Tatizo mtoa mada ana haraka sana kuandika andika ovyo mabandiko, anajisahau kuwa humu kuna watoto na watu wakubwa so ni vizuri akaweka na uthibitisho ili apate more credits!.Si upokee tu, umesifiwa na Wazungu π
Kutumia Raia kama kinga ni kosa kisheria za vita mzee, we kaa kambine mukiwashe sio unakimbilia mashuleni na mahospitalini.Wewe ulitaka wajifiche wapi sasa chumbani mwako ama maana ile ni nchi yao na wana uhuru nayo kama mmeshindwa vita jisalimisheni acheni utoto na hoja za kipimbi kama hizi bhana!!
Sasa kama UKRAINE amepoteza silaha asilimia 8 hadi 12 kwann aombe msaada wakati hata rovo ya silaha hazijatumika.Siku 14 baada ya hii operation leo Marekani intelligence report yao inasema wanaamini Russsia amepoteza 8-12 percent ya silaha. Nahisi inachangiwa na kutelekezwa kwa hizo silaha. US intelligence pia inakadiria Ukraine imepoteza silaha kiwango hiki hiki.
Inaamini Russia imepoteza wanajeshi kati ya 2000 hadi 4000 ila inasema ni vigumu sana kujua idadi ya vifo tofauti na ya silaha. Haijajua Ukraine imepoteza kiasi gani
Imesema pia Russia inapata upinzani Mashariki na Kaskazini mwa Ukraine ila ina urahisi kwa Kusini. Kyev bado inasimama na hata ikizungukwa siku zijazo itapambana kiasi chake. Wakati Russia inapata upinzani mijini US intelligence inaamini mbinu zilezile zilizotumika Georgia na Syria za kushambulia miundombinu yoyote hata ya kiraia Russia itazitumia na huku
Simple logic, 12% ya 50 siyo sawa na 12% ya 5,000.Huyu mwenye 50 ana haki ya kuomba kuongezewa zaidi kuliko mwenye 5.000.Ndiyo maana tangu awali aliomba kuongezewa kwakuwa alijua ana kidogo kuliko anaepambana nae.Sasa kama UKRAINE amepoteza silaha asilimia 8 hadi 12 kwann aombe msaada wakati hata rovo ya silaha hazijatumika.
Adidas will close its stores in Russia after March 13, and stop online sales today.
View attachment 2144873
π€£π€£π€£WaRussia wanavyopenda adidas watavaa abibas sasa za wachina haha
Sijui nikuhoji kwa kutumia style ya kiranga leo au nikujibu kwa style ya kiranga ila hii mantiki ipo nje ya uwezo wako kifupi.Hamna logic yoyote apo mzee wa kisiju bali ni hoja za kitoto sNa zisizo na mantiki
Nigeria forbids its citizens from enlisting to fight in Ukraine
Nigeria has forbidden its citizens from enlisting to fight in Ukraine. This follows reports of alleged recruitment of
volunteers in the country to fight on the side of Ukraine
Wakati Boko Haram hapo kwao wanawatesa.
Nigeria forbids its citizens from enlisting to fight in Ukraine
Nigeria has forbidden its citizens from enlisting to fight in Ukraine. This follows reports of alleged recruitment of
volunteers in the country to fight on the side of Ukraine
Suluhisho sidhani kama litapatikanaIla bado kuna swali binafsi najiuliza, kwanini upande wa magharibi umejikita katika "Kukokea kuni" kwenye vita hii na sio kuitafutia suluhu.
Swali langu ni kua kwanini hawataki kuwakalisha chini wayamalize kwa "Dialogue" kama anavofanya Germany, France, China, Turkey na wengineo.
Why wao kila siku ni kutuma silaha but si kutafuta suluhisho...
Lingine pia huwa najiuliza. Hivi inawezekana nchi ikavamiwa na "Wavamizi" wanaoua watu kisha itumie week 2 kuteketeza idadi ya waty waso fika ata 500?
Vizuri, sasa em tuache mahaba twende na Fact bila kua biased.China anataka kupata kichaka cha kujificha dhini ya mlipuko wa corona ambao ulianzia wuhani nchini China ili ionekane us ndiye aliye genarate virusi hivi ,zote hizi ni propaganda za kutaka kuhalalisha plot zao .Katika vita hii putin amekosa basic reason katika kuhalalisha uvamizi huu nchini ukrein nchi ambayo ni huru na ina maamuzi yake