikaliki?? We unadhani URUSI hawezi tupia makombora hapo KYIV?? ni kwakuwa ataua raia wengi na ndio maana kwa ustaarabu ameomba raia waondoke. Unajua kwann Urusi wanalazimisha Raia waondoke KYIV??
Tatizo hapo Ukrane habari zote tunalishwa na NATO/USA hivyo wanatulisha habari zenye maslahi kwao.Raia wa Ukraine wanashika bunduki tangu tishio la kuvamiwa lilipoanza hilo si jipya na habari zilisema walikuwa wanafundishwa shabaha kutokana na tishio la uvamizi.
Utaitwaje ankai halafu uwe na uwezo wa kujua lipi sahihi na lipi si sahihi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watu tukisema hamna akili mnasema sisi wakorofi sasa mtu akikuuliza umeandika ugoro gani huu??
Na wewe ukaamini report Toka kwa mabeberu ikawa sahihi na si propagandaSkyNews wanadai wanajeshi wa Russia waliofariki wanaweza kufika elfu 10:
Ukraine war: Lost equipment, casualties and communication failures: How the Russian military is faring in Ukraine
Security and defence analyst Michael Clarke tells Sky News why the Russian military appears to be struggling in Ukraine - and what Russian President Vladimir Putin's next moves could be.news.sky.com
Ukrane ni jeshi dogo una uhakika mzee.?Kaka SImon, unachekesha! Rais wa Ukraine hajapandikiwa huko na yeyote. Amechaguliwa na Waukraine wengi. Una habari yoyote kuhusu historia ya Ukraine na uchaguzi uliopita? Sidhani.-
Basi sikiliza: ilikuwa uchaguzi huru. Si kama Tanzania 2020. Kwenye awamu la mwisho (ambako wagombea wawili wenye kura nyingi zaidi walishindana) Zelensky alipata 72%.
Ni dhahiri: hata kama Putin akifaulu kumwua Zelensky, atashindwa kumnweka yeyote atakayekubaliwa.
Tukiona jinsi Putin alivyoandaa vita yake vibaya na jinsi jeshi lake lina matatizo kushindana na jeshi dogo kama Ukraine - basi tuone!
Mkuu achana na mambo ya Wananchi kuna maamuzi mengi Serikali za Nchi zinafanya kwa maslahi ya Taiga.Ukiangalia Wananchi.Mkuu hata wananchi wa Russia hawaamini serikali yao ,propaganda kibao .Kwanza vikwazo tu itafanya wananchi waaingie mtaani kuipinga serikali ingawa walishaanza ,tusubiri hata mwezi mmoja au miwili ya vikwazo...