Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,591
- 13,647
Kuna michezo nyuma ya pazia ndio siasa za dunia wengi wafe malengo yatimie!!!!Mimi mkubwa kiumri mdogo wangu niamkie kama umezaliwa kuanzia miaka ya 1979🤣🤣🤣🤣🤣!!!Kwa hio wanaanzisha vita maksudi ili wauane afu sie tuwajadili? Jamaa angu hata Kama Ni siasa sio kiivyo yaan watu wanauana ili kutuzuga cc🤣🤣afu mbona avatar yako inaonyesha we Ni mkubwa tuh
Wewe msifie Ujinga,Huwa sikurupuki!Space X wanachokuja kufanya ni kudaka rocket boosters ambazo zitakuwa na parachuti,majaribio ya Hilo tayari yashafanyika!
Ndo uone kua ss hatuna udini huyo prince hata mda nae hatuna tunasupport upande wenye haki always hata kiongozi akiwa mkristo kma nchi haina mambo ya kinyama Kama usa na nato yake bhc tuko nayoMkombozi wa dunia tena!!!Mimi nilijua mkombozi wa dunia ni crown prince wa saudia Mohammed bin sulyeman🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hapo nimewafurahisha akina flani🤣🤣🤣!!!;
Mdogo wangu kwani kwenya hii dunia kiongozi gani anafanya haki?????Nipe hata mmoja tu itakua vyemaNdo uone kua ss hatuna udini huyo prince hata mda nae hatuna tunasupport upande wenye haki always hata kiongozi akiwa mkristo kma nchi haina mambo ya kinyama Kama usa na nato yake bhc tuko nayo
Unaongea hivyo Kwa sababu hujui kitu.Taifa linaloongoza Kwa Uchumi na technology ya angani ni US.
Hili halina ubishi. US tu ndio mfalme wa anga
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Umesahau walichomfanya Ghadaffi ?..Au huoni howitzers zao zinavyoisaidia Ukraine kupambana na Mvamizi ?
Sasa hizo rocket ambazo umesema hazina kazi ndio zimepatiwa ufumbuzi maana ni massive na very expensive!Ndio nimekwambia,hizo space shuttle zimekuwa zikirudi na kuwa reused!Mkuu nadhani nimeshakushauri kujielimisha kidogo kabla ya kuandika! Basi tekinolojia mpya si parachuti. parachuti ni mbinu uliotumiwa tangu miaka mingi.
Roketi mpya hutumia injini na fueli; baada ya kufikisha mzigo huko juu zinashuka kwa nguvu ya injini halafu zinafika tena kwenye kituo kilichoandaliwa, si kuanguka baharini jinsi zinavyofanya zile kwa parachuti.
Roketi zinazorudishwa kwa parachuti hazina kazi tena. (Ukiona tofauti: taja mifano, majina, tarehe na mahali!!!).
Ona hapa roketi mbili zinazorudi (tarehe 6 Februari 2029) View attachment 2501232
Warusi hawana kitu kama hicho hata kidogo.
Wanasemaga watafikiria,,,ila hii hata hawajavunga wamesema direct hawapelekiSiku zote wanaanzaga kukataa lakini mwisho wa siku wanapeleka.
Mkuu heshima yako 😁 ila kwa hili utakua umetupiga .hao jamaa hua na hila nyingi xnaa ila saivi zimewageukia wao ..Kuna michezo nyuma ya pazia ndio siasa za dunia wengi wafe malengo yatimie!!!!Mimi mkubwa kiumri mdogo wangu niamkie kama umezaliwa kuanzia miaka ya 1979🤣🤣🤣🤣🤣!!!
Hujui siasa mdogo wangu na sikulaumu ni umri wako bado mdogo kuelewa mambo!!!Ushawahi kushika nyadhifa yoyote ile!!!Na michezo michafu unaielewa???????Mkuu heshima yako 😁 ila kwa hili utakua umetupiga .hao jamaa hua na hila nyingi xnaa ila saivi zimewageukia wao ..
Nimali halali ya RUSSIAKwani Dombas, Kherson, Doneski na Zaporizia hiyo sio ardhi ya Russia?
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
PUT INMdogo wangu kwani kwenya hii dunia kiongozi gani anafanya haki?????Nipe hata mmoja tu itakua vyema
Wewe umejuaje kaka????Historia ya maeneo hayo unaijua tokea kipindi cha Queen Catherine the great???
Mimi naona Tundu lissu au professa lipumba wewe unaona Putin?????
Huyu jamaa akili zake anazijua mwenyewe.Zelensiky mjinga sana, angekuwa na akili angeshituka pale NATO waliposhindwa kiweka no fly zone kuwa mchezo umekwisha.
Anafikilia watu wajinga kama yeye wapeleke ndege waaliibu biashara zao. Biashara ya vifaru ndio inakwenda kuzikwa hapo Ukraine
Hiyo ni kweli,hata HIMARS ilikuwa hivi hiviSiku zote wanaanzaga kukataa lakini mwisho wa siku wanapeleka.
Huyu mwamba ndio kiboko ya fashisti Putin..Oyoo leopard ameingia kiev?
View attachment 2501363