LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Zelensky ni kichaa tu kama vichaa wa kawaida aliyeharibikiwa akili baada ya kuvutishwa madawa ya kulevya na CIA. Mwishowe nchi itageuka mahame kwa tamaa zake na kudanganywa kuwa atasaidiwa na NATO..
 
Na hiki ndio walichokuwa wanakitaka ila Nord stream 2 litafufuka ngoja tuwatwange wakina yuda.
Umtwange nani mzee ghahawa inalevya sana

09DB7DA5-C350-4E4C-9DA2-0E679A271709.png
 
Mbunge mmoja wa Uingereza amesema bungeni kwao leo kuwa Putin na Russia watapigwa na kufurushwa kama nduli Idi Amini wa Uganda alivyopigwa na kufurushwa na Tanzania.

Sijajua kwanini mbunge huyo katumia mfano huo labda ni vile Uingereza aliwahi kututawala.

Maendeleo hayana vyama!

Source please
 
the Ukraine military has done such a good job disrupting supply lines, and destroying convoys that soldiers of the Russian military are so hungry in Ukraine they are stealing chickens from farmers just to have what to eat.

The Russians thought they could beat the Urkrainians at checkers but the Urkrainians are playing three-dimensional chess...

 
NATO Secretary General Stoltenberg recalled that the introduction of a no-fly zone over Ukraine would mean the start of a full-scale war in Europe with the participation of the alliance.
SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
The introduction of a no-fly zone over Ukraine will lead to the expansion and prolongation of the conflict, Blinken said.
SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
Watu tukisema hamna akili mnasema sisi wakorofi sasa mtu akikuuliza umeandika ugoro gani huu??
Utaitwaje ankai halafu uwe na uwezo wa kujua lipi sahihi na lipi si sahihi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kaka SImon, unachekesha! Rais wa Ukraine hajapandikiwa huko na yeyote. Amechaguliwa na Waukraine wengi. Una habari yoyote kuhusu historia ya Ukraine na uchaguzi uliopita? Sidhani.-
Basi sikiliza: ilikuwa uchaguzi huru. Si kama Tanzania 2020. Kwenye awamu la mwisho (ambako wagombea wawili wenye kura nyingi zaidi walishindana) Zelensky alipata 72%.
Ni dhahiri: hata kama Putin akifaulu kumwua Zelensky, atashindwa kumnweka yeyote atakayekubaliwa.
Tukiona jinsi Putin alivyoandaa vita yake vibaya na jinsi jeshi lake lina matatizo kushindana na jeshi dogo kama Ukraine - basi tuone!
Ukrane ni jeshi dogo una uhakika mzee.?
 
Mkuu hata wananchi wa Russia hawaamini serikali yao ,propaganda kibao .Kwanza vikwazo tu itafanya wananchi waaingie mtaani kuipinga serikali ingawa walishaanza ,tusubiri hata mwezi mmoja au miwili ya vikwazo...
Mkuu achana na mambo ya Wananchi kuna maamuzi mengi Serikali za Nchi zinafanya kwa maslahi ya Taiga.Ukiangalia Wananchi.

wanataka nini hutafanya chochote-kama upo Serikalini utalijia hili na kama haupo basi ndio nakutarifu.

Sio kitu kinafanyika kulingana na matakwa ya Wananchi.
 
UN representatives held meetings on Ukraine at the Ministry of Defense and the Russian Foreign Ministry in Moscow, Guterres' office said.

SmartSelect_20220309-103148_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom